Ila ni possesion,kama siyo possesion ingepewa jina lingineFikirieni upya na mapossesion yenu hayo, posessioni gani mnaisema ya kipa wao kucheza zaidi, kwa mawazo yenu possesion ile ingewapa goli hao ndugu zenu labda wangeamua kujifunga wenyewe. Maana faraja yenu saizi ni possesion, waabieni wakaendelee kupossess
Acheni twende Jamani juzi tumepigwa kipigo kikali sana na polisi.
Mabomu ya machozi na virungu almanusura vituuwe
Mkuu angalia Shots on Target na Shots off target hapoMaamuzi ni yako chagua kushinda mechi au ku possess mpira View attachment 2950941View attachment 2950942View attachment 2950943
Jitihada ni kufungwa home0-0 nyumbani ndo jitihada? Acha ccomedy basi
Kuichukia Yanga haibadili ukweli kwamba wana kikosi bora kuliko sisi...Mkiongea as if Yanga ni Barcelona,kwa mpira upi amfunge Mamelodi,hebu acheni wehu
Umezidiwa possession na goli huna,basi jisifu ungeshindaMpira wa kileo siyo possession Bali kucreate chansi za magoli ingekuwa hivyo Jana mancity kapossess 78 kwa 22 za Arsenal ila Arsenal katengeneza nafasi 6 za hatari tofauti na mancity alitengeneza nafasi 2. Kwa akili yako basi Jana Arsenal angekula chuma zaidi ya 6 kwa possession za City.
Hicho kikosi bora wamefanya niniKuichukia Yanga haibadili ukweli kwamba wana kikosi bora kuliko sisi...
Viongozi wa Simba wanapewa nguvu na nyinyi ambao mnapongeza kwenye hamna ...
Unafiki hautotyfikisha popote, lazima tubadilike na tuwatake viongozi wasajili kama watu wenye akili timamu.
sawa simba yatima hadeki na atarudi na ushindi, nyuma mwiko atakandwa 3:1 huko sauziView attachment 2950693Mkeka umeuona?
Mashabiki wa Simba wakafanye nini huko Misri?
Mkuu usilete utoto, nyinyi ndio tunawapigaga mitama...Hicho kikosi bora wamefanya nini
yanga si wanavaa jezi ya ccm kwa hiyo ..........πππ Serikali ina unafiki , sa hivi inaonyesha rangi yake halisi .
Vyote hivyo havina maana haufungi goliMkuu angalia Shots on Target na Shots off target hapo
c waliambiwa waombe kwa maandishiYanga waliiomba serikali kwa maandishi ,serikali imejibu kwa maandishi .
Shida ya Simba ni uongozi usio na ubunifu. Chifu Mangungo yupo yupo tu na mashabiki mbumbumbu.
Injia Hersi ana akili sana huyu kijana.
Kama huwezi kutofautisha kati ya 0-1 na 0-0 bora kukuacha ukae na uelewa wakoNa kutoo 0-0 home
Hivi ukipigwa shot on target Kama 20 inamaanisha niniVyote hivyo havina maana haufungi goli
Serikali ina miliki kila kitu nyie acheni kujiliza ombeni msaada muda bado upoYANGA NI CCM NA CCM NI SERIKALI .KIUFUPI NI TEAM YA CCM KWA SERIKALI NA CHAMA