Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

Uingereza walikuwa wanazozana na wakatoliki lakini kuanzia 1939 ikabidi waanze kushirikiana nao kwenye mambo ya kiutawala hasa ukizingatia wao ndiyo walikuwa na taarifa sahihi kuhusu Ulaya kipindi chote cha WW2. Walikuwa wakatoliki hawaajiriwi kabisa MI6 na MI5, baadaye baada ya watu kukomaa akili mambo yakabadilika sana.

Marekani moja ya chanzo cha Civil War 1861-1864, ilikuwa ni mvutano baina ya Ukatoliki na Uprotestanti. Kennedy ndiye Raisi wa kwanza Mkatoliki nchini Marekani, kiufupi walikuwa hawataki Mkatoliki atawale. Baadaye baada ya watu kukomaa akili mambo mengi yamebadilika Maraisi wakatoliki wamekuwepo.
=================================================================

TURUDI MADANI: Wewe unadhani nini utakuwa mwisho wa CCM vs TEC Rift ???
​
Sio CCM na TEC,bali ni Samia na TEC
 
Hoja ya kusoma hapa ni MASHTAKA YA DUTERTE HUKO ICC
1. Je yanaendana na mtawala aliyepo. Sasa?

2. Ikiwa yanaendana je ipo haja ya watu kupelekwa ICC?
3. Hoja ya ukatoliki/udini inakushusha viwango

Na inasikitisha kuona mada nzuri unaipeleka KIDINI
 
Aliyemtangulia mwenzake kuja mjini/ku exist hapa duniani ndie atakuwa mshindi. Inaweza chukua miongo kadhaa ila mshindi atakuwa yule ambae mizizi yake ni kirefu kidunia na sio ki mipaka ya nchi. ALIYE KUTANGULUA KAKUTANGULIA TU
 
TEC imefanya makosa mengi sana tangu kuanzishwa kwake.

Hata wakati Mwinyi anakuwa Raisi kuna baadhi ya viongozi walimfuata Nyerere kusema kwamba huyu mbona ni Muislamu. Nyerere akasema mimi mbona Mkristo nimetawala miaka zaidi ya 20 hamkuniuliza ???

Ushawahi kutokea mvutano mkali TEC na MUSLIMS hapa Tanzania kuhusu , Mzee Nyerere akasema hawezi kuwaonea haya Wakristo kwenye baadhi ya mambo na kuwakemea vilivyo. Mbona haya hamtaki kuyasema, au ndiyo SELECTIVE OUTRAGE ???
================================================================
Kuhusu LISSU, waliofungua kesi dhidi ya Tanzania kule LCIA walikuwa ni Acacia ambao hawakuwa wamepewa Certificate of Compliance na serikali ya Tanzania. Hivyo kesi ilitolewa LCIA na Barrick ambaye alisaini CONCESSIONS na Tanzania akaingia kwenye mjadala na serikali. Mbona hili liko wazi na limeandikwa sana hapa duniani, kwamba Acacia walikuwa hawana Locus Standi kufungua kesi LCIA wala kudai fidia MIGA. Au kuna jambo ambalo unalifahamu hatulifahamu ulitaje hapa ???
​
Lisu amefanyaje ,mikataba mnaingia kwa siri wenyewe mnataka lisu afanyaje lingine mtafute lugumi akwambie vizuri tumenyolewa au hapana
 
Hata Yesu Kristo aliuwawa na viongozi wa dini ya Kiyahudi chini ya usimamizi wa dola ya Kirumi..

Hili la dini (dini zote) kushiriki uovu ikiwemo mauaji na ufisadi, haliko kwa Wakatoliki tu. Ni dini zote. Wakatoliki wanakuwa front page kwa kuwa, ndiyo mama na baba wa asili ya dini ya u-kristo. Madhehebu mengine yote yametoka huko...

Na ndo kusema kuwa mizizi na mifumo ya Kanisa Katoliki ni very deeply rooted underneath na ni imara kwelikweli. Kuing'oa mizizi hii ni kazi kubwa sana na pengine haiwezekani. Hata mifumo mingi ya kiserikali duniani iko connected na mifumo ya kanisa hili...

Na kumbuka dini si utakatifu, sio Mungu. Ni mfumo tu wa serikali za kibinadamu wa kutambua makundi ya kumwabudu huyo Mungu na kuyapa haki ya kisheria...

