Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

Hakika ni mbinu mojawapo katika mbinu zetu [emoji847]
 
Hahahha, hiyo dhambi ni kubwa mkuu, ila hakukua na muda wa kuomba maji wala kupumzika.

kuna mwingine hapa namtext leo anajibu kesho, namuangalia tu.
Utaratibu wangu, kiwango cha usumbufu, Ndio kiwango cha mateso
Ah usiwaonee huruma hawa kenge yaani wee pitisha kitomboz plus kifirozz kwa hawa kenge wala hela
 
Ah usiwaonee huruma hawa kenge yaani wee pitisha kitomboz plus kifirozz kwa hawa kenge wala hela
Hawa wastaarabu wanaokwambia direct, sina shida nao, nina shida na hawa wenye maringo, kula vya watu na kuanza kurukaruka. Hawa hata mwaka nitafukuzia tu hadi aingie kwenye mfumo
 
Hii mbinu ya kuomba hela ninaipenda sana,yaan niliwaona mna akili sana mlipoanzisha hili,maana zaman kipindi hamuombi hela kuna wajinga walikuwa wameshawaona kama matoi ya kuchezea kwa siku mtu anagonga kuanzia mademu watano afu kila siku

Sahv hakuna mwanaume wa kuthubutu kufanya huo ujinga maana akifanya tu lazima apoteze elfu 50 kwa siku
 
Mwanaume anayepaparikia "K" huyo ni mpuuzi.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mbona una ushauri km wa cazee wangu??
Sio wewe kweli?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hiyo ajali kazini msitutishe bhana wee ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Huyo ni kichaa, Savannah nazo za kumchania nguo mtu??
Ningekuwa huyo dada ningemuagizia Savannah alizonunua kisha namwambia waiter zifungue zote anywe..!! Na akileta kibesi nโ€™apaisa chupa halafu anisogelee aone ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