Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

Alisema atamwaga hata damu ili nchi itokomeze kabisa vita vya madawa ya kulevya ili kuifanya nchi iwe salama. Mwaka 2022 Rodrigo Duterte alinukuliwa akisema hivi mbele ya Ummah "I will never, never apologize for the deaths" na kuendelea hivi "Kill me, jail me, I will never apologize". Wakosoaji wanasema kwamba kuua watoto wanaotumia madawa siyo njia sahihi, wale ni wagonjwa, walichokuwa wanahitaji ni msaada wa kisaikolojia na kiafya.
Shida zao hawa jamaa huwa wanaua kwa madai kwamba wanakomwsha wauza madawa lakini sio kweli, wanatumia mwamvuli huo kuhadaa wanyonge, lengo lao kubwa huwa ni

1. Kutumia vita dhidi ya madawa kukamata na kuua watu wasiowapenda na kuwasingizia kwenye tuhuma hizo
2. Kujaribu kuondoa upinzani wa kibiashara ili wao ndio wadominate kwenye biashara hiyo
 
Malcom Lumumba una madini kama ya Malcom X
MVUTANO NA KANISA KATOLIKI
Mwaka 2017 wakati mauaji yanaendelea, KANISA KATOLIKI ndiyo walikuwa vinara wa kupambana na serikali ya Duterte. Nchini Ufilipino kuna chombo kiitwacho, CATHOLIC'S BISHOPS CONFERENCE OF THE PHILLIPINES (CBCP) ambalo ndilo BARAZA LA MAASKOFU. Walikemea mauaji na kuandaa waraka mbalimbali ambazo zilisomwa makanisani na kwenye jumuiya kukosoa serikali. Jambo hili lilizua taharuki kubwa mno na Duterte na genge lake wakaamua kupambana na kanisa
 
Twenda taratibu kwa ushahidi.

Moja ya sababu kubwa kabisa ya Mzee Nyerere kutaifisha shule za kanisa haikuwa kutoa elimu peke yake, bali uhalisia uliokuwepo kwamba baadhi ya waislamu walitengwa kipindi cha ukolini kwenye kupata elimu. Kuna wasomi wa Tanganyika ili kupata elimu ilikuwa ni lazima wabadili dini na kuwa wakatoliki. Huu ulikuwa ni ubaguzi wa kimfumo (Systematic Discrimination) ambao uliligubika kanisa Katoliki duniani kote.

Ushahidi mwingine ni ule wa wazi, ambapo Ukatoliki uliunga mkono mauaji na unyanyasaji wa jamii zisizo za Kikatoliki duniani kote. Hili lina ukweli mchungu hata Papa Francis aliomba msamaha kwa jamii za WAHINDI WEKUNDU nchini CANADA kwa mamanyanyasao ambayo kanisa liliwafanyia kwenye maisha yao yote hadi kwenye mashule. Hili halikufanywa siku moja ni kwa miaka mingi mno.

Ushahidi upo na kanisa liliomba msamaha mbele ya dunia yote. Halikufanya hivyo kwa WAHINDI WEKUNDU, bali hata kwa WAYAHUDI ambapo Papa alienda mbali na KUWAOSHA MIGUU WAYAHUDI kwa makosa ya kibaguzi ambayo kanisa liliwafanyia kwa miaka zaidi ya elfu moja. Sasa kama kanisa lenyewe linawajibika utasemaje kwamba mimi nawatuhumu bure ???
=====================================================================

HOJA YA KISOMI HAPA NI HII:

MOSI: Je, ni kweli TEC wanamshambulia Samia kwasababu yeye ni Muislamu, Mwanamke na Mzanzibari ???

PILI: Je, ni kweli TEC hawajawahi kuwashambulia viongozi wa Kikristo, Wanaume na Watanganyika ???

TATU: Je, wanachokikema TEC ni kitu haramu au halali kwa serikali kukifanya ???

​
Hujaeleweka kabisa.

Nyerere mkatoliki, aliwanyang'anya wakatoliki shule ili waislam wasome. Tunahitimisha hakuwa mdini.

Nyerere aliwapenda Watanganyika wote, hasa waislam, akijua taasisi zao za elimu zilikuwa chache na akathubutu kuwapora madhehebu yote ya WAKRISTO shule, wa Anglican, Lutheran, Wasabato, Morovias, Methodist, nk ili kuwepo na usawa wa elimu.