Kama ulikuwa hujui ndugu MALCOM LUMUMBA ni kuwa hata hizi dini za kilokole (imani kali), kuna uchafu na uovu mkubwa huendelea humo ndani

Ni dini ya Ukristo kwa ujumla (si kanisa Katoliki pekee).

Jibu ni kuwa limetenda sana. Nimesema hapo juu, hata Yesu Kristo na mitume wengine kina Petro, Yohana nk na manabii waliuwawa na mifumo dhalimu ya kidini...

THE BIG FACT NI KUWA: Roman Catholic ni kokoro kubwa lililobeba watu wa kila aina wabaya na wazuri. Bahati mbaya ni pale kanisa linapopata kiongozi mkuu mbaya. Hapo tegemea kanisa kushiriki kwenye mambo mabaya kwa mwavuli wa kanisa. Hii ni sawa na serikali tu. Yaweza kupata kiongozi mzuri au mbaya kabisa na serikali yote kuonekana hovyo kama ilivyo sasa...

Huwa linaunga. Yaweza kuwa kwa hiari au kwa bahati mbaya na kutojua..

Yesu Kristo aliuwawa na wanadini wa Kiyahudi chini ya utawala wa Kirumi kwa ujinga wa kutojua..

No, si halali. Mwanadamu (ambaye ndiye msingi wa dini) ni volatile. Ndiyo maana kuna toba. Ukitubu hubadili jina, unabadili mwenendo na tabia..

Inawezekana wakati fulani ktk kipindi cha uongozi fulani kanisa lilifanya makosa kama haya. Lakini linapogundua na kujirudi, Mungu husamehe. Umetoa mifano hiyo ktk andiko lako hapo juu...

Sio sahihi. Soma hoja hiyo hapo juu👆🏻

Sio sahihi. Soma majibu yangu ya hoja yako ya 3...

Sio kweli.
Ni kwa sababu hafai kuwa Rais au kiongozi mkuu wa nchi hii. Uislamu wake haujawahi kuhusishwa na kupingwa au kukosolewa kwake. Ni insecurity yake tu inamsumbua kwa sbb ya udhaifu wake...

Anajificha kwenye kichaka cha "KWA SABABU NI MWISLAMU" ni kuficha au watu wasione udhaifu au mapungufu yake...

Limewahi katika awamu zote, kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mahufuli. Tena wakati wa Magufuli vita yake na kanisa lake ilikuwa kubwa mno kwa sbb hakupenda kanisa likosoe sera na matendo yake mabaya..

Magufuli Mkatoliki, alifikia hatua kuhoji uraia wa baadhi ya maaskofu wakristo mfano Niwemugizi, Zachary Kakobe nk walikiona cha moto toka kwa mkristo mwenzao mkatoliki ili mradi anaitwa "Rais.."

Sio sahihi hata kidogo..

Kanisa kawaida ni chombo cha Mungu mwenyewe kueneza na kutekelezea agenda zake hapa kwa watu wake. Agenda ya maadili mema, upendo, kuthamini uhai wa mwanadamu, nk

Kuikemea serikali inapokwenda kinyume na agenda za Mungu kwa watu wake, ni kufanya au kutenda wajibu wa ki - Mungu. Yesu Kristo aliuwawa kwa sbb hii. Alikuwa kinyume na viongozi wa serikali na wa dini waliokuwa watenda kinyume na agenda za Mungu. Kuona hivyo, kwa sababu wao walikuwa na hela, bunduki na jeshi wakamshughulikia mpaka kumuua kifo kitakatifu kikawa ukombozi wa dunia yote na vilivyomo tukiwemo sisi binadamu...

Wengi wamefanya makosa, wanafanya na wataendelea kufanya....

Mtu kuwa kiongozi wa dini hakuondoi ubinadamu wake. Anabaki na ubinadamu wake akiishi hapa hapa duniani. Anaweza kukosea na kukengeuka wakati fulani na baadaye kujirudi anapogundua kosa lake na kuacha (kutubu)..

Ndio maana Yesu Kristo alikuja duniani. Ni ili kutuwezesha kushinda majaribu haya. Alisema, hata mtu akikosea mara 7 × 70 namba ya Mungu, akikumbuka kuwa amekosea, akatubu basi yeye humsamehe na kuwa mtu mpya..

Hata Samia Suluhu Hassan, pamoja na kushiriki direct or inderectly kuua raia wake mwezi uliopita, akigundua kuwa alifanya kosa, akitubu na kukiri ATASAMEHEWA BILA MASHARTI...

