Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Niaje waungwana

Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa.
Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel kushindwa kupiga hata kituo kimoja cha polisi. Maandalizi yalikuwa makubwa mno lakini mashambulizi yalikuwa madogo mno. Ndege 100 ambazo hata hivyo hazikuingia ndani ya anga la Iran ni kama vile zilienda kuzurura tu kwa wenzao.

Gharama kubwa za maandalizi ya shambulizi, mafuta na propaganda halaf zinafika kwenye mpaka adui na kutoka bila kuacha hasara ni aibu na fedheha kubwa kwao.

Sasa baada ya kuona wameshindwa kufanya chochote cha maana. Kuna kundi la wayahudi wetu wa bonyokwa na wale wa tel aviv ya Tandale wamekuwa wakikusanya kusanya vipicha picha na video za vile vishambulio vya Gaza na kuviunganisha hapa kwenye tukio la leo ili kuwahadaa wajinga wenzao kuwa shambulio la Israel lilifanikiwa kwa kiwango kikubwa kitu ambacho sio kweli.

Shambulio lao lilikuwa la hovyo sana ndomaana dunia haijui kinachoendelea huko Iran. Hii ni tofauti na mashambulio ya Iran ambayo huwa na uzito na kuifanya dunia karibia yote ikiiongozwa na nchi za magharibi kulaani shambulio la Iran nchini Israel. Siku zote mtemi mwenye nguvu akimpiga mnyonge, watu husema na kupiga kelele. Lakini mnyonge akijitutumua kumpiga mtemi watu huwa hawaoni wala kulalamika, maana hakuna madhara ambayo mwenye nguvu anaweza pata.

Tuombe Mungu Ayatollah asitoe kauli kuhusu kashambulio hako. Maana akitoa tu kauli, basi Netanyahu na genge lake watalazimika kuwakimbiza wanajeshi wao na familia zao shimoni mapema (handakini) kabla kiyama kingine hakijawakuta wakiwa juu ya ardhi wakitembea. Ayatollah huwa hatanii na kauli yake haibadilishwi na mtu yoyote hapa ulimwenguni.

Kwa aibu hii ya leo, kushindwa vita na hezbulah, ukijumlisha nyumba ya Netanyahu kushambuliwa huku THAAD na Iron Dome zikiiangalia. Netanyahu angekuwa mzalendo wa kweli angejiuzulu. Lakini kwa tamaa zake anataka mpaka afie uongozini. Yani hata hayati mzee Mwinyi amemshinda uadilifu.
BBC Verify has identified damage at a defence ministry base to the east of Tehran, and at an air defence base to the south. Je sio mafanikio hayo, kaingia ndani ya nyumba yako kaondoka hujafanya lolote
 
We Mbwiga tuliza kibandiko!

Lengo la Israel linajulikana tangu mwanzo!! Lengo ilikuwa nikumuonesha Iran kwamba anaweza kuingia ndani ya Iran na kupiga popote.

IDF imetamba kwenye anga la Iran usiku kucha bila kudondoshwa ndege yake hata Moja!!

IDF imepiga vituo vya Kijeshi inavyotaka japo Iran unajifanya kusema wamekufa Wanajeshi 2 tu!! Hilo ndo lengo kuu la Israel.

Sasa akitaka kuuona moto wenyewe ajaribu retaliation
Yes..hiki ndio alichotaka Israel ķionekane, kaingia saa 8 usiku katamba ndani ya anga lake katoka saa 12 asubuhi hakuna umemfanya.
 
Haya mambo wa Iran wa Mtego wa Noti mnayafurahia sana. Yakianza mashambulio mnakimbilia hospital na mashuleni huku mnaanza kuwalaumu taifa teule la wayahudi.

Tuombe amani irejee vita isikieni jama
Sidhani kama umesoma vizuri ulichoandika. Netanyahu alipigwa kombora katika nyumba yake, ikagundulika kuwa jamaa na ujanja wake wote kumbe haishi nyumbani kwake, analala shimoni (handakini)

Sasa unaleta visingizio vya hospital, toka lini ulisikia muajemi kajificha hospital.
 
