Again, Mungu akusamehe kwa sababu wengine matatizo yanaanzia kwenye malezi yenu!!Kabla huyo mungu hajanisemehe mimi angeanza kwanza kuwasamehe nyie wapumbavu ambao mmekosa akili za kujikita kutaka mabadiliko dhidi ya mfumo dhalimu uliofanya utekaji na mauaji ya raia wake ni sera yake ya kutawala nchi na badala yake mko kwenye ujinga wa kukosoa na whataboutism kwa walioweka maisha yao rehani katikati ya giza kudai haki, mabadiliko na uhai wa watu kuheshimiwa.
Halafu kama mmekuwa watabari hadi mnajua yaliyomo kwenye vichwa vya maaskofu wa TEC kwa nini hamkujua ujinga wenu wa utekaji, mauaji na kuharibu uchaguzi kutasababisha machafuko October 29 na kuleta mgawanyiko mbaya kuwahi kutokea kwenye nchi??
Melo yumo humu na athibitishe hapa kama anao na amesema iko siku atauweka, hospitali kupokea maiti na majeruhi sio ushahidi wa kuthibitisha madai yako inawezekana zikawa za wahalifu pia,Maxence Melo anao ushahidi amesema kuna siku atauweka wazi. Fr Kitima amesema kama kanisa wana ushahidi mwingi, wa kutosha, hadi ushahidi wa maiti na majeruhi waliowapokea kwenye hospitali zao nchi nzima.
Polisi walienda kuomba majeruhi hospitalini na kuchukua maiti. Kitima, TEC wanaweza kuwapa ICC huo ushahidi na Fr Kitima akawa Shahidi kabisa star witness kwenye kesi, pamoja na kina Sativa, Dada yake Polepole huyu alitekwa katika jitihada kumtafuta Polepole.
Ushahidi mwingi sana utawekwa wazi kesi ya ICC ikianza.
Taifa liliingiaje kwenye mtihani wa madawa ya kulevya, wakati 80% hupata mafunzo ya uharamu wa kutumia, kufanya biashara hata kushiriki kwa namna yeyote ile na madawa ya kulevya.Bahati mbaya sana ni kwamba asilimia 80% ya raia wa Ufilipino ni wakatoliki. KANISA KATOLIKI limekuwepo ndani ya Ufilipino kwa miaka zaidi ya 1000 na ndilo limechangia kuifanya Ufilipino kuwa ndiyo taifa pekee barani Asia lenye Wakristo wengi mno.
Hakika kada kayatinginya mambo kwenye mada yake. Hapa kwetu kwa sasa tec bdo taasisi pekee iliyopo nchini inayokemeq maovu ya serikali waziwazi, inayotetea haki za raia waziwazi bila kificho. Kiufupi ndio taasisi imegeuka kimbilio na tegemeo la wengi wakatoliki kwa wasio wakatoliki ata wasio wakristo wengi tu wanopinga mambo ya utekaji, uuaji, ufisadi, ubakaji na ufiraji nk nao pia wanawasapoti tec licha ya kutofautiana kiiman. Leo kada anapoleta andiko lenye chembe za unafiki na ukasuku kuhusu tec sio rahisi wengi kumkubalia hoja hiyo. Nyakati na matendo yanayoendelea nchini yamefanya kwa sasa tec waokote points nyingi sana ktk jamii zetu.MALCOM LUMUMBA mkuu Leo umejichanganya na hisia za wengi sio kwa ubaya lengo lako lilikuwa zuri ila umechanganya mambo mengi kwenye mada Moja , hads kipindi hiki Cha masononeko hata Shetani hugeuka malaika , TEC kwa Sasa ndiye kisemeo na tegemeo la waliokosa matumaini hata kama Wana Makosa yao ya nyuma ynakosa uhalali na nguvu sababu ya Hali ya Sasa, Andiko ni zuri ila inaonekana kama umeng'ata na kupuliza
Kosa kubwa nililiona ni WEWE KIWAZUNGUMZA TEC IN NEGATIVE WAY katika kipindi hiki au Umzungumze LISSU kwa mabaya kipindi hiki lazima watu waruke na wewe tu
Mkuu samahani hii lugha umeandika haieleweki, siku hizi Kuna chat GPT tumia kuandika English iliyo nzuri. Wewe mwenyewe ukisoma unaelewa?There is NO such thing as personal money for a member of public organization that is accountable to general society
TEC and there public figures are accountable to declare any outside source of funds or income to the general public for due diligence.