Kinachotusumbua wanadamu (akiwemo Samia na wenzake) ni kiburi na jeuri inayosababishwa na factors nyingi: Uzima, mali, fedha, bunduki na wakati mwungine ujinga tu wa kutojua..
Kila dini ina AGENDA yake binafsi nayo ni KUJITANUA. Sasa aidha kutumia nguvu ya dola, pesa, mtutu wa bunduki au ushawishi wa mahubiri.

Waumini wengi wa dini, WAKATOLIKI, WAISLAMU, WALOKOLE, WASABATO n.k huamini KANISA/MSIKITI KWANZA NCHI BAADAYE. Viongozi wa dini hapa Tanzania wamekuwa mstari wa mbele kukemea maovu, jambo ambalo tunaliunga mkono, lakini kuhusu nia (Intention) ya kukemea hayo maovu ndiyo tunatofautiana.

Binafsi hii siyo mara ya kwanza kuzungumza hapa jukwaani kuhusu hili. Watanzania wanapenda sana dini na ukweli huwa hawaouoni, ila siku za karibuni hizi siasa za TEC vs BAKWATA zitalipeleka taifa kwenye korongo baya ambalo kutoka itakuwa ngumu.

Siku zote huwa nasema hapa jukwaani kwamba: MUDA NI MWALIMU MZURI.

Katika hili tujipe muda na tuombe uzima, MWAKA HAUISHI HUU tutarudi hapa.
​
 
Asante kwa uchambuzi huru ambao haukuegemea popote. Kuna nondo muhimu za kujifunza humu
1. Si vizuri kudhihirisha ugomvi kati yako na adui yako/usiyempenda
2. Si vizuri kuhusisha ndugu zako au jamaa zako katika uongozi wako hata kama hauvunji sheria
3. Viongozi wa Katoliki wakati mwingine wamekuwa wakijali zaidi maslahi yao binafsi kupitia mgongo wa dini. Ila kuna kila dalili kuwa siri hii haijulikani kwa waumini kwasababu RC wametengeneza mfumo wa utiifu kwa waumini wao usio wa kawaida. Mfumo wa utiifu wa waumini wa RC ni zaidi ya ule wa kijeshi. Na kimsingi, hapa ndipo kwenye kete ya ushindi kwa RC.
4. Unahitaji kuchanga karata zako vizuri pale unapoingia mtego wa kuchagua rafiki ili kumkomoa adui yako.
5. ..........
Asante sana.
Kwenye siasa za kidini watu hawawezi kueleweshwa kwa mazungumzo hata siku moja, mpaka wayaishi madhara ndipo akili huwa zinawajia.

Historia ya dunia inaonesha kwamba kote duniani, ambako siasa za udini zimeingilia utawala wa nchi yametokea mambo mawili tu: A GENOCIDE or A COMPROMISE.

Ili kuhakikisha kundi moja la kidini linakuwa na nguvu kubwa ya ushawishi kwenye dola na nchi ni lazima lilizime kundi jengine kupitia muaji ya halaiki, A GENOCIDE, ili liweze kutawala kirahisi. AU wavutane lakini wakubaliane kugawana madaraka (Power Sharing) kupitia, A COMPROMISE.

Kusipokuwepo na A COMPROMISE kwamba kundi moja lifahamu kwamba haliwezi kuliondoa jingine wala kutawala nchi bila upande mwingine, lazima utapata A GENOCIDE. Hakuna MIDDLE GROUND hapa, aidha uchague kusuka au kunyoa.

Sasa kwenye hili letu hapa nchini TUJIPE MUDA TU.
​
 
Kila dini ina AGENDA yake binafsi nayo ni KUJITANUA. Sasa aidha kutumia nguvu ya dola, pesa, mtutu wa bunduki au ushawishi wa mahubiri.

Waumini wengi wa dini, WAKATOLIKI, WAISLAMU, WALOKOLE, WASABATO n.k huamini KANISA/MSIKITI KWANZA NCHI BAADAYE. Viongozi wa dini hapa Tanzania wamekuwa mstari wa mbele kukemea maovu, jambo ambalo tunaliunga mkono, lakini kuhusu nia (Intention) ya kukemea hayo maovu ndiyo tunatofautiana.