Ila waislam wote wameshindwa kukemea mauaji yanayofanywa na Rais muislam.
 
Raisi Rodrigo Duterte hakuwa na akili. Hali akifahamu fika, Ufilipino lilikuwa ni koloni la Marekani yeye alienda kuanzisha uswahiba na Uchina. Wakati wenzake wote wa ukanda wa Pasifiki wakijiunga na Marekani, Australia, Japan na New-Zealand kusaidia "The Pivot To Asia" yeye alijifanya anakosoa na kuleta kauzibe. Marekani walijifanya hawamuoni lakini wakawa wanamvizia tu, na bahati mbaya akajaa kwenye mfumo.
Hii ina maana gani kwa hapa Tulipo Mr Malcom Lumumba?
 
Nimekudhalilisha, 😂
Walikuwa wanakuona unatoa mashudu kumbe unapayupayuka
Umeshaloa vimajimaji😂
Walikuwa wanakuona unatoa mashudu kumbe unapayupayuka

Umeshaloa vimajimaji

20251231_165528.jpg
 
Hujaeleweka kabisa.

Nyerere mkatoliki, aliwanyang'anya wakatoliki shule ili waislam wasome. Tunahitimisha hakuwa mdini.

Nyerere aliwapenda Watanganyika wote, hasa waislam, akijua taasisi zao za elimu zilikuwa chache na akathubutu kuwapora madhehebu yote ya WAKRISTO shule, wa Anglican, Lutheran, Wasabato, Morovias, Methodist, nk ili kuwepo na usawa wa elimu.

Ila waislam wote wameshindwa kukemea mauaji yanayofanywa na Rais muislam.
Kwenye hili alifanya vyema ila mengine alikuwa na mpango wake wa kujinufaisha kisiasa
 
ICC ikaruhusu uchunguzi dhidi ya Duterte, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu (Crimes Against Humanity). Tena kumkomesha wakaanza kufuatilia vitendo vyake vya mauaji tokea miaka ya 90's kupitia genge la kihalifu liitwalo, THE DAVAO DEATH (DDV). Ambapo inasemekana yeye alifahamu kinachofanywa na hili kundi la muaji ya raia akiwa Meya, lakini hakuchukua hatua zozote kuzuia UTEKAJI, UTESWAJI na MAUAJI.
Lakini hakuwatuma yeye, hapa si walimuonea?
 
Kwenye hili alifanya vyema ila mengine alikuwa na mpango wake wa kujinufaisha kisiasa
Alijinufaisheje kisiasa, wakati hakuacha hata mjukuu tu mwanasiasa, kama Hawa wanaojaza ukoo ikulu kama sebule ya nyumbani kwao., hata nyumba alijengewa na JKT kwa aibu na fedheha ya international guests, na akaachia kiti cha Rais kwa hiari. KUNG'ATUKA.

Huoni madikteta kama Museveni amegoma kuachia madaraka 39 years 1986-2025.

Nyerere walimlilia abaki akagoma.

Walipomchangia zawadi na mali mbalimbli za kustaafu na vijiji, wilaya, wananchi na taasisi mbalimbli, akazigawa kwa vyama vya ushirika.
 
Asante kwa uchambuzi huru ambao haukuegemea popote. Kuna nondo muhimu za kujifunza humu
1. Si vizuri kudhihirisha ugomvi kati yako na adui yako/usiyempenda
2. Si vizuri kuhusisha ndugu zako au jamaa zako katika uongozi wako hata kama hauvunji sheria
3. Viongozi wa Katoliki wakati mwingine wamekuwa wakijali zaidi maslahi yao binafsi kupitia mgongo wa dini. Ila kuna kila dalili kuwa siri hii haijulikani kwa waumini kwasababu RC wametengeneza mfumo wa utiifu kwa waumini wao usio wa kawaida. Mfumo wa utiifu wa waumini wa RC ni zaidi ya ule wa kijeshi. Na kimsingi, hapa ndipo kwenye kete ya ushindi kwa RC.
4. Unahitaji kuchanga karata zako vizuri pale unapoingia mtego wa kuchagua rafiki ili kumkomoa adui yako.
5. ..........
Asante sana.
Hivi ni dini gani/dhehebu gani waumini wake sio watiifu kwa viongozi wao?
Hii agenda ya wakatoliki kuwa watiifu kw viongozi huwa naisikia mara nyingi tu lakini uhalisia wake bado sijauona
 
Umewashutumu viongozi wa Katoliki kwa mambo mazito na makubwa.

