fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
sio yaonyesha ni yaoneshaNyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
View attachment 2950693Mkeka umeuona?
Mashabiki wa Simba wakafanye nini huko Misri?
Aliyekwambia kupossess mpira ndo kushinda amekudanganyaYanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?
Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Kweli shida la Simba ni Uongozi
Kuposses Mpira kuna dhihirisha Kuumudu mchezo Simba wanakosa Striker tu wa kumaliza Na kupata magoli..Aliyekwambia kupossess mpira ndo kushinda amekudanganya
Ili nalo Linaweza kuwa Kweli ni mara Kumi ya mwarabuMo aachane tu na simba duniani kote uliona wapi timu kubwa inamilikiwa au kudhaminiwa na mhindi, yani mhindi mbahili pesa yake anahesabia mfukoni, umiliki na udhamini wa timu waachiwe wazungu na waarabu tu
Lia na machozi kabisaNyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali,hii timu inapendelewa na serikaki ,mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa,ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano.
Pesa ya mhindi ngumu mkuu wale walioajiriwa na wahindi kwenye sekta yoyote ile ni mashahidi, mhindi analazimisha kupata faida kubwa mahali alipowekeza mtaji mdogo, hata kama anaona kabisa hapa hapawezekaniIli nalo Linaweza kuwa Kweli ni mara Kumi ya mwarabu
Mpira wa kileo siyo possession Bali kucreate chansi za magoli ingekuwa hivyo Jana mancity kapossess 78 kwa 22 za Arsenal ila Arsenal katengeneza nafasi 6 za hatari tofauti na mancity alitengeneza nafasi 2. Kwa akili yako basi Jana Arsenal angekula chuma zaidi ya 6 kwa possession za City.Yanga Wana nafasi??
Kwa Possesion Ipi?
Ndo hiyo ya 74 kwa 26?
Simba waliposses Mpira zana 69 kwa 31..
Tunaamini Tukienda huko Ni chuma tu tunamchapa 2 au tatu kwa moja hoi
Labda namba tisa acheze Ngungus Boy goli ndio litarudi.itakua imeona ikawape sapoti ya ushangiliaji Yanga ili ishinde hata kagoli kamoja, ila imeshindwa kupeleka watu Misri kushangilia goli linavyorudishwa....