Binafsi hii siyo mara ya kwanza kuzungumza hapa jukwaani kuhusu hili. Watanzania wanapenda sana dini na ukweli huwa hawaouoni, ila siku za karibuni hizi siasa za TEC vs BAKWATA zitalipeleka taifa kwenye korongo baya ambalo kutoka itakuwa ngumu.

Siku zote huwa nasema hapa jukwaani kwamba: MUDA NI MWALIMU MZURI.

Katika hili tujipe muda na tuombe uzima, MWAKA HAUISHI HUU tutarudi hapa.
​
Wewe ni MPUMBAVU.

Unataka kututoa kwenye AGENDA za MAOVU, MAUAJI, UTEKAJI na kutupeleka kwente VI-AGENDA UGOKO vya kufikirika kuwa DINI zitafanya hivi, au zitafanya vile.

Kwahiyo, wakiacha kukemea hayo MAOVU, NA Mauaji ndio AGENDA zao binafsi, hazitakuwepo na watu wataacha kaumini dini, zao ili waamini serikali??

Ukishaanza kuwa na mashudu kochwani, simulia ndugu zako, achana na watu wenye akili timamu.

TZ ina misingi yake, na lazima misingi hiyo iheshimiwe.
 
Hoja ya kusoma hapa ni MASHTAKA YA DUTERTE HUKO ICC
1. Je yanaendana na mtawala aliyepo. Sasa?

2. Ikiwa yanaendana je ipo haja ya watu kupelekwa ICC?
3. Hoja ya ukatoliki/udini inakushusha viwango

Na inasikitisha kuona mada nzuri unaipeleka KIDINI
Okay Mkuu, we wait and see........!​
 
Unajua Mkuu MALCOM LUMUMBA kuna tabia fulani ambayo wengi wetu wa wachangiaji wa JF tunayo. Yaani, wengi wetu huwa tunashindwa kutofautisha uchambuzi wa pande zote (balanced analysis) na upendeleo (bias).

Wanaposikia hoja inayogusa upande wao wa kihisia au hoja ambayo hawakubaliani nayo huwa wanaishia kuhitimisha kuwa; mwandishi ana upande, au anasogeza kete ya agenda fulani.

Mkuu, wewe umeelezea hali ilivyo na ukaacha mazingira fulani ili wachangiaji washiriki kwa kuitanua mada zaidi kwa kufikiri kwa kina.

Ninachokiona kwa wachangiaji wengi kujaa hisia binafsi na kutofanya tathmini ya hoja.
Mkuu ondoa wasiwasi, binafsi watanganyika na wazanzibari nawamudu vizuri kwasababu nawafahamu.
Hicho ambacho kinatokea hapa ni kidogo mno kuliko ambacho kinatokea ndani ya taasisi za serikali.
Mvutano wa kidini nchi hii umekuwepo kwa miaka mingi, and it's a very delicate balance of power.

Ni kwamba udhaifu wa SAMIA na CCM ndiyo vimedhihirsha nyufa zilizopo hapa nchini.
Sisi ambao hatufagilii DINI ndiyo tunaweza kukiona kile ambacho waumini wengi hamkioni.

Nadhani katika hili, MUDA ndiyo utakuwa mwalimu mzuri, tutazijua mbivu na mbichi.
​
 
MALCOM LUMUMBA mkuu Leo umejichanganya na hisia za wengi sio kwa ubaya lengo lako lilikuwa zuri ila umechanganya mambo mengi kwenye mada Moja , hads kipindi hiki Cha masononeko hata Shetani hugeuka malaika , TEC kwa Sasa ndiye kisemeo na tegemeo la waliokosa matumaini hata kama Wana Makosa yao ya nyuma ynakosa uhalali na nguvu sababu ya Hali ya Sasa, Andiko ni zuri ila inaonekana kama umeng'ata na kupuliza

Kosa kubwa nililiona ni WEWE KIWAZUNGUMZA TEC IN NEGATIVE WAY katika kipindi hiki au Umzungumze LISSU kwa mabaya kipindi hiki lazima watu waruke na wewe tu
NDIYO, TEC wanawasemea watanzania.

Lakini TEC ni moja ya taasisi ambayo imechangia Tanganyika kufika kwenye hii hali mbaya.

Nafahamu mada kama hizi zinaibua hisia kwa waumini, but facts are stubborn things.

SAMIA hatamaliza miaka 5, lakini haya matatizo yataendelea kuwepo na makubwa zaidi.
================================================================================

Tatizo ni pale ambapo wengi tunaamini kwamba SAMIA akishaondoka nchi itajirudi kama zamani.

