Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

Huyu ndiyo zero kabisa bora hata ya mleta mada unaweza ukajilazimisha kumuelewa lakini huyu!!!

Utapoteza muda wako tu na nimekuwa surprised hapo juu amejiweka kundi la wenye akili wakati humu inaaminika ndiye member mwenye akili ndogo kuliko wote.
Hahahaaa ila wewe jamaa bhana kwamba umekuwa surprised jamaa kajiweka kwenye kundi la wenye akili duh
Hahahaa dah watu mnachekesha sana
 
mjingamimi naomba elimu juu ya hili
 

Mbona hakujafanyika uchunguzi wowote? Unafikiri watu wangejaribu kumuua au angepigwa nyundo mtu kama Mwamposa, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally, Dr Malasusa, wahusika hadi sasa wangekuwa uraiani hadi sasa?

Uhuru wa kujieleza ni mwingi wakati umeingia hapa JF na VPN, Jackton Manyerere anatishiwa maisha sababu ya interview yake na Warioba, Maxence Melo ametishiwa uhai wake sababu wanataka atoe taarifa za watu. Upo serious?

Kitima amesema alishauriwa asiende kumzika Mhagama, unafikiri ni kina nani wanataka kumuumiza, kumteka na kumpoteza?
 
Si kweli kwamba Tanzania haiwezi kuruka, inaweza, ila tunajilemaza wenyewe kufikiri haiwezi kuruka.
Huyu mtu amepuyunga sana nilisoma hii hoja hake anayofikiri kwamba nchi zote lazima zifuate mlolongo mrefu wa maendeleo na mabadiliko kama waliopitia nchi za Western huko karne za zamani nikachoka, sijui hajawahi kusikia kuhusu Tiger economies na tiger cub economies ambapo serikali zilizibadilisha nchi kabisa kutoka uduni wa kila aina ndani ya miongo mitatu au minne tu. Hajui leo nchi masikini zina fursa kubwa ya kubadili mambo kwa haraka kwa sababu ya taarifa, teknolojia na fursa ya kujifunza katika mambo mazuri na makosa ya wengine waliotangulia.
 
Exactly,

Watu wana ji condition ujingani wenyewe kabla ya mtu wa nje kufanya lolote, halafu wakifeli wanatafuta mchawi aliyewaroga ni nani.
 
Huyu ndiyo zero kabisa bora hata ya mleta mada unaweza ukajilazimisha kumuelewa lakini huyu!!!

Utapoteza muda wako tu na nimekuwa surprised hapo juu amejiweka kundi la wenye akili wakati humu inaaminika ndiye member mwenye akili ndogo kuliko wote.
Wewe fyongo brain unajitutumua 😂
Wewe na huyu kilaza wote ni mbulula wafia dini, macho yamewatoka kwa kuwa wametajwa TEC, na hakuna hoja yoyote mnayoleta zaidi ya kumshambulia mtoa mada binafsi
Nyumbu wote nyie
 
Asante kwa uchambuzi huru ambao haukuegemea popote. Kuna nondo muhimu za kujifunza humu
1. Si vizuri kudhihirisha ugomvi kati yako na adui yako/usiyempenda
2. Si vizuri kuhusisha ndugu zako au jamaa zako katika uongozi wako hata kama hauvunji sheria
3. Viongozi wa Katoliki wakati mwingine wamekuwa wakijali zaidi maslahi yao binafsi kupitia mgongo wa dini. Ila kuna kila dalili kuwa siri hii haijulikani kwa waumini kwasababu RC wametengeneza mfumo wa utiifu kwa waumini wao usio wa kawaida. Mfumo wa utiifu wa waumini wa RC ni zaidi ya ule wa kijeshi. Na kimsingi, hapa ndipo kwenye kete ya ushindi kwa RC.
4. Unahitaji kuchanga karata zako vizuri pale unapoingia mtego wa kuchagua rafiki ili kumkomoa adui yako.
5. ..........
Asante sana.
 
