Team JPM chuma wenzako uliowasaliti ndio wana hasira. Kwani walikuomba msaada uwasaidie!?
Hajasalitiwa mtu, ukiwa na hekima na mwenye kuona mbali ni lazima utagundua Rais wa sasa ana lengo gani na nchi hii.
 
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...
Nchi ishakuwa ngumu,kiongozi wa CCM badala ya kusimamia ilani anampiga mkwara mkuu wa mkoa.
 
Pumba kabisa huyu ushuzi wao makatazo yao. CCM ya wananchi ilishakufa.
 
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...
Hivi Chaka ni zaidi ya mkuu wa mkoa?
 
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...

Huyu Shaka mambo ya Tanganyika yanamhusu nini !.
 
Mama Samia angempa uwaziri usio na ofisi maalum jamaa anagonga kila sehemu anajiaminu mama tuondolee huyu huko chaman ake kutekeleza ilani bana.

Mnasema waislam wana hofu ya mungu sana sana mola awape mwisho mema
 
Ccm ina viongozi wa ajabu sana hawa ndio watakuja kuwa viongozi huko baadae na kizazi chetu kitaendelea kupata sarakasi ya mafuta,korosho,umeme na gesi mpaka umauti wao utakapowachukua kama sisi..
 
Kusimamia haki gani,kuna haki gani Tanzania mnasimamia,Sasa kila mtu ana sharubu.Naomba na makatibu wakuu wa vyama vyote nao watoe neno.Mwingiliano kila mahali.
 
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...
Safi sana chief
 
Hawa CCM waiache serikali ifanye kazi yake.
 
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam...
nzuri
 
Shaka ni mtu na nusu
 
Shaka Mtu na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…