Samia siyo Ugonjwa (A Disease), bali ni Dalili (Symptoms) za Ugonjwa ambao umekuwepo hapa nchini kwa miaka mingi na Kanisa Katoliki limekuwepo moja ya taasisi zilizochangia huo ugonjwa kuwepo. Utakataa, utaghafilika, utanitukana au utapinga lakini ukweli hauwezi kupindishwa na hata wewe unalifahamu hili vizuri.

Ila kama siku zote nilivyosema, Tanzanians are not ready for this conversation.

Mkuu Baro wewe ni moja kati ya wanachama ninaowaheshimu mno humu jukwaani, na nachelea kusema katika hili basi tujipe muda. Panapo majaliwa ya MWENYEZI MUNGU tutarudi hapa miaka michache ya baadaye kuipitia tena upya hii mada. Kama nitakuwa nilikosea nitakiri ukweli, lakini TUJIPE MUDA.

Mzee na GT Kwa heshima kubwa,naomba ukipata wasaa utuletee Uzi kuhusu uuzwaji wa hazina ya dhahabu.Tupate elimu kwamba ni faida au hasara.
 
Kusoma Mada Kama hizi, ili kuchangia inabidi Kofia za kidini na Madhehebu zivue na uziweke mbali ya kichwa na fikra zako.
 
NDIYO, TEC wanawasemea watanzania.

Lakini TEC ni moja ya taasisi ambayo imechangia Tanganyika kufika kwenye hii hali mbaya.
​
Imechangiaje??

  • Aidha husemi
  • Au unaleta hata vijistori uchwara vya kuchonga chonga, halafu unataka watu wenye akili timamu wakuamini tu unachosema

Nafahamu mada kama hizi zinaibua hisia kwa waumini, but facts are stubborn things.​
Defensive mechanism.

Hakuna mtu timamu ataamini conspiracy theories na vijistori vya chumbani kwako.

Leta FACTS uaminike. Usijifiche kwe ye kichaka mfu cha watu watainua hisia.

Kama.kuna kitu TEC wanakitetea ambacho ni maslahi yao pekee, kiseme wazi.

Ndio maana BAKWATA wanapopambania MAHAKAMA ya Kadh zie.deshwe na serikali hisia zinakiwa juu, kwasababu wanataka kuweka gharama za uendeshaji wa mambo yao kwa watu wasiohusika.

Au OIC , wakati msingi wa nchi ni SECULAR.

SAMIA hatamaliza miaka 5, lakini haya matatizo yataendelea kuwepo na makubwa zaidi.​

Matatizo ni sehemu ya binadamu duniani.

Makosa yapo ila MADHAMBI yanatakiwa kuepukwa kwa gharama yoyote na siyo kiyq-KAWADISHA.
================================================================================

Tatizo ni pale ambapo wengi tunaamini kwamba SAMIA akishaondoka nchi itajirudi kama zamani.
​
Hao wengi wanaoamininni kina nani?

TZ haiwesi kiongozi malaika, ila inaweza kupata kiongozi mwe ye akili, asiyefa ya MADHAMBI.

Hatutaki PRECEDENCE za MAUAJI na UTEKAJI halafu ikaonekana ni sehemu ya UTAWALA na SIASA.

Samia siyo Ugonjwa (A Disease), bali ni Dalili (Symptoms) za Ugonjwa ambao umekuwepo hapa nchini kwa miaka mingi na Kanisa Katoliki limekuwepo moja ya taasisi zilizochangia huo ugonjwa kuwepo. Utakataa, utaghafilika, utanitukana au utapinga lakini ukweli hauwezi kupindishwa na hata wewe unalifahamu hili vizuri.

Ila kama siku zote nilivyosema, Tanzanians are not ready for this conversation.

Mkuu Baro wewe ni moja kati ya wanachama ninaowaheshimu mno humu jukwaani, na nachelea kusema katika hili basi tujipe muda. Panapo majaliwa ya MWENYEZI MUNGU tutarudi hapa miaka michache ya baadaye kuipitia tena upya hii mada. Kama nitakuwa nilikosea nitakiri ukweli, lakini TUJIPE MUDA.
​
 
Mzee na GT Kwa heshima kubwa,naomba ukipata wasaa utuletee Uzi kuhusu uuzwaji wa hazina ya dhahabu.Tupate elimu kwamba ni faida au hasara.
The only thing I wish for Tanzanians now, is for them to experience strife, chaos, mayhem and loss.

