Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

BBC Verify has identified damage at a defence ministry base to the east of Tehran, and at an air defence base to the south. Je sio mafanikio hayo, kaingia ndani ya nyumba yako kaondoka hujafanya lolote
 
Yes..hiki ndio alichotaka Israel ķionekane, kaingia saa 8 usiku katamba ndani ya anga lake katoka saa 12 asubuhi hakuna umemfanya.
 
Haya mambo wa Iran wa Mtego wa Noti mnayafurahia sana. Yakianza mashambulio mnakimbilia hospital na mashuleni huku mnaanza kuwalaumu taifa teule la wayahudi.

Tuombe amani irejee vita isikieni jama
Sidhani kama umesoma vizuri ulichoandika. Netanyahu alipigwa kombora katika nyumba yake, ikagundulika kuwa jamaa na ujanja wake wote kumbe haishi nyumbani kwake, analala shimoni (handakini)

Sasa unaleta visingizio vya hospital, toka lini ulisikia muajemi kajificha hospital.
 
ww subiri Yahudi amalizane na chawa wa iran than utalia Iran itakapo geuzwa kifusi
ww subiri Yahudi Amalizane na chawa wa iran! Ndipo utakapo Iona Iran ikigeuxwa kifusi 🔥🔥🔥
 
Iran haijasema lolote..? Ili hawa kobaz watulie maana wanadhan israel karusha maziwa
 
Inabidi Ayatollah, apige Kurjuani, yaani yeyote aliyehusika Kwa namna Moja au nyingine azabwe Kofi, iwe fundisho.
Unaambiwa leo hii mashariki ya kati hakukaliki. Netanyahu na genge lake tumbo joto. Wakihofia Ayatollah kupiga tena kwenye mshono kama kawaida yao.
 
Pole unadhani ni rahisihivo
 
Wakikuuliza watu mtu mjinga anakuwa namna gani, uwajibu kuwa kuwa ni hivyo wewe. Wewe ndiyo definition sahihi ya mtu mjinga. Familia kadhaa huko Iran zipo kwenye maombolezo, na kuna Wairan wapo hospitali wakipigania uhai wao.
Source ya taarifa yako ni gazeti la tel aviv ya kongowe 😂😂😂
 
Kuna watu vita hamuijui vizuri, vita haijawai kuzoeleka hata siku moja
 
Ushahidi uko wapi kuonesha kuwa ndege hizo ziliingia Iran?

Acha porojo. Hiki sio kijiwe cha kunywea chibuku na kusambaza uongo. Leta facts.
 
Mpaka kombora linapigwa nyumbani jamaa hawakufanya homework yao vizuri kufikia kutokujua Mwamba halali kwake?
 
View attachment 3135936
hapo ni lazima wameenda wanajeshi si chini ya 50..maana iran kwa uongo hatuwawezi..sasa hadi ukiona wamekubali kwamba kuna maafa basi ujue maji yamewafika shingoni
Naona unajamba na kunusa mwenyewe. Source zimetengenezwa na vyombo vya magharibi na Israel kisha kuvirusha katika vijiwe vya kunywea gongo wayahudi wa bonyokwa ambao wamezichukua na kuzileta humu wakifikiri kuwa kila mtu ni mjinga kama wao.
 
Mpaka kombora linapigwa nyumbani jamaa hawakufanya homework yao vizuri kufikia kutokujua Mwamba halali kwake?
Lengo lilikuwa kuwaonesha kina Netanyahu kwamba mifumo yao ya ulinzi waliyopewa na Marekani THAAD pamoja na Iron Dome yao vyote kwa pamoja haifanyi kazi mbele ya drone za Iran.

Kama nyumba ya Netanyahu yenye ulinzi inashambuliwa na drone moja tu iliyotumwa kwao huku Iron Dome na THAAD zinaangalia, vipi kama wangeamua kupiga tu hovyo hovyo nyumba za raia kama afanyavyo Israel huko gaza na Lebanon?
 
kwani nimesema uongo?
Umesema ukweli,lakini siyo jambo jipya wala habari mpya. Ni spychological effects ambazo wanajeshi hukutana nazo wakiwa vitani au baada ya kutoka vitani.
 
Shambulio la drone lililopiga nyumba ya Netanyahu limefichua wazi kuwa waziri mkuu huyo na ujanja wake wote huwa halali kwake. Anaanzisha vita huku akiandaa handaki la kuishi mapema.

Angekuwa mwanaume angeendelea kuishi kwake tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…