macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Viongozi mazuzu wanasifiwa na wananchi mazuzu! Kazi iendelee.Daaah jamaa ameongea kwa Uchungu sana,
Asante Sana CCM kusimama na wananchi wakati wote,
Chama lazima kitetee waliokiweka madarakani,
Hongera Rais Samia,
Hongera Chongole
Hongera Shaka,
#KAZIIENDELEE
Ujumbe wangu ni kutembea na kutoka nje ya nyumbani unayoishi ili ujionee faida za royal tour, na sina zaidi ya hapo.Mkuu hivi umeelewa msingi wa swali langu? Hiyo lugha uliyoitumia mtu ya kwenda chooni na kurudi kwenye "laptop" sikutegemea kabisa kutoka kwa mtu kama wewe. Lakini sishangazwi sana katika kipindi kama hiki kwa watu kujitoa ufahamu na kujipendekeza ili tu wapate teuzi.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanamchonganisha Rais na wamachinga pengine kwa kujua au kutokujua,Sitaki kutia neno sikiliza hadi mwisho,
#CHAMAIMARA
#KAZI IENDELEE
Sitaki kutia neno sikiliza hadi mwisho,
#CHAMAIMARA
#KAZI IENDELEE
Mkuu Bukililo hiyo ndiyo lugha sahihi na ya kiungwana yenye kufikisha ujumbe pasipo kumuudhi mtu mwingine. Lakini pia swali langu lilijielekeza katika kutambua "royal tour documentary' ya Rais wetu imefikia wapi na wala si mafanikio yake.Ujumbe wangu ni kutembea na kutoka nje ya nyumbani unayoishi ili ujionee faida za royal tour, na sina zaidi ya hapo.
CCM imepata viongozi imara sana,Daaah jamaa ameongea kwa Uchungu sana,
Asante Sana CCM kusimama na wananchi wakati wote,
Chama lazima kitetee waliokiweka madarakani,
Hongera Rais Samia,
Hongera Chongole
Hongera Shaka,
#KAZIIENDELEE
🤣🤣🤣🤣Kwani bwana Amos Makalla anasema je mpaka hapo?
Moto wake leo balaa, CCM chama
Chama Dollar
CCM CHAMA,Kuna watu wanamchonganisha Rais na wamachinga pengine kwa kujua au kutokujua,
Kwanini muwapore vitu vyao tena hata baada ya kuwaongeza siku haya mama Samia hakuagiza,
Machinga wanabeba Uchumi mdogo wa nchi (micro economy) lazima tuwajali na kuwathamani sana,
Nia ya Rais ni njema sana kuwapatia permanent premises ili wapatiwe mikopo ili waende hatua za juu zaidi,
Wasaidizi wa Rais waelewe vizuri nia njema ya Rais wetu bila kumchonganisha na wapigakura wake,
Hongera sana CCM,
Leo mmeonesha nyie ndio chama dola na kila mtu yuko chini ya Chama na Wananchi ndio msingi wa yote,
#VIVA BODABODA
#VIVA BAJAJI
#VIVA MACHINGA
Asante CCMSitaki kutia neno sikiliza hadi mwisho,
#CHAMAIMARA
#KAZI IENDELEE
🤣🤣🤣🤣
Lazima ajue 2025 tunauchaguzi,
Swali gumu kwani inabidi vipande walivyorekodi viende Marekani ili vikaunganishwe ipatikane documentary moja. Nadhani ikiwa tayari itaanza kuonekana Youtube, lakini ni kwa kibali cha serikali yetu iliyomchangia Samia akaweza kuitengeneza.Mkuu Bukililo hiyo ndiyo lugha sahihi na ya kiungwana yenye kufikisha ujumbe pasipo kumuudhi mtu mwingine. Lakini pia swali langu lilijielekeza katika kutambua "royal tour documentary' ya Rais wetu imefikia wapi na wala si mafanikio yake.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Hii mbinu ya Serikali na ccm,mmoja anatengeneza tatizo,mwingine anatokea analitatua,wameikopy kwa jiwe Maghufuri."Eneo kubwa na la msingi tulioahidi watanzania ni namna ya kusimamia haki na usawa na fursa za maendeleo zinatolewa wakati wote nabkuhakikisha upatikanaji wa Ajira kwa Vijana"View attachment 1993283View attachment 1993285View attachment 1993284View attachment 1993287View attachment 1993288View attachment 1993286
Huu ni ule ule upumbavu wa kusema rais anapotoshwa na washauri wake utadhani rais ni zuzu asiye na akili. Rais ndiye anajichonganisha mwenyewe. Nchi yetu system ya uongozi imepitwa na wakati. Haiwezekani rais ndiye awe think tank wa kila kinachotokea kwenye nchi. Akiambiwa inahitajika system overhaul anajitoa akili na kusema eti apewe muda aujenge uchumi wakati kujenga uchumi bila kwanza kuweka misingi mizuri ya uongozi ni kitu kisichowezekana.Kuna watu wanamchonganisha Rais na wamachinga pengine kwa kujua au kutokujua,
Kwanini muwapore vitu vyao tena hata baada ya kuwaongeza siku haya mama Samia hakuagiza,
Machinga wanabeba Uchumi mdogo wa nchi (micro economy) lazima tuwajali na kuwathamani sana,
Nia ya Rais ni njema sana kuwapatia permanent premises ili wapatiwe mikopo ili waende hatua za juu zaidi,
Wasaidizi wa Rais waelewe vizuri nia njema ya Rais wetu bila kumchonganisha na wapigakura wake,
Hongera sana CCM,
Leo mmeonesha nyie ndio chama dola na kila mtu yuko chini ya Chama na Wananchi ndio msingi wa yote,
#VIVA BODABODA
#VIVA BAJAJI
#VIVA MACHINGA