Events like these and that of 29/10/2025 are what's needed for a nation of lazy and impudent people.

When people experience Betray then they'll see the importance of Trust.

When people experience Chaos then they'll see the importance of Peace.

When Tanzanians lose a little of what they have today, then they'll understand gratitude.

====================================================================================
Huu ni mwanzo tu, nakwambia SAMIA kafanya mabaya ambayo ukisikita masikio yatakuwasha.

Na binafsi nafurahi kwasababu mpaka ninyi watanganyika mkutwe na mambo kama Rwanda na Somalia ndiyo mtapunguza mizaha, upuuzi na ufedhuli. Kilichotokea October 29 ni mwanzo tu, kwasababu bila hata SAMIA kuwepo ni lazima kingetokea tu Tanganyika kwasababu ya mazingira ya siasa zetu kwa miaka 50 mfululizo. Sema wengi mnadhani kwamba SAMIA ndiyo kayaleta. Haya yalikuwepo kitambo.
========================================================================================

Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ufinishi, Uswidi, Udachi na kwingineko kote ambako huwa mnapenda kutolea mifano ya kuigwa kwa demokrasia walipitia haya ambayo mnayapitia leo hii miaka 500 hadi 200 iliyopita. Marekani na Uingereza zilibaki kidogo zipasuke vipande kisa siasa za kidini kama ambavyo inaendelea hapa Tanzania. Tanzania ina miaka 60 tu, hivyo kufika walipo wengine kama Marekani na Uingereza lazima mlipie gharama. Hamuwezi kuruka hatua.

Hapa tulipofika kama nchi, mijadala ya kisiasa ishashindwa kurirudisha taifa kwenye mstari. Hivyo machafuko tu ya kiwango kikubwa yatakapotokea na kila mtu aguswe na watu wapate hasara zisizoweza kufidiwa ndipo mtakaa chini na kuanza kutumia vichwa kufanya maamuzi. Kila upande utakuwa na adabu. Ulaya na Asia zilikinywea kikombe, hata ninyi Watanganyika mtakinywea. Very Soon.
​
 
NDIYO, TEC wanawasemea watanzania.

Lakini TEC ni moja ya taasisi ambayo imechangia Tanganyika kufika kwenye hii hali mbaya.

Nafahamu mada kama hizi zinaibua hisia kwa waumini, but facts are stubborn things.

SAMIA hatamaliza miaka 5, lakini haya matatizo yataendelea kuwepo na makubwa zaidi.
================================================================================

Tatizo ni pale ambapo wengi tunaamini kwamba SAMIA akishaondoka nchi itajirudi kama zamani.

Samia siyo Ugonjwa (A Disease), bali ni Dalili (Symptoms) za Ugonjwa ambao umekuwepo hapa nchini kwa miaka mingi na Kanisa Katoliki limekuwepo moja ya taasisi zilizochangia huo ugonjwa kuwepo. Utakataa, utaghafilika, utanitukana au utapinga lakini ukweli hauwezi kupindishwa na hata wewe unalifahamu hili vizuri.

Ila kama siku zote nilivyosema, Tanzanians are not ready for this conversation.

Mkuu Baro wewe ni moja kati ya wanachama ninaowaheshimu mno humu jukwaani, na nachelea kusema katika hili basi tujipe muda. Panapo majaliwa ya MWENYEZI MUNGU tutarudi hapa miaka michache ya baadaye kuipitia tena upya hii mada. Kama nitakuwa nilikosea nitakiri ukweli, lakini TUJIPE MUDA.
​

sawa, lets give the give the devil its due kwamba tec na Christians ni tatizo, lkn sasa suluhisho ni lipi? kwa maana muslims wanapambana against the so called ''mfumo Kristo'' i.e kubomoa mfumo wa uliowekwa na wakoloni, swali linabakia halafu wa-replace na upi? kwani hakuwezi kuwa na vacuum ni lazima kuwe na mfumo utakaotawala, hivyo swali langu kwako tunatokaje hapa`? nini kifanyike labda kuokoa nchi na maisha ya watu kwa maana kwa muslims ni swala la muda tu na kwamba watabomoa mfumo Kristo na kwa Christians maana yake wawe ''defeated'' na kukubali kuishi kwa kufuata ''mfumo islam'' i.e sharia utakao wekwa, kwa maana nyingine kupindua meza, lkn bado Christians ni majority tanzagiza hivyo hiyo transition ya kuleta ''mfumo islam'' haitakuwa bloodless sasa suluhisho kwa maoni yako ni lipi? nini kifanyaike labda kuokoa damu itakayaomwagika ili kuestablish mfumo islam?

plus usisahau kwamba kuna de facto islamic political parties in tanzagiza by muslims and for muslims namely cuf na act, yaani ni vyama ambavyo vinapambana kuongoza serikali lkn ni islamic, sasa tunatokaje hapa katia hali kama hii? ni lipi suluhisho la kudumu? ...
 