That money paid to them were bribe and or corruption from source in order to gain favours or influence that will exonerate them from the hands of law on any wrong doing or it was mostly intentionally way of laundering money which will then go back to the source
Can you dig that ?
Unaniuliza mm kwa nini kaacha kujadili? Hilo muulize yeye, mtu hua huacha mjadala sababu huenda kakupuuzaHayo maswali yake wewe kama wewe unaonakabisa yana mashiko?
Kwanini kaikimbia mada
Yaani huoni kabisa anataka kumtoa mleta mada kwenye reli
Haya ni maswali ya kuuliza kweli ?
Suala hapa ni wahusika wa TEC walikubali kupokea hela kutoka kwa Rugemalila bila kuhoji zimetoka wapi na kwanini anawapa hizo hela ?
Na ni walutheri ndio waliwawashia moto wakatoliki kwa kula hela za ESCROW
Escrow saga shocks Church leaders
>Church leaders here have expressed their shock and disbelief over the way huge amounts of cash was reportedly siphoned off the Tegeta Escrow Account at the central bank.www.thecitizen.co.tz
Unajua nilichogundua ni kuwa wengi wetu humu JF ukweli wetu wa kuamini ni huwa unaangalia kundi/mtu, na siyo truth over tribe.Mkuu samahani hii lugha umeandika haieleweki, siku hizi Kuna chat GPT tumia kuandika English iliyo nzuri. Wewe mwenyewe ukisoma unaelewa?
Una English mbovu kuliko hata yule hayaland
Hapana! Mwandishi hajamaanisha hivyo!Hakuna kitu kigumu kama kupingana na ukweli kwa vijihoja vya kupika pika.
Anachojaribu kufanya huyu kiazi, ni kuonesha kuwa TEC ndio tatizo hawataki kutoa ushirikiano ili nchi iwe kitu kimoja. (Yaani kuwaunga mkono WAUAJI).
Wanamshutumu utawala kwa kufanya maovu lakini hata wao wenyewe ni waovu.
TEC hawapingi MAUAJI, DHULMA, UTEKAJI na IMPUNITY ila wanapinga kwasababu wanaamini wao ndio wenye mamlaka ya kuamua urais.
========
Hoja zake zote ni za KIPUMBAVU.
Ukishindwa kujibu hoja unakimbiia lugha 😂Mkuu samahani hii lugha umeandika haieleweki, siku hizi Kuna chat GPT tumia kuandika English iliyo nzuri. Wewe mwenyewe ukisoma unaelewa?
Una English mbovu kuliko hata yule hayaland
Nitajibu kitu ambacho hakieleweki kimeandikwaje?Ukishindwa kujibu hoja unakimbiia lugha 😂
Kwa hiyo wewe unatumia chatGPT ukitaka kuandika kiingereza
Aibu
Hana huo uwezo wa kunipuuza kilaza yule, kala konaUnaniuliza mm kwa nini kaacha kujadili? Hilo muulize yeye, mtu hua huacha mjadala sababu huenda kakupuuza
Pesa inayotolewa na watu kanisani au msikitini huwa inaulizwa ilipotoka??
Mengi alipokua akitoa mil 100 kwa askofu shoo, shoohuwa anauliza zimetoka wapi?
Au GSM akitoa milioni 100 kwa kwa sheikh au bakwata huwa wanauliza ilipotoka?
Samia katoa hizi pesa zote kwa makanisa, waliuliza hizi pesa zilitokana na nini?
View attachment 3523763
Unatia aibuNitajibu kitu ambacho hakieleweki kimeandikwaje?
Robots wanatumika kurahisisha kazi, iweje unashangaa mtu kutumia chatGPT kuandika lugha kwa usahihi? Au unahisi iliundwa ili kuja kufanya comedy?
Unaelewa maana ya kupuuzwa? Hiko alichofanya ndio kupuuzaHana huo uwezo wa kunipuuza kilaza yule, kala kona
Hizo zote zilitolewa hadharani kwa maana hiyo zinaweza kuonyeshwa zilitoka wapi, na kama zmetolewa na Raisi ina maana hizo sio hela zake binafsi, bali zimetengwa kwa hilolengo
Kwanini za ESCROW zimejulikana baada ya wezi kubanwa, na kwanini TEC hawakutoka kusema kabla ya kushtukiwa kuwa wamepokea hizo pesa
Na iweje walutheri ndio washikie bango huo ufisadi uliofanywa na TEC?
