Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
I see. Kama ni hivyo hawatakiwi kulaumu.Yanga waliiomba serikali kwa maandishi ,serikali imejibu kwa maandishi .
Shida ya Simba ni uongozi usio na ubunifu. Chifu Mangungo yupo yupo tu na mashabiki mbumbumbu.
Injia Hersi ana akili sana huyu kijana.