Asia na Ulaya zilinywea kikombe?????

Hivi una miaka mingapi??

Sasa kama suala linalotokea siyo jipya, limewahi kutokea huko kwingine, ni kwanini wewe usijifunze kwa wengine walichopitia ili wewe ukwepe hali hiyo??

Kwamba MNA GENGE LENYE AKILI ZA NYUMBU, kiasi kwamba JANGA lililomtokea FULANI, hamna akili ya kujifunza mnachosubiri na kwenu LITOKEE ndio MJIFUNZE.

AKILI ZA MIZOGA ya NYUMBU.
 
sawa, lets give the give the devil its due kwamba tec na Christians ni tatizo, lkn sasa suluhisho ni lipi? kwa maana muslims wanapambana against the so called ''mfumo Kristo'' i.e kubomoa mfumo wa uliowekwa na wakoloni, swali linabakia halafu wa-replace na upi? kwani hakuwezi kuwa na vacuum ni lazima kuwe na mfumo utakaotawala, hivyo swali langu kwako tunatokaje hapa`? nini kifanyike labda kuokoa nchi na maisha ya watu kwa maana kwa muslims ni swala la muda tu na kwamba watabomoa mfumo Kristo na kwa Christians maana yake wawe ''defeated'' na kukubali kuishi kwa kufuata ''mfumo islam'' i.e sharia utakao wekwa, kwa maana nyingine kupindua meza, lkn bado Christians ni majority tanzagiza hivyo hiyo transition ya kuleta ''mfumo islam'' haitakuwa bloodless sasa suluhisho kwa maoni yako ni lipi? nini kifanyaike labda kuokoa damu itakayaomwagika ili kuestablish mfumo islam?

plus usisahau kwamba kuna de facto islamic political parties in tanzagiza by muslims and for muslims namely cuf na act, yaani ni vyama ambavyo vinapambana kuongoza serikali lkn ni islamic, sasa tunatokaje hapa katia hali kama hii? ni lipi suluhisho la kudumu? ...
After a fervent diabolical denial, at least you've come back to your senses.

Muslims and Catholics have a stupid sense of entitlement and delusions of grandeur.
Catholic and Muslim clerics have been ardent recipients of CCM largesse, at both institutional and personal capacities. TEC and BAKWATA in their peak hypocrisy endorsed corrupt politicians like Jakaya Mrisho Kikwete, and his menacing successor John Pombe Magufuli only to renege later when interests could not align. If you wish to fight corrupt system, you first start by declining its benefits which are nothing short of proceeds of crime.

Having done that, then the Church as a collective must go in a brutal metamorphosis of holding itself of accountable for all the mayhem it has wrought against Tanganyika and Zanzibar, for cozying up to tyrants and corrupt politicians. Catholics must own their mistakes and realize a bitter truth that, this state is not a Medieval Europe Papal State that's led by Bulls (NYARAKA) and whims of Cardinals.

If you're always finding fault and pointing fingers at other people, imploring them to change yet you fail to demonstrate a pious example, then you're what Lord Jesus Christ told the Pharisees of his time that they're nothing but HYPOCRITES who love to be seen holy before the multitude, yet they are dead woods in the inside. That's a case of TEC and a cohort of their followers.
=================================================================================
With Muslims, they must realize a bitter truth that their Arab Prophet is dead. Revere him or not. Keeping his good memories or not, are tasks specifically reserved to nobody else but them. A circular state like Tanzania cannot be burdened to give them anything other than securing their Constitutional right to worship freely. No Kadhi Court, No OIC, and No flirting with extremist ideas of Political Islam, expecting a state apparatus to relent. Tanzania as a state owes you nothing.