Walijua kuna ukanjanjanja umefanywa na TEC walihusika
Mengi hata akitoa billioni moja hakuna shida, anajulikana hela inatoka wapi
GSM hata watoe Trillion, hakuna tatizo, wanajulikana kuwa na huo ukwasi
😂Unaelewa maana ya kupuuzwa? Hiko alichpfanya ndio kupuuza
Naona huna hata cha kujibu, unatumia circular reasoning fallacy, unazungukazungaKutolewa hadharani na kujua zilipotoka ni vitu viwili tofauti
Fanya utafiti sio unakurupuka tu, hizo hela zipo katika makubaliano kati ya serikali na mashirika ya kidiniHizo pesa zilizotolewa na raisi sio zake binafsi? Zilitengwa na nani? Kwamba kwenye bajeti inayopita bungeni huwa wanatenga raisi atampa milion 100 mwamposa? Hii ndio akili uliyonayo?
Kwani kazi ya rugemalira haijulikani? Shares zake zilizopo IPTL ni Siri? Ndio maana mliulizwa hapo juu je IPTL ilikua inagawa umeme bure kwa tanesco? Tanesco ilikua inanunua umeme kutoka IPTL, sasa unashangaa vipi wenye IPTL kuwa na pesa
Tuambie sasa hilo linalohamasishwa na Tec ila halitamkwi waziwazi..Mungu akusamehe kwa lugha zako za kifedhuli kwa sababu yeyote asiye na hitilafu kwenye mfumo wake wa ufahamu pia anafahamu ni kipi kinahamasishwa na TEC! Na huyo asiye na hitilafu anafahamu kuhamasisha jambo sio lazima jambo hilo litamkwe wazi wazi.
Wewe huelewi hata unachoandika. Hizo pesa alizitoa ni mchango wa ujenzi wa kanisa, inahusiana vipi na government subsidies? Alafu hajatoa Catholic tu Bali hata Lutheran kule machame mbowe alimpigia simu akatoa mil 100, mwamposa nae alimpa mil 100, masanja alimpa mil 20. Hizi zinahusiana vipi na government subsidies?😂
Kwanza aliaanza matusi, hii ni dio akili ya vilaza hutumia akibanwa, huu ushahidi tosha kakimbia
Naona huna hata cha kujibu, unatumia circular reasoning fallacy, unazungukazunga
Kutolewa hadhari maana yake ni kuna uhakika wa hela zilipotoka zimepatikana kwa njia ya halali na inaweza kuthibitishwa
Fanya utafiti sio unakurupuka tu, hizo hela zipo katika makubaliano kati ya serikali na mashirika ya kidini
Government Support and Key Projects
According to recent observations, the Catholic Church in Tanzania benefits from substantial government support in the form of subsidies and cooperative arrangements. These support systems enable the church to implement various projects that serve millions of Tanzanians. Among the notable initiatives are:
- Ownership and management of prominent hospitals, including Mount Sinai Catholic Hospital in Kinondoni, St. Joseph Hospital in Ilala, and others across different regions. These hospitals provide essential health services, often free or at subsidized rates for vulnerable populations.
- Extensive engagement in agriculture, particularly in irrigation projects that promote food security and livelihood improvements among local farmers.
- Provision of safe and clean water through numerous water supply schemes that benefit communities, especially in rural areas where access to potable water is limited.
- Educational infrastructure, with Catholic-affiliated schools and universities, totaling over 5,000 institutions, offering accessible education across the country.
- Social support programs targeting orphans, widows, and the elderly, ensuring societal welfare and inclusivity.
Kwanini ajitete kuwa alitoa hela kwa viongozi wa TEC baada ya kubanwa ?
na pia iweje akamatwe kwa ufisadi kama kweli alikuwa na uwezo huo wa kuwa na hela hizo?
Na kwanini hii skendo iliibuka, hata kama makubalioano ni ya kuuzia umeme Tanesco,
Sababu ya issue yote kubumburuka ni kwanza hakuna umeme wowote uliowahi kutumiwa na Tanresco kutoka IPTL
,IPTL ilikuwa ni bosheni haijawahi kuzalisha chochote zaidi ya kuleta mitambo mibovu na hakuna iliofanya kazi kuuzia umeme Tanesco, ulikuwa ni wizi mtupu umepangwa kula hela za serikali.