Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni


Serikali wasitishe kabisa hili zoezi. Halina afya kwa utengamano wa taifa. Sensa nzuri ya waumini wa dini yoyote ile ni kule wanako abudu. Na kule utapata namba halisi, maana viongozi wao watakupa orodha ya waumini wao wote. Watakupa pia na status zao. Yupi yiko active na yupi yuko dormant.
 
acha kutetea udini wewe, hivi shuleni unawezaje kupata idadi kamili ya wanafunzi wa dini au dhehebu fulani? Let's say UKWATA, TYCS, CASFETA/TAYOMI, UHIMA na wengingine wengi wakati wanafunzi hubadilisha dini na dhehebu kwa uhuru wawapo shuleni/chuoni? Udini haukubaliki Tanzania/Tanganyika
 
Kwanini wasifanye sensa ya wanafunzi wa dini zote, au wa dini zingine hawana somo la dini?!!!
Hilo ndo lingeondoa sintofahamu inayojitokeza.
Ni sahihi kuweka Takwimu za shule bayana i.e. Shuleni wapo watoto kadhaa kwa mchanganuo wa Darasa, Jinsia, Umri, Dini n.k. Lakini ukishaanza kuwapitishia sensa ya kutaka wale wa dini fulani tuu; lazima utoe maelezo ya kina ni kwa lengo gani unataka wale wa Imani/dini hiyo tuu? Kwani hawamwamini Mwl.Mkuu wakionana naye watapata idadi wanayoitaka kwa kuangalia kwenye consolidated Register ya wanafunzi hapo shuleni au ni mpaka wafanye sensa hiyo wao wenyewe? Kuna nini? Ingelifaa Serikali isitishe jambo hili mara moja vinginevyo linaweza kuleta shida hapo mbeleni.Tuweni makini sana. Mambo ya Udini-udini hayajawahi kumwacha mtu salama.
 
kwa manesi na maofisi mengine wali win. Ni full maushungi kwa kwenda mbele
 
Inafikirisha sana. Mbona Ipo sheria ya JMT inayomtaka mzazi awaepeleke bila shuruti watoto wake shuleni ikiwa ni mojawapo ya Hitajio la Haki za Mtoto?
Tuwe makini jamani isijekuwa wanatafutwa wale walio physically fit and Trainables ili wapewe "sponsorship" na kupelekwa huko... kupata mafunzo maalum halafu baadaye wakishafuzu warejee hapa na waje kuwarudi wale wa dini nyingine a.k.a Makafiri. Kumbuka walisha wahi kufanya hivyo na wakakamatwa na katika timbwili hilo wakakutwa na mavisu na mafunzo yasiyo katika Mitaala ya Tz. Hatujifunzi tuu??
 
Soma hapo namba 2.
Iwe iwavyo, utaratibu wa Serikali unadai kwamba katika masuala nyeti kama hilo, Barua inatakiwa isainiwe na Mkurugenzi Mtendaji (W)in Person na sio Kaimu mkurugenzi. Barua iliyosainiwa na Ag. DED ni batili.
 

Why"maybe?"shuleni hawaendi waslamu na wakristo ila wanafunzi,waslamu na wakristo wanapatikana msikitini na kanisani,hizo research zifanyike huko na sio shule.
 
Kipindi hicho nasoma haya mambo yalikuwepo hasa advance school, unakuta karatasi zinapita Kwa lengo la kufahamu idadi ya waumini wa dini Fulani au dhehebu Fulani wako wangapi na hata walimu pia...binafsi naona si vibaya kabisa lakini lazima itolewe sababu ya kufanya hivyo, it's very simple kuwa tunataka idadi ya wanafunzi wa kiislamu kwasababu ya hivi na hivi na kama matumizi yake ni nje ya Shule basi lazima govt itoe vibali nk...sioni shida kama Kuna taratibu nzuri..
 
Watakuwa binamu za Mama kutoka Oman wanataka kujua idadi ya waislam Tanzania.
 
Kuna watu wanajichetua sana
Mimi naona wakristo ni watu wanafiki sana ,yaani wanajifanya kukemea mambo kumbe wao ndio watendaji wakuu wa hayo wanayoyapigia kelele
Mtu anaulizia lini elimu ya dini imeingizwa kwenye mtaala ,Sasa huyo kama sio mnafiq ni nani, Ina maana hajafika hata kidato cha kwanza ? Au hakuwahi kusikia kuhusu bible knowledge kipindi chote alichosoma
Yaani mtu anakua na chuki mpaka anapitiliza
Kipindi nasoma advance ilikua ikifika ijumaa tunaenda swala ya ijumaa misikiti ya mjini ,hadi turudipo shuleni tunakuta wameshakula chakula cha mchana, tukaomba kua watuhifadhie chakula maana mara nyingi ilikua tunakosa kama hukumuagiza rafikiako akuchukulie ila cha ajabu ilipigwa zengwe balaa tena kiongozi wa chakula alikua kiongozi wa kwaya sijui dhehebu
Watu wana roho mbaya sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…