Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

khaa majanga sanaa... ndo wafukuzwe??? sia wangeonywaa tu aisee
Sometimes kwenye haya mambo hatuangaliii intention ya mkosaji tunaangalia tu gravity of an offence ( uzito wa kosa bila kuangalia nia ya mkosaji) Malawi wangeweza ku respond in any how wangeonekana wanajilinda( self defense hata kwa kurusha kombola) na dunia ingewaelewa. Kuna majirani makosa Kama haya hayawezi kutokea kabsa mfano: Pakstan na India au Korea kusini na Kaskazini etc.
 
Wamalawi pia wangeweza kuwaua wale askari au kuwaachia raia wa Kule wawaue ila ndio hivo jirani mwema alielewa. Ndio maana hata kufukuzwa kwao kukawa publicly na haraka sana na maonyo Kwa askari wengine.

India na Pakistani ikitokea hivo hiyo ni vita tayari
 
duu wale jamaa kosa lao kuvuka mpaka au kuna siasa ndani yake???
Kwa mujibu wa sheria za kimataifa askari haruhusiwi kuvuka mpaka kwenda kumkamata mtu aliekatika nchi nyingine bila idhini au ruhusa ya mamlaka ya nchi husika. Kwa vile Malawi ni nchi huru yenye jeshi lake na polisi wake, ilitakiwa polisi wetu wafanye mawasiliano na polisi wa Malawi ili polisi wa Malawi wawakamate wale vibaka na kuwakabidhi kwa polisi wa Tanzania pale mpakani tena katika upande wetu. Ile ya kuingia na bunduki ktk ardhi ya nchi nyingine kimataifa inachukuliwa kama vile ni uvamizi wa kijeshi dhidi ya nchi nyingine.
 
Sometimes kwenye haya mambo hatuangaliii intention ya mkosaji tunaangalia tu gravity of an offence ( uzito wa kosa bila kuangalia nia ya mkosaji) Malawi wangeweza ku respond in any how wangeonekana wanajilinda( self defense hata kwa kurusha kombola) na dunia ingewaelewa. Kuna majirani makosa Kama haya hayawezi kutokea kabsa mfano: Pakstan na India au Korea kusini na Kaskazini etc.
Kweli kabisa mkuu. Askari wa nchi moja kuingia katika ardhi ya nchi ya pili na silaha, kimataifa inahesabika kuwa ni uvamizi, kwahiyo wangefanya lolote wanalotaka kufanya kwa wale polisi na bado sheria za kimataifa zingewalinda maana ingeonekana kuwa walikuwa wanatekeleza wajibu wao, ili kuilinda ardhi yao dhidi ya uvamizi. Hata juzi kuna mwanajeshi wa Congo aliuwawa huko Rwanda baada mwanajeshi huyo wa Congo kuvuka mpaka na kuwafuata watu waliofanya vurugu Congo. Kwahiyo pale tatizo halikuwa hao watu waliofanya fujo Congo na kukimbilia Rwanda, bali tatizo lilikuwa ni yule mwanajeshi kuvuka mpaka wa Congo na kuingia Rwanda na silaha.
 
Umenena vyema kiongozi, kosa walilofanya wale polisi kuvuka mpaka na silaha ni STRICT LIABILITY ( maadamu umetenda kosa ni lazima uadhibiwe hakuna justification yoyote itayokutoa kwenye hatia chini ya jua)
 
Pesa zambia ipo, bidhaa ziko chini, fursa ni nyingi iwe lusaka, iwe kitwe, iwe copperbelt ni wewe tu, sema jamaa wanakula sana bata wabongo wanasubiri,
Wazee wa Six pack,yaani demu kama hujamnunulia Six pack hakuelewi kabisa.
Unalipwa mzigo wako kwa pesa uitakayo wewe na hapa ndipo nilipowakubali wazambia
Nalog off Z
 
Umenena vyema kiongozi, kosa walilofanya wale polisi kuvuka mpaka na silaha ni STRICT LIABILITY ( maadamu umetenda kosa ni lazima uadhibiwe hakuna justification yoyote itayokutoa kwenye hatia chini ya jua)
Ya ni kweli mkuu, laiti wasinge adhibiwa, basi kimataifa ingeonekana kuwa swala lile lina baraka ya serikali. Hivi inawezekana vipi polisi wanaosomea mambo sheria katika majukumu yao ya ukamataji washindwe kujua kuwa kuvuka boda na kuingia nchi nyingine na silaha ni kosa kubwa sana kimataifa? Ile haikuwa aibu yao bali ilikuwa ni aibu ya serikali, maana inaonekana kuwa askari wetu huwa hawafundishwi hata ramani za mipaka yetu.
 
Back
Top Bottom