Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

acha ushamba ww,, unavaaje nguo zajesh ww? ili iweje,, watu wamesota mafunzo mda mrefu vichapo na mambo magum sana halaf ww unakuja kuvaa kizembezembe tu,, hata hufukiliii hata kuleta huu uz hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HV una akili Kweli unadhani jeshi Ni wajinga mtu anaweza kutupia gwanda za jeshi na kwenda nayo huko namanjire kunyanyasa raia na kutapeli mm nasepa hata lesso Ni kosa kisheriaa Hili jeaho liheshimiwe
 
Kwanini uone kuwa haitawezekana wakati tunaona sehemu zingine jambo hilo lipo huru na hakuna hofu hiyo unayoisema wewe?
 
Hili jeahi liheshimiwe
Akili za kindezi hizi. Jeshi linaheahimiwa kwa mavazi?? Jeshi linaheahimiwa kwa mbinu za kivita na weledi wake. Siyo kuvunjia tofali kichwani na kulingishia raia mavazi
 
Alikuwa sahih snaa katot Cha nurseri najuwa nn
 
Ninyi mnaovaa hayo maguo ndio washamba.

Hivi yanavutia nini haswa kama sio usela mavi tu?
 
Hakuna jeshi duniani linapitia mafunzo makali na bora kama jeshi la Marekani.
et marekan!!unawaabudu sana hao wajinga wenzio,, kaish huko bas,, usitulinganishe ss na sheria za hao pimbi,,, ko wao ndo wanamafunzo makal sana kutuzid ss?? wabongo na vtu vya ugaibun bana, changamoto,, jitahid hata na ww uoende vya kwen maana ndipo ulipo kulia mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kifungu kipi kinachosema kuwa ni kosa kuvaa mavazi yanayofanana na ya jeshi.
Penal code (Chukua Penal code iliyofanyiwa marekebisho june 2022) Unaweza ukachukua Kifungu cha 178 chote kakisome ndio kuna hilo katazo
 
Kwanini uone kuwa haitawezekana wakati tunaona sehemu zingine jambo hilo lipo huru na hakuna hofu hiyo unayoisema wewe?
Shida yako unaona wasanii na watu maarufu wakivaa bhasi unajua ni wote.

Hata Tanzania Imeruhusu Matumizi ya sare hizo Kwa mtoto yoyote au msanii kulitumia kwenye Kazi ya sanaa na sio kuvaliwa mtaani kama Nguo..
Nilipost Screenshot ya Hiyo Part ya sheria soma Coments #17
 
Hujui umuhimu wa hilo kaa kimya, ni hatari
 
Ukiwa na hilo wazi ukishikwa na kupata mkung'oto waambie huo ni ushamba watakuachia.
 
HV una akili Kweli unadhani jeshi Ni wajinga mtu anaweza kutupia gwanda za jeshi na kwenda nayo huko namanjire kunyanyasa raia na kutapeli mm nasepa hata lesso Ni kosa kisheriaa Hili jeaho liheshimiwe
Wanajeshi huwa wanatumia gwanda zao kunyanyasa au kutapeli raia??
 
Lakini kwanini wavae. Hebu fikiria mtu kavaa full uniform kama mjeda au polisi huoni Kwa nchi kama yetu anaweza tumia huo mwanya kutapeli/kunyanyasa watu?

Kweli kabisa kibongo bongo hii ni fulsa kwa watu fulani
 
Hapana sio wasanii au uvaaji wowote unaohitaji kibali.

Bali ni ruksa kwa mtu yeyote as long as hatumii mavazi hayo ku pretend kama ni ex soldier au namna nyingine ambayo ni illegal
 
Acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…