Hata Yesu Kristo aliuwawa na viongozi wa dini ya Kiyahudi chini ya usimamizi wa dola ya Kirumi..

Hili la dini (dini zote) kushiriki uovu ikiwemo mauaji na ufisadi, haliko kwa Wakatoliki tu. Ni dini zote. Wakatoliki wanakuwa front page kwa kuwa, ndiyo mama na baba wa asili ya dini ya u-kristo. Madhehebu mengine yote yametoka huko...

Na ndo kusema kuwa mizizi na mifumo ya Kanisa Katoliki ni very deeply rooted underneath na ni imara kwelikweli. Kuing'oa mizizi hii ni kazi kubwa sana na pengine haiwezekani. Hata mifumo mingi ya kiserikali duniani iko connected na mifumo ya kanisa hili...

Na kumbuka dini si utakatifu, sio Mungu. Ni mfumo tu wa serikali za kibinadamu wa kutambua makundi ya kumwabudu huyo Mungu na kuyapa haki ya kisheria...

Kama ulikuwa hujui ndugu MALCOM LUMUMBA ni kuwa hata hizi dini za kilokole (imani kali), kuna uchafu na uovu mkubwa huendelea humo ndani

MASWALI YA MSINGI HAPA NI HAYA:

MOSI: Je, ni kweli kanisa katoliki halikuwahi kutenda mabaya dhidi ya watu ???
​
Ni dini ya Ukristo kwa ujumla (si kanisa Katoliki pekee).

Jibu ni kuwa limetenda sana. Nimesema hapo juu, hata Yesu Kristo na mitume wengine kina Petro, Yohana nk na manabii waliuwawa na mifumo dhalimu ya kidini...

THE BIG FACT NI KUWA: Roman Catholic ni kokoro kubwa lililobeba watu wa kila aina wabaya na wazuri. Bahati mbaya ni pale kanisa linapopata kiongozi mkuu mbaya. Hapo tegemea kanisa kushiriki kwenye mambo mabaya kwa mwavuli wa kanisa. Hii ni sawa na serikali tu. Yaweza kupata kiongozi mzuri au mbaya kabisa na serikali yote kuonekana hovyo kama ilivyo sasa...

PILI: Je, ni kweli kanisa katoliki halikuwahi kuunga mkono vitendo dhalimu vya watawala wakatoliki ambao walinyanyasa watu ???​
Huwa linaunga. Yaweza kuwa kwa hiari au kwa bahati mbaya na kutojua..

Yesu Kristo aliuwawa na wanadini wa Kiyahudi chini ya utawala wa Kirumi kwa ujinga wa kutojua..

TATU: Je, ni sahihi kusema kanisa katoliki halina uhalali wowote kukemea maovu kwasababu ya vitendo hivi vya kihistoria ???​
No, si halali. Mwanadamu (ambaye ndiye msingi wa dini) ni volatile. Ndiyo maana kuna toba. Ukitubu hubadili jina, unabadili mwenendo na tabia..

Inawezekana wakati fulani ktk kipindi cha uongozi fulani kanisa lilifanya makosa kama haya. Lakini linapogundua na kujirudi, Mungu husamehe. Umetoa mifano hiyo ktk andiko lako hapo juu...

NNE: Je, ni sahihi kusema kanisa katoliki lote ni taasisi ovu kisa matendo ya viongozi wake wachache tu ndani ya Kanisa ??? (Hapa zingatia muktadha wa Rwanda 1994)​
Sio sahihi. Soma hoja hiyo hapo juu👆🏻

TANO: Je, ni sahihi kusema kanisa katoliki linafanya mabaya tu ilhali tunakataa kusema mazuri yake pia ambayo lilifanya kama kusaidia harakati za ukombozi barani Afria na America kwa kusomesha maelfu ya wasomi ???​
Sio sahihi. Soma majibu yangu ya hoja yako ya 3...

