Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

adriz njoo kaka Kuna jamaa kawasifia hapa wewe na jamaa yako wa kula kiapo Busu la Kenge
 
adriz njoo kaka Kuna jamaa kawasifia hapa wewe na jamaa yako wa kula kiapo Busu la Kenge
 
Nimeona kwenye uzi wako sehemu nyingi unasema waislamu wa Tanganyika ni wavumilivu ndio maana hakuna ugaidi kwenye huu ukanda. Kwa nini unauhusisha uislamu na ugaidi??

Umerudia mara nyingi sana kuonyesha kuwa siku waislamu wakiishiwa uvumilivu basi ugaidi utaingia nchini. Kwa nn unauweka ugaidi na uislamu pamoja?

mjingamimi msome MALCOM LUMUMBA , anaamini ugaidi haupo nchini sababu waislamu wa hapa kwetu ni wavumilivu, siku wakiacha uvumilivu basi ugaidi utaingia. Anauweka uislam na ugaidi pamoja
 
Anaamini ugaidi haupo kwa sasa sababu waislamu ni wavumilivu. Bila aibu anauweka ugaidi na uislamu kapu moja
Ni JUHA.

Anaandika kama njia ya kutishia fulani, ionekane wasio waislam watulie kwasababu waislam wakikasirika kutakuwa na UGAIDI.

Anashindwa kujua UGAIDI ni TAARIFA na RECRUITMENT.

Huko Afrika ya Kati waliokuwa wanaua waislam mpaka wanakimbilia makanisani ni ANTI BARAKA.

Anadhani vita ya kidini, basi waathirika watakuwa ni wakristo pekee na wao ndio watashindwa.

Ni JUHA, TAAHIRA kwenye kazi maalum.
 
MALCOM LUMUMBA mkuu Leo umejichanganya na hisia za wengi sio kwa ubaya lengo lako lilikuwa zuri ila umechanganya mambo mengi kwenye mada Moja , hads kipindi hiki Cha masononeko hata Shetani hugeuka malaika , TEC kwa Sasa ndiye kisemeo na tegemeo la waliokosa matumaini hata kama Wana Makosa yao ya nyuma ynakosa uhalali na nguvu sababu ya Hali ya Sasa, Andiko ni zuri ila inaonekana kama umeng'ata na kupuliza

Kosa kubwa nililiona ni WEWE KIWAZUNGUMZA TEC IN NEGATIVE WAY katika kipindi hiki au Umzungumze LISSU kwa mabaya kipindi hiki lazima watu waruke na wewe tu
 
Pia anashindwa kuelewa haiwezekani waislamu wote wakaamua kukubaliana na ugaidi. Somalia ni nchi ya waislamu, ke waislamu wote wanakubaliana na ugaidi unaofanywa na al shabab?

Malcom lumumba amekosea hoja nyingi kwenye hili bandiko
 
Pia anashindwa kuelewa haiwezekani waislamu wote wakaamua kukubaliana na ugaidi. Somalia ni nchi ya waislamu, ke waislamu wote wanakubaliana na ugaidi unaofanywa na al shabab?

Malcom lumumba amekosea hoja nyingi kwenye hili bandiko
Nia yake siyo WAISLAM, WAKRISTO au wasio na DINI.

Ni yake hapa ni KUTETEA WAUAJI WATAWALA.

Hata hao TEC wakiungana na WATAWALA leo, kwake watageuka MALAIKA WATUPU.
 
Mkuu unanichanganya, msimamo wa serikali katika katiba npya upikua ni kuwa na serikali mbili tu, unasema pia msimamo wa pengo nao ulikua wa serikali mbili, Sasa hapo pengo anakua kakwamisha vipi?

Hilo moja, pili ni kwa namna gani serikali iachane na mchakato wa katiba sababu ya maoni ya pengo? Kama kweli serikali iliacha katiba mpya sababu ya maoni ya pengo, hapo tatizo ni pengo au hiyo serikali?? Hapo hapo kwenye maelezo yako unaonyesha pengo alikua anaunga mkono msimamo wa serikali kuwa na serikali mbili
 
Mkuu Kuna maswali ya mpwimbe umeshindwa kuyajibu
Amekukumbusha mara nyingi kuwa hajasema pesa za escrow zilikua personal money, sijui wewe umemsoma wapi akisema hivyo. Licha ya kukuambia hajaswma hivyo bado unarudi kila muda kumuambia kuwa sio personal money. Unarudia kile kile ambacho amekuambia hajakisema

Maswali yake mbona kayaweka wazi, je rugemalira alikua na hisa IPTL? Kama alikua na hisa je IPTL walikua wanawapa tanesco umeme bure?
 
CCM waliachana na katiba mpya baada ya pengo kutaka serikali mbili ila hawakusitisha uchaguzi uliopingwa na sehemu kubwa ya wananchi hadi reforms zifanyike😁
CCM hao hao wanasema katiba mpya ilishindikana kwa sababu CHADEMA walijitoa bunge la katiba!
Yericko Nyerere anasema Lissu ndiye aliyehujumu maridhiano na kukwamisha reforms!
Huyu anayewaandikia hii script ni kama mtu mmoja😁
 
Hili jamaa ni pumbavu. Linatupotezea muda tu.
 
CCM waliachana na katiba mpya baada ya pengo kutaka serikali mbili ila hawakusitisha uchaguzi uliopingwa na sehemu kubwa ya nchi hadi reforms zifanyike😁
Hata hivyo huo msimamo wa pengo ndio ulikua msimamo wa serikali. Au mkuu malcom lumumba kachanganya?
 
Hili jamaa ni pumbavu. Linatupotezea muda tu.

Hojq zake zinakosa mashiko. Anaamini ugaidi haupo sababu waislamu wa Tanganyika ni wavumilivu.

Hii anamaanisha kuwa nchi zote ambazo Hakuna ugaidi pia waislamu wa huko ni wavumilivu

Malcom lumumba anasema magufuli aliwaambia TISS wainyime CIA taarifa ya ugaidi kwa ukanda huu.
Hapa napo kuna maajabu. CIA yenye uwezo wa kujipenyeza nchi kubwa na zenye nguvu, Leo hii ishindwe kujipenyeza Tanzania hadi isubiri taarifa za TiSS?
 
Na hakuna kitaasisi cha ovyo kama TISS.


Uwezo wake ni kudili na kina CHAULA, SOKA, MDUDE na kuvunja MILANGO ya POLEPOLE.

Hakuna akili humo. Zero kabisa.

Hatujawahi tu na tishio kutoka nje.

Juzi tu hapa DESEMBA 9, DOLA ZIMA na JWTZ wamerusha MAHELKOPTA ya JESHI mengine wameyatoa STOO yamechakaa, wamerusha nchi nzima kutisha watu ambao hata hawawajui.

Zero kabisa.
 
Hii ya CIA kunyimwa taarifa na TISS ni zaidi ya tango pori.

CIA yenye uwezo hadi wa kupandikiza raisi Russia, leo eti inanyimwa taarifa muhimu kabisa kama za ugaidi na TISS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…