Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!!

Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana [emoji3] wanaume wengi awapendi kuombwa pesa. Kitendo cha kumuomba pesa tayari utakua umeshamfukuza mwanaume hatarudi tena!

Akijifanya kidume akituma pokea alaf baada ya siku moja muombe tena pesa. Safari hii muombe pesa nyingi zaidi na kama inawezekana muombe na vitu vingine kama nguo, simu, dhahabu na viatu! Hapa utakua umemaliza kazi uyo mwanaume harudi tena! Ataondoka mwenyewe kiroho safi kabisa tena ataondoka kwa kukimbia ata nyuma hatogeuka kuangalia [emoji23]

''Humpendi, omba pesa na vitu vya thamani kadri unavoweza'' hii ndo sheria ya kuwakataa hawa viumbe! watoto wa mujini tunaita law of dissipation!
Hakika ni mbinu mojawapo katika mbinu zetu [emoji847]
 
Hahahha, hiyo dhambi ni kubwa mkuu, ila hakukua na muda wa kuomba maji wala kupumzika.

kuna mwingine hapa namtext leo anajibu kesho, namuangalia tu.
Utaratibu wangu, kiwango cha usumbufu, Ndio kiwango cha mateso
Ah usiwaonee huruma hawa kenge yaani wee pitisha kitomboz plus kifirozz kwa hawa kenge wala hela
 
Ah usiwaonee huruma hawa kenge yaani wee pitisha kitomboz plus kifirozz kwa hawa kenge wala hela
Hawa wastaarabu wanaokwambia direct, sina shida nao, nina shida na hawa wenye maringo, kula vya watu na kuanza kurukaruka. Hawa hata mwaka nitafukuzia tu hadi aingie kwenye mfumo
 
Hii mbinu ya kuomba hela ninaipenda sana,yaan niliwaona mna akili sana mlipoanzisha hili,maana zaman kipindi hamuombi hela kuna wajinga walikuwa wameshawaona kama matoi ya kuchezea kwa siku mtu anagonga kuanzia mademu watano afu kila siku

Sahv hakuna mwanaume wa kuthubutu kufanya huo ujinga maana akifanya tu lazima apoteze elfu 50 kwa siku
 
Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!!

Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi kuombwa pesa. Kitendo cha kumuomba pesa tayari utakua umeshamfukuza mwanaume hatarudi tena!

Akijifanya kidume akituma pokea alaf baada ya siku moja muombe tena pesa. Safari hii muombe pesa nyingi zaidi na kama inawezekana muombe na vitu vingine kama nguo, simu, dhahabu na viatu! Hapa utakua umemaliza kazi uyo mwanaume harudi tena! Ataondoka mwenyewe kiroho safi kabisa tena ataondoka kwa kukimbia ata nyuma hatogeuka kuangalia 😂

''Humpendi, omba pesa na vitu vya thamani kadri unavoweza'' hii ndo sheria ya kuwakataa hawa viumbe! watoto wa mujini tunaita law of dissipation!
Mwanaume anayepaparikia "K" huyo ni mpuuzi.
 
Mwanamke chukua tahadhari tena sana ,Dunia ya leo si kila mwanaume utakula pesa yake ukabaki salama hasa mwanaume mwenye pesa ya mawazo au mwingine akili yake haiko sawa. Majuzi club demu kanywa savanna za mtu anataka amkimbie jamaa..si akachaniwa nguo na chupi...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbona una ushauri km wa cazee wangu??
Sio wewe kweli?? 😹😹😹
 
Sawa kabisa na nyinyi mkijipenekeza sehemu msiyopendwa wanaume piga miti tia mimba akalee mtoto wake mbele huko, si hamtaki uungwana sawa mlie pesa zake alafu huyo unayejidai umempenda atamlipia ukalee mtoto mbele, tangu lini wanawake wakashindana na wanaume?
Hiyo ajali kazini msitutishe bhana wee 😹😹
 
Mwanamke chukua tahadhari tena sana ,Dunia ya leo si kila mwanaume utakula pesa yake ukabaki salama hasa mwanaume mwenye pesa ya mawazo au mwingine akili yake haiko sawa. Majuzi club demu kanywa savanna za mtu anataka amkimbie jamaa..si akachaniwa nguo na chupi...
Huyo ni kichaa, Savannah nazo za kumchania nguo mtu??
Ningekuwa huyo dada ningemuagizia Savannah alizonunua kisha namwambia waiter zifungue zote anywe..!! Na akileta kibesi n’apaisa chupa halafu anisogelee aone 😹😹😹
 
Back
Top Bottom