JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Sitaki kuamini na wewe uliwaamini Wahuni walioshika madaraka hivi sasa ambao kwao mpango mzima ni kula mpaka wavimbiwe.Tangia kalemani aondoke wizara ya nishati umeme umekuwa wa shida kinoma mwanzoni tulidanganywa matengenezo huu ni mwezi pili umeme unawaka kwa nusu saa badae unakata siku nzima