SITA: Je, Kanisa Katoliki linampinga Samia kwasababu ya Uislamu wake tu ???​
Sio kweli.
Ni kwa sababu hafai kuwa Rais au kiongozi mkuu wa nchi hii. Uislamu wake haujawahi kuhusishwa na kupingwa au kukosolewa kwake. Ni insecurity yake tu inamsumbua kwa sbb ya udhaifu wake...

Anajificha kwenye kichaka cha "KWA SABABU NI MWISLAMU" ni kuficha au watu wasione udhaifu au mapungufu yake...

SABA: Je, Kanisa Katoliki halijawahi kuwapinga viongozi wa Kikristo ???​
Limewahi katika awamu zote, kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mahufuli. Tena wakati wa Magufuli vita yake na kanisa lake ilikuwa kubwa mno kwa sbb hakupenda kanisa likosoe sera na matendo yake mabaya..

Magufuli Mkatoliki, alifikia hatua kuhoji uraia wa baadhi ya maaskofu wakristo mfano Niwemugizi, Zachary Kakobe nk walikiona cha moto toka kwa mkristo mwenzao mkatoliki ili mradi anaitwa "Rais.."

NANE: Je, uovu unapofanyika dhidi ya raia, ni sahihi Kanisa Katoliki kunyamaza na kufumba macho kuwafurahisha watawala ilhali lina uzoefu wa miaka zaidi ya 2000 ya kuona nini huwa madhara ya kutokemea uovu ??? ​
Sio sahihi hata kidogo..

Kanisa kawaida ni chombo cha Mungu mwenyewe kueneza na kutekelezea agenda zake hapa kwa watu wake. Agenda ya maadili mema, upendo, kuthamini uhai wa mwanadamu, nk

Kuikemea serikali inapokwenda kinyume na agenda za Mungu kwa watu wake, ni kufanya au kutenda wajibu wa ki - Mungu. Yesu Kristo aliuwawa kwa sbb hii. Alikuwa kinyume na viongozi wa serikali na wa dini waliokuwa watenda kinyume na agenda za Mungu. Kuona hivyo, kwa sababu wao walikuwa na hela, bunduki na jeshi wakamshughulikia mpaka kumuua kifo kitakatifu kikawa ukombozi wa dunia yote na vilivyomo tukiwemo sisi binadamu...
Wengi wamefanya makosa, wanafanya na wataendelea kufanya....

Mtu kuwa kiongozi wa dini hakuondoi ubinadamu wake. Anabaki na ubinadamu wake akiishi hapa hapa duniani. Anaweza kukosea na kukengeuka wakati fulani na baadaye kujirudi anapogundua kosa lake na kuacha (kutubu)..

Ndio maana Yesu Kristo alikuja duniani. Ni ili kutuwezesha kushinda majaribu haya. Alisema, hata mtu akikosea mara 7 × 70 namba ya Mungu, akikumbuka kuwa amekosea, akatubu basi yeye humsamehe na kuwa mtu mpya..

Hata Samia Suluhu Hassan, pamoja na kushiriki direct or inderectly kuua raia wake mwezi uliopita, akigundua kuwa alifanya kosa, akitubu na kukiri ATASAMEHEWA BILA MASHARTI...

Kinachotusumbua wanadamu (akiwemo Samia na wenzake) ni kiburi na jeuri inayosababishwa na factors nyingi: Uzima, mali, fedha, bunduki na wakati mwungine ujinga tu wa kutojua..
 
Wewe ndio unajadili wakatoliki.

Sisi tunajadili HOJA zao.

US na UK hakuna MTAWALA MWIZI , Wala anayeua na kuteka watu wake OVYO OVYO.
Huaujadili hoja zao, unawajadili kwanini wametajwa kuwa na kiherehere wakati wao wenyewe wana maskemdo kibao, hawajawahi kujitoa na kujisema au kuchukua hatua yoyote hasa ESCROW, na hii ndio nguzo kuu ya ukatoliki, kuficha uchafu wao na kushoboka na vitu vingine kupoteza malengo
Leo hii dunia wamezodolewa kwa kubaka na kufira watoto wadogo
Hivi ni lini Katoliki Tanzania limeshawahi kutoa tamko kuhusu huyu padri aliebaka watoto au kulipa fidia kwa familia zao



Kule watu wengi hawaamini dini, lakini wanatokea familia za kidini.

