Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

Tangia kalemani aondoke wizara ya nishati umeme umekuwa wa shida kinoma mwanzoni tulidanganywa matengenezo huu ni mwezi pili umeme unawaka kwa nusu saa badae unakata siku nzima
Sitaki kuamini na wewe uliwaamini Wahuni walioshika madaraka hivi sasa ambao kwao mpango mzima ni kula mpaka wavimbiwe.
 
Usiji-stress na hili taifa hata hao viongozi wanaolia lia majukwaani kujifanya wana uchungu sana na hii nchi ni wanafiki tu kinachowaweka pale ni njaa zao muhimu wewe tafuta hela familia yako ifurahi watoto wasome wapate maarifa walale pazuri wazazi wako wafurahie uwepo wako usubiri siku ya kufa ufe lako liishe.

Wanasiasa ni mapunguani ukiwafuatilia sana unavurugikiwa!
 
Machafuko yatakuja kutokea wakati mimi na wewe tukiwa tunaishi ndani ya nyumba zetu za milele.

Hulka ya kitanzania ya kutopenda vurugu haikuanza baada ya uhuru, ni sehemu ya DNA ya watanzania.
 
Who's president of Tanganyika? This is person who's from another country who benefits our own resourses for her benefits with her fellow men and women.Yes your good students, 💯 marks.
Yaan unamuita Rais jini mahaba!! wewe inatakiwa unachanwa tumbo ukiwa hai bila ganzi
 
Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Sio kweli, huku Kitaa le watu tunakunywa na mzunguko umeanza kurudi labda wewe ndio wale mlioletwa mjini na Magufuli.

Hatutaki kiongozi mwenye mvuto kwa sababu sio nyapu,tinataka kiongozi atakayetuletea ajira na kufungua nji.
 
Sio kweli, huku Kitaa le watu tunakunywa na mzunguko umeanza kurudi labda wewe ndio wale mlioletwa mjini na Magufuli.

Hatutaki kiongozi mwenye mvuto kwa sababu sio nyapu,tinataka kiongozi atakayetuletea ajira na kufungua nji.
Hongera yenu
 
Who's president of Tanganyika? This is person who's from another country who benefits our own resourses for her benefits with her fellow men and women.Yes your good students, 💯 marks.
Tusifike huko, tukawapa sababu ya kutuondoa kwenye kudai katiba mpya
 
Kumbuka na uelewe hatma ya watoto wangu,chakula cha familia yangu pamoja na hatma yangu imeshikiliwa na wanasisa ambao waneambiwa wale wasivimbiwe. Je,unategemea mteremko gani nipitie ili niweze kuhakikisha hicho unachosema nifanye je nitafanikiwa chini yenu
 
Kusema leo haisaidii kitu, maana Jiwe aliwaleta hao viongozi bila aibu si wa serikali za mitaa wala wabunge. Tulitulia na tuendelee maana tumewazoea tulibariki.
 
No nchi pekee kiongozi anahimiza wizi kwa aliowaajiri
Hapo unategemea tucheke kinafiki eti
Wale waliokuwa wanafurahia utawala wa kidhalimu sasa mwingine huyu na staili yake
 
Acha kuonesha ulivyojiweka chochoro kiakili.Ukiondoa nchi zenye adhabu ya kifo kwa mafisadi,nchi zingine zote zinaufisadi.
 
Ulikuwa wapi pia kumkosoa Magu aliyeruhusu matrafiki barabarani kuchukua pesa kwa kwa madereva kwa ajili ya kupigia kiwi viatu?.
 
Ninakila kitu lakini sina furaha na viongozi wangu Waserikali ya kijiji na hata bunge na Rais wetu sina furaha juu Yao pia naichukia CCM .
Hata Mungu wewe hauna furaha naye na ndiyo maana unakwenda kinyume na makatazo yake kama:Uzinzi,ulevi,kamari n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…