Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

📌What are the odds za wewe kufika huo uzee???

Wewe kwa akili hizi hata biashara huwezi kufanya maana hata jinsi ya kufanya uwekezaji hujui.Wewe endelea kuomba unyumba sisi wenzako ni simu moja nachagua leo nipige Mwajuma kipini au Merry Kishundu.

Na watoto wanautenga vizuri mtu unasusiwa hadi unataka kuchanganyikiwa.Napewa bila kupimiwa nikimaliza naelekeza akili zangu kusaka hela na kununua asetts ili nikizeeka niwe naajiri manesi wanifunge pampas😀😀

Nikifa mali zangu ni WAKFU,ntazikuta huko next life.

📌Sina stress na sicheki na wowote naulinda wangu moyo🥁👋

🚨🚨🚨KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Unazungumzia ushauri wa Padre wa Kizungu. Tafuta ushauri wa Padre wa Kiswahili then tuletee hapa. Jenga mahusiano mazuri na familia yako ambayo itakuhudumia kutumia pesa ulizojiwekea. Usitegemee pesa peke yake itakuhudumia.. This is bongo bana
 
Ndio ninachosema, ndicho padre alichosema na ndio tunaambia watu usitegemee mtoto.
Andaa mazingira Yako ya uzeeni mwenyewe.
Mtoto unazaa tu kwasababu ni amri ya Mungu na pengine kuudhihirishia umma wewe ni rijali basi.
 
Haha napika au nachemsha tu 😂

Hebu tuambie mjumbe wa kamat kuu kataa ndoa 😀
Daaah ujue ipo hvi.
Kwa upande wangu mi mambo ya kuoa oa hayo hata siyafatilii yaan ntajuaga huko huko kama taoa au laa..

Ila hata nikitaka kuoa huyo ambaye anataka aolewe basi awe chizi kweli kweli maana huki kichwa kwa kweli sijui.

Mi ambacho napiga marufuku mpaka kesho ni mtoto ...
Yaani mimi sitaki mtoto kabla sijamwandalia mazingira
 

Kwa hiyo wanaoleta shida kwenye ndoa ni wanawake. Umewasahau wanaume walevi na wasiojielewa, umesahau vidume vibinafsi. Ndoa haina shida, shida ni tabia zenu mwanamume au mwanamke.
 
Unazungumzia ushauri wa Padre wa Kizungu. Tafuta ushauri wa Padre wa Kiswahili then tuletee hapa. Jenga mahusiano mazuri na familia yako ambayo itakuhudumia kutumia pesa ulizojiwekea. Usitegemee pesa peke yake itakuhudumia.. This is bongo bana
Nakwambia kwenye semina parokiani kwetu unasema ushauri wa kizungu, unajielewa kweli wewe.
Unadhani mawazo Yako ndio yatakuwa ya watoto wako na familia zao.
Wewe zaa lakini jiandalie mwisho wako. Kubadilishwa nepi utabadilishwa tu kama una hela.
 
Kataa ndoa haina mahusiano na kuzaa.

Adam na Eva walituzaa nje ya Ndoa, hawakutaka Stress..

Ronaldo CR7 Ana Familia ila hana ndoa.

Ogopa sana mkataba wa kutenganishwa na KIFO...
Lakini CR7 haishi peke yake. Anaishi na baby Mama wake hata kama hawajafunga ndoa.
 
endeleeni kumsaidia Shetani kwenye mpango wake. Mtajutraaaa
 
Mkuu ukianza kufa wewe yeye akabaki ? Yan hauoi sababu unampenda mtu ila unaoa sababu you will get a shoulder to lean on ukiwa old ?...Sasa nimeelewa kwanini wanawake hawataki muwaite magold digger wakiolewa na watu wenye pesa sababu kila mtu huwa anatafuta kazi yenye marupurupu mazuri, hakuna mtu anataka kazi mibovu yenye mshahara mbovu.
 
Sio mimi ni huyo Hamisi wa Kigamboni.
By the way kilichowafanya wakakutana na yotee yakatokea ni NDOA.

Hivyo wakulaumiwa ni NDOA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mjinga alizingua na zereu zilianza alipoyumba kimsimamo kwa KUBADILISHA DINI KUMFATA MWANAMKE!!!Familia ya mwanamke ikaona kijana anatawalika na wakamtawala🚩🚩

SURVIVAL OF THE FITTEST,THE WEAK MUST PERISH!!!


📌📌📌Kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
 
Vijana chapeni ukuni kisawawasa,hakuna kulaza damu zalisheni hawa wanawake mana ndio kazi imebaki.Ila katu usiweke ndani huo ni mtego na bomu kama la NAGASAKI KULE JAPAN.
Wanawake hao mnaowazalisha ndio mnakuja kuwatukana na kuwaita single mothers, tatu mzuka wanaoiba mtaani na ombaomba ndio matokeo ya zao lenu, unaweza fikiria ni kwanamna Gani umedata?
 
Humu jamvini wote wameoa labda ambao hawajaolewa ndio wako wengi
 
SIMPS MUST PERISH!!!

WOMEN SHOULD KILL ALL SIMPS👏👏


📌📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Ni maisha tuu. Wakishajitafuta na kujipata wanasahau kuna kukataa ndoa😀
Mmh, hapa sasa nina nyumba tayari, kazi/biashara yangu sio haba, sasa nimtulize huyu Abdallah kichwa wazi nitafute Pisi (piece) moja iliyonyooka niweke ndani.

Safi kabisa….Utanyooka nayo😁

“Alisikika kataa NDOA mmoja baada ya kujipata”
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…