Nchi kama US Republican mpaka leo wanaamini DINI.
Na wanavyoamini, hawataki wapumbavu kama wakatoliki wawaingilie kwenye maisha yao ndio maana waliwindwa na kupukutishwa.
Leo hii wana dini zao sio ukatoliki na wanakubali ushoga mpaka wachungaji wao wanaoaana kwa ndoa za jinsia moja
Leo hii ndio wakatoliki wameona hawana jinsi na kuamua kukubali ushoga ili na wao wakubalike kwenye hayo maitaifa ya US na Ulaya

Hii ni sababu yako ya kipumbavu tu.

US na UK mwenye mamlaka ni nani sasa?

Maana hata watawala wa US na UK hawana mamlaka.

Jambo la msingi hiyo biblia yake haijahalalisha
Huna hoja unaleta matusi
Unajua kabisa wakatoliki huko wapo wapo tu, UK Prime Minister lazima awe Anglican, na US wanasapotiwa na walokole wa Protestant na Evangelical, waliowahi kuwa Cathilic ni wawili katika historia ya US, na wote hawakumaliza urais wao.

Dhana ya biblia ya King James, ni kutotaka shobo za vatikan, walikuwa na kidomodomo akaona isiwe shida
Na kwenye suala la MAUAJI, kwanini mwizi akiiba mnamchoma moto, kwanini msimpleke kwa wachungaji wenu akaombewe, 80% ya walikufa kwenye fujo na uharibifu walikuwa wezi na wanyanganyi kwahihalali yao kula shaba, yale hayakuwa maandamano ya amani.
UTEKAJI, siku hizi imekuwa kila naekamatwa na polisi ametekwa, mbona zamani askari kanzu walikuwa wanakamata watu na hakukuwa na uzushi wa kutekwa, mnatumia nguvu nyinyi kutengeneza huu upupu wa kila anaekamatwa na polisi ametekwa.
WIZI, UFISADI, UTAPELI na RUSHWA- Hapa wakatoliki wana la kujibu na wao, kula hela ESCROW na si ndio walikuwa waasisi wa siasa za nyerere za kufanya watu kuwa masikini, matokeo yake kusababisha hulka ya wizi na ufisadi fuatilia maaskofu waliokuwa washauri wa nyerere serikalini

 
Leo uko very sober ndugu Dan Zwangendaba

Nime like jibu lako. Tunatakiwa kuwa hivi. Mtu akitoa hoja ya kujenga, tunakubaliana naye. Na pia tutofautiane kistaarabu...
 
Hizi hoja za ESCROW nimeshazijibu, ni uthibitisho mwingine kuwa CCM ni takataka na watawala wake ni MAVI ya NGURUWE.

Kuhusu ushoga, hilo nakuachia wewe na serikali yako, ambao mambo muhimu yamewashinda mmeanza kufuatilia mambo ya chumbani ya watu wa ughaibuni.

Kuweni makini tu, mtatobolewa na nyie.
 
Umeloa........ 😂
 
Asante
 
Hahahaaa ila wewe jamaa bhana kwamba umekuwa surprised jamaa kajiweka kwenye kundi la wenye akili duh
Hahahaa dah watu mnachekesha sana
😂
Huyo kichwa pumbu mlikuwa mnamuona anatoa mashudu kanikimbia, amekula mabanzi ya kutosha😂
Alikuwa anamuonea mleta mada kwa vikejeli na matusi, hana reasoning capacity yoyote😂
 
Nayaoni yakikarihia hapa kwetu. Watanzania watafurahi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…