Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

Tatizo alisababishe yeye alafu anakuja kutuzuga na timu za kuchunguza namna ya kutatua ushubwada mtupu. Typical politician shenanigans.
Basi tumuwombe wakati wako kwenye uchunguzi Tozo zisimame kwanza kwa muda,hadi hapo watakapomaliza uchunguzi wao!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Inafahamika walamba asali, vibaraka na chawa wao wakisikia habari zetu Tahrir huwa full kihoro.

Vipi mkisikia kuhusu Tahrir huwa hata mambo ya m*ususu mnayakunbuka kweli?

Subirini kidogo punde mtatusikia.
😜😜😜😜😆😆😆😆 Rubbish 🚮 🚮
 
Wamekwepa kuiita Tume imebidi waipe jina la Timu.
Hapo ni mwendo bahasha za kaki kwenye kila kikao na vitafika vikao 10 na safari 20 za site kusikiliza wananchi.
 
Wanakuja wanawashangaa then kura wanapiga ccm
Zile kura zinazoletwa na polisi kisha maafisa wa tume ya uchaguzi wanakaa kimya! Au ile kuengua wapinzani ili CCM wapite bila kupingwa? Au ile ya kuzuia na kugoma kuapisha mawakala wa upinzani ili uchakachuzi ufanyike waziwazi?

Kwa taarifa yako CCM sio chama cha kizazi hiki, ndio maana vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi, inageuka kuwa tegemea lenu la kutangazwa washindi kwa shuruti.
 
Style ile ile

Tengeneza Tatizo tatua tatizo halafu jipigie makofi!!

Ndio maana sisi tunaona vema ni bora;-

"Mzee Warioba ajumuishwe KWENYE kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba ukamilike"
 
Waziri bwege tu! Eti ana PhD ya uchumi; TOZONOMICS, FU**K YOU!
 
Hamna serikali hapa
Mtu akishaanza kusema nina elimu ya hapa na pale ni shida tu!
Mtu mwenye PhD akishaanza kujivunia cheti wakati hajawahi kuandika lolote la maana ni shida
serikali yenye watu waliowahi kuba mitihani ni shida!
 
Hizo tume wanazo unda hazinaga msaada wowote kwa serikali uchwala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…