Kuthibitisha kama madai yako ni ya kweli au ni ya kizushi, uongo unaweza kutoa ushahidi na mifano ya haya madai yako hapa Tanzania.

Tafadhari toa jina la hao viongozi Wakatoliki, vituo vyao vya kazi hapa Tanzania na walisema hayo mambo unayowashutumu wapi, lini, wakilenga nini, context ku-support na kuthibitisha madai yako, tuwekee ushahidi wa video au text kwenye madai yako namba hapo chini 1-5.

1.Viongozi wa Katoliki huwa wana udini uliopitiliza.

2. Wanaamini hii nchi ni mali yao.

3. Wanajiona wana haki ya kusema kama MIUNGU-WATU.

4.Ukiwasikiliza huwa hawaelewi kwanini wanatetea mengi wanayotetea.

5.Mengine siyo kutetea HAKI bali ni RELIGIOUS IMPULSE, rooted from entitlement and parochial
Mwandishi alikuwa anajaribu tu kubalance Stori labda hujamwelewa vema
 
Umetepeta.... 😂
Umeshindwa kujibu unaleta ujinga, na hivi ndio akili ya 95% ya nyinyi walugaluga na waporipori humu JF
Endelea kucheka cheka cheka na kuweka viemoji.

Hilo tundu la nyuma utaliponza
 
Kudos Mtoa mada
Leo umepiga nyundo za utosoni wakatoliki wanaweweseka humu hamna hata mmoja amejaribu ku reasons accordingly
Wanapayukapayuka, na wakishindwa wanaanza kukutukana
Najua unajua kumejaa mbulula mwanzo mwisho humu , umeona mabadiliko ya JF ya zamani mliokuwepo na hawa walugaluga na waporipori wa juzi kati waliotokea vyuoni na hawa eti ndio wasomi wenye vidigirii vya twisheni, sijui wamezipata vipi, na hii ndio akisia ya ukweli wa elimu ya kibongo miaka hii, ni zero brain, ndio maana hawaajiriki
Wamejaa humu kulopolopo tu
 
Endelea kucheka cheka cheka na kuweka viemoji.

Hilo tundu la nyuma utaliponza
Wewe ni *****, naona unataka niharibu mada muhimu kama hii kwa kuanza kutukanana
Nakutafuta sasa kwenye mada nyingine humu, na huwa siogopi ban utakula matusi ya kutosha, labda hujanifatilia posti zangu wananijua humu.
 
Kudos Mtoa mada
Leo umepiga nyundo za utosoni wakatoliki wanaweweseka humu hamna hata mmoja amejaribu ku reasons accordingly
Wanapayukapayuka, na wakishindwa wanaanza kukutukana
Najua unajua kumejaa mbulula mwanzo mwisho humu , umeona mabadiliko ya JF ya zamani mliokuwepo na hawa walugaluga na waporipori wa juzi kati waliotokea vyuoni na hawa eti ndio wasomi wenye vidigirii vya twisheni, sijui wamezipata vipi, na hii ndio akisia ya ukweli wa elimu ya kibongo miaka hii, ni zero brain, ndio maana hawaajiriki
Wamejaa humu kulopolopo tu
Duuuh! Mipasho tena.

Kwa tulipo fikia na tunakoelekea nchi hii inahitaji viongozi wenye akili tu kutuongoza la sivyo Tec watalalamikiwa kila siku.
 
Duuuh! Mipasho tena.

Kwa tulipo fikia na tunakoelekea nchi hii inahitaji viongozi wenye akili tu kutuongoza la sivyo Tec watalalamikiwa kila siku.
Wewe unaekurupuka na posti yangu, je umejaribu kujibu hata hoja yake moja aliyoleta ?
Mnasikitisha sana na viwango vyenu vya akili katika uelewo na uchanganuzi wa maudhui.
Achana na mimi mjibu mleta mada
 
Narudia tena,
Kwa tulipo fikia na tunakoelekea nchi hii inahitaji viongozi wenye akili tu kutuongoza la sivyo Tec watalalamikiwa kila siku.
 
Back
Top Bottom