Ama kweli upumbavu huwa hauishi kwa baadhi ya watu weusi. Wewe unategemea habari za vyombo vya habari vya Israel ndo zikupe ukweli wa kile kilichofanyika Iran 😂😂😂

Unanikumbusha kipindi kile cha ugomvi wa Kikwete na Kagame. Magazeti ya Rwanda yalikuwa yanaandika kwamba nchi yao imeshaitarget Tanzania muda mrefu, sasa wanasubiri amri tu wamkamate Kikwete. Mara sijui Membe na mke wa Kikwete ni wahutu nk.

Baada ya kuona Kikwete kasogeza jeshi mpakani na Rwanda huku akiahidi kuliamuru jeshi hilo muda wowote kuingia Rwanda kumtoa Kagame, magazeti yale yakaacha kuandika ujinga wao, na Kagame akanywea mpaka siku Kikwete anatoka madarani hayakurudi kuandika tena chochote kuhusu Kikwete wala Tanzania.
ww subiri Yahudi amalizane na chawa wa iran than utalia Iran itakapo geuzwa kifusi
Ama kweli upumbavu huwa hauishi kwa baadhi ya watu weusi. Wewe unategemea habari za vyombo vya habari vya Israel ndo zikupe ukweli wa kile kilichofanyika Iran 😂😂😂

Unanikumbusha kipindi kile cha ugomvi wa Kikwete na Kagame. Magazeti ya Rwanda yalikuwa yanaandika kwamba nchi yao imeshaitarget Tanzania muda mrefu, sasa wanasubiri amri tu wamkamate Kikwete. Mara sijui Membe na mke wa Kikwete ni wahutu nk.

Baada ya kuona Kikwete kasogeza jeshi mpakani na Rwanda huku akiahidi kuliamuru jeshi hilo muda wowote kuingia Rwanda kumtoa Kagame, magazeti yale yakaacha kuandika ujinga wao, na Kagame akanywea mpaka siku Kikwete anatoka madarani hayakurudi kuandika tena chochote kuhusu Kikwete wala Tanzania.
ww subiri Yahudi Amalizane na chawa wa iran! Ndipo utakapo Iona Iran ikigeuxwa kifusi 🔥🔥🔥
 
We Mbwiga tuliza kibandiko!

Lengo la Israel linajulikana tangu mwanzo!! Lengo ilikuwa nikumuonesha Iran kwamba anaweza kuingia ndani ya Iran na kupiga popote.

IDF imetamba kwenye anga la Iran usiku kucha bila kudondoshwa ndege yake hata Moja!!

IDF imepiga vituo vya Kijeshi inavyotaka japo Iran unajifanya kusema wamekufa Wanajeshi 2 tu!! Hilo ndo lengo kuu la Israel.

Sasa akitaka kuuona moto wenyewe ajaribu retaliation
Iran haijasema lolote..? Ili hawa kobaz watulie maana wanadhan israel karusha maziwa
 
Inabidi Ayatollah, apige Kurjuani, yaani yeyote aliyehusika Kwa namna Moja au nyingine azabwe Kofi, iwe fundisho.
Unaambiwa leo hii mashariki ya kati hakukaliki. Netanyahu na genge lake tumbo joto. Wakihofia Ayatollah kupiga tena kwenye mshono kama kawaida yao.
 
Swali Kwa Muirani wa Goba na Myahudi wa Kwa mpalange, hizo ndege zimepita anga la nchi Gani? Ningependa kujua maana tulisikia hapa hapa kutoka Kwa Wayahudi wa kitete na Waajemi wa kemondo hakuna nchi yeyote ghuba imeruhusi anga lake kutumika kufika Iran.

