Nafuga sato kwenye vizimbaDooooh ushanikwepa mzee 😢
Haya bana unafuga samaki gani?
Vizuri hongera sanaNafuga sato kwenye vizimba
Nimezaliwa Amana, nimevunja ungo Ilala nimeondoka nikiwa na miaka 19Nimekuuliza hapo Ilala, wewe ni mgeni/wakