Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

Kwa hiyo washaurije wewe.
 
500 basic ukifyekwa tozo za mtoza ushuru unarudi kule kule kwny 370 tu
Mmh..sio kila kitu Cha kuponda mkuu hata kama imeongezeka elfu 10 ..ni pesa tu Sasa hapo paye ni 18400 inabaki 481,600/- Kuna makato yapi mengine tena hapo tuseme mtu hadaiwi mkopo wa chuo ..hifadhi ya jamii itazidi elfu 20 kweli? Huoni Kuna kaongezeko mkuu ..Kuna vitu tuwe na shukran tu
 
Reactions: Tui
Kwani basic 370 ukiweka tozo inabaki 370?Ficha ujinga wako.
Najua Kuna mambo mengi ambayo sio mazuri kwenye jamii ila Yale mazuri tupongeze tu unaongezewa laki nzima Bado watu wanatukana...
 
Reactions: Tui
Ameongeza kima cha chini kimahesabu wote waliojuu wataona nyongeza
 
Swali zuri
 
Yote 9, 10 bila Reforms Uchaguzi haupo. Safari hii mnachaguana wenyewe kwa wenyewe.
Kwa,mantiki hii yako ina maana safari zingine ulikuwepo.Sasa kipi kitazuia usiwepo safari hii ?Vyama 18 vitashiriki uchaguzi na utakuwepo kama kawaida.
Unadhani kimakosa kwamba Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi kwa sababu wao hawashiriki?Ni wishful thinking.
 
Serikalini hakuna scale yenye mishahara kama hiyo kwa sasa
 
Unajua shida sisi wabongo hatunaga shukrani ..mtu anataka akiambiwa kima.cha chini kimeongezeka Yani kisikatwe..hakuna nchi ambayo haulipi kodi hio nchi haipo duniani...Sasa mtu anataka akilipwa laki 5 atoe laki Tano kama ilivyo...hata mwanzo aliekua analippwa laki 3 si alikua anakatwa anapokea laki 2 huko..Sasa sasahivi angalau atakua anapokea laki 4 na ushee..Bado mnalalamika..[emoji23]
 
Kama ni hivi basi huyu mama kacheza karata ya kisiasa ila bado hatakubalika ni uhadaaa tum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…