If they are not comfortable with Tanzania being a circular state, then they can go to Arabia where they can be near Mecca, Medina, Munificent Oil Barons and Arab Subservience (Arab Racism) which many Muslims Love. They must realize they can't get what they always want.
Finally, they must shed a cocoon of UNAFIKIS and exaggerated Propaganda of MFUMO-CHRISTO, same time forgetting that Corrupt and Inept Muslim Presidents like Jakaya Kikwete and Samia Suluhu, whom they chauvinistically support like a horde of Zombies are their Chief Oppressors and Back-Stabbers.
===================================================================================

If the Government of Tanzania has chosen to put similar measures in place as those of Kageme's Rwanda or Communist China, then believe me, half of this crazy ruckus we are witnessing could have been kept at bay: YOU PLAY, YOU LOSE YOUR HEAD.

TZ is a circular state......

bado nafikiri you are being too soft on muslims, anyway wacha iwe hivyo btw umevisoma lkn vitabu vya T. Sowell naona umeweka picha yake ingawaje maoni yake mengi yanaendana na Christian conservatism, nimesoma vitabu vyake vingi lkn ni kama anapingana na unavyoelezea na amesifu sana siuccess ya tanganyika kabla ya kuporwa na communism na islam, amelezea jinsi tanganyika au hata uganda (idi amini was muslim) zilivyokuwa successful kabla ya kukopi communism na kubomoa the whole colonial capitalistic economic system which was very successful, just wondering kwa maana umeweka avatar yake ingawaje maoni yake (Sowell) yanakwenda tofauti na ulivyoelezea ...
 
NDIYO, TEC wanawasemea watanzania.

Lakini TEC ni moja ya taasisi ambayo imechangia Tanganyika kufika kwenye hii hali mbaya.

Nafahamu mada kama hizi zinaibua hisia kwa waumini, but facts are stubborn things.

SAMIA hatamaliza miaka 5, lakini haya matatizo yataendelea kuwepo na makubwa zaidi.
================================================================================

Tatizo ni pale ambapo wengi tunaamini kwamba SAMIA akishaondoka nchi itajirudi kama zamani.

Samia siyo Ugonjwa (A Disease), bali ni Dalili (Symptoms) za Ugonjwa ambao umekuwepo hapa nchini kwa miaka mingi na Kanisa Katoliki limekuwepo moja ya taasisi zilizochangia huo ugonjwa kuwepo. Utakataa, utaghafilika, utanitukana au utapinga lakini ukweli hauwezi kupindishwa na hata wewe unalifahamu hili vizuri.

Ila kama siku zote nilivyosema, Tanzanians are not ready for this conversation.

Mkuu Baro wewe ni moja kati ya wanachama ninaowaheshimu mno humu jukwaani, na nachelea kusema katika hili basi tujipe muda. Panapo majaliwa ya MWENYEZI MUNGU tutarudi hapa miaka michache ya baadaye kuipitia tena upya hii mada. Kama nitakuwa nilikosea nitakiri ukweli, lakini TUJIPE MUDA.
​
MALCOM
Matatizo ya nchi hii ukiyaangalia kwa kina tatizo sio TEC hapa nakataa , TEC wanaweza kuwa na changamoto zao hasa katika maslahi yao ya ki nchi na Kidunia (Vatican) lakini si wao ndio tatizo
Hawa jamaa tangu waanze kuwapo miaka 2000 iliyopita (Namaanisha kanisa) wamepitia mengi sana na tawala nyingi sana kidhalimu ikiwamo wao kufanya lakini huwa wanajisahihisha

Kwa Sasa kwa upepo ulivyo TEC ni mwokozi kwa Watanzania hasa katika suala la kupigania HAKI ya kuishi ambayo CCM na Serikali wanaidogosha sana

Matatizo ya nchi hii ni haya
1. Mifumo
2. Watu

Hakuna mifumo imara ya check and balance na kama ilikuwapo hapo nyuma kwa Sasa haipo ,nchi imekuwa genge la wahuni hakuna unafuu Kila Mahala pameoza , uzalendo hakuna , hapa ndio Kitabu Cha Hayati SHABAN ROBERT kiitwacho KUSADIKIKA kinachukua nafasi

2. Watu , watu ndio wanaunda mifumo kiufupi nchi yetu kuanzia civil servants hadi politicians hatuna watu ambao kwa Sasa wanaweza pigania hili Taifa hakuna mipango inayotekelezwa kuiona Tanzania yenye Neema

Kiufupi tunaishi ili siku zisogee hatuna nchi Wala Taifa kwa Sasa
 
Back
Top Bottom