Ushauri wangu Hayatola, inabidi apige kitu kizito Cha Mwana nikome tena waki coordinate vizuri yaani Hezibullah, Hamasi, Huthi wapige Kwa wakati Mmoja, wakati "Iron dome" ikiangaika kuzuia hivi vikombora vya gerage ndio supersonics zinatua. Bibi lazima akili imkae. Tumechona na hivi vitisho vya kila Siku.
Pole unadhani ni rahisihivo
 
Wakikuuliza watu mtu mjinga anakuwa namna gani, uwajibu kuwa kuwa ni hivyo wewe. Wewe ndiyo definition sahihi ya mtu mjinga. Familia kadhaa huko Iran zipo kwenye maombolezo, na kuna Wairan wapo hospitali wakipigania uhai wao.
Source ya taarifa yako ni gazeti la tel aviv ya kongowe 😂😂😂
 
Israel akishirikiana na Marekani, France Uingereza na washirika wake wameshirikiana kurusha ndege 100 kwaajili ya kuiangamiza Iran ila wamefanikiwa kutungua embe 1 tu lililokua juu ya mti.

Sasa Israel wasubiri comeback ya mwanaume waanze kusafisha mahandaki ya kujifichia maana Iran hana mbili kwenye 1 wala haongei sana ni vitendo tu
Kuna watu vita hamuijui vizuri, vita haijawai kuzoeleka hata siku moja
 
Kitendo cha ndege za adui kuja kwako na zikafanya chochote hata kama ni kidogo na zikaondoka usifanye lolote tayari ni ushindi mkubwa, kumbuka hizo ndege zimetoka israel hadi iran kisha zikarudi, najua unaifahamu geografia ya middle east, iran hatoweza kusema ukweli nini kimetokea sababu ni msiri kama alivyo norfh korea.
Ushahidi uko wapi kuonesha kuwa ndege hizo ziliingia Iran?

Acha porojo. Hiki sio kijiwe cha kunywea chibuku na kusambaza uongo. Leta facts.
 
Sidhani kama umesoma vizuri ulichoandika. Netanyahu alipigwa kombora katika nyumba yake, ikagundulika kuwa jamaa na ujanja wake wote kumbe haishi nyumbani kwake, analala shimoni (handakini)

Sasa unaleta visingizio vya hospital, toka lini ulisikia muajemi kajificha hospital.
Mpaka kombora linapigwa nyumbani jamaa hawakufanya homework yao vizuri kufikia kutokujua Mwamba halali kwake?
 
View attachment 3135936
hapo ni lazima wameenda wanajeshi si chini ya 50..maana iran kwa uongo hatuwawezi..sasa hadi ukiona wamekubali kwamba kuna maafa basi ujue maji yamewafika shingoni
Naona unajamba na kunusa mwenyewe. Source zimetengenezwa na vyombo vya magharibi na Israel kisha kuvirusha katika vijiwe vya kunywea gongo wayahudi wa bonyokwa ambao wamezichukua na kuzileta humu wakifikiri kuwa kila mtu ni mjinga kama wao.
 
Mpaka kombora linapigwa nyumbani jamaa hawakufanya homework yao vizuri kufikia kutokujua Mwamba halali kwake?
Lengo lilikuwa kuwaonesha kina Netanyahu kwamba mifumo yao ya ulinzi waliyopewa na Marekani THAAD pamoja na Iron Dome yao vyote kwa pamoja haifanyi kazi mbele ya drone za Iran.

Kama nyumba ya Netanyahu yenye ulinzi inashambuliwa na drone moja tu iliyotumwa kwao huku Iron Dome na THAAD zinaangalia, vipi kama wangeamua kupiga tu hovyo hovyo nyumba za raia kama afanyavyo Israel huko gaza na Lebanon?
 
kwani nimesema uongo?
Umesema ukweli,lakini siyo jambo jipya wala habari mpya. Ni spychological effects ambazo wanajeshi hukutana nazo wakiwa vitani au baada ya kutoka vitani.
 
Benja amenywea kama siyo yy
FB_IMG_17299215508377794.jpg
 
Exclusive: Iran's supreme leader taken to secure location, sources say​

ayatolah mwenyewe sa ivi yuko kwenye mahandaki kama panya buku
Shambulio la drone lililopiga nyumba ya Netanyahu limefichua wazi kuwa waziri mkuu huyo na ujanja wake wote huwa halali kwake. Anaanzisha vita huku akiandaa handaki la kuishi mapema.

Angekuwa mwanaume angeendelea kuishi kwake tuone.
 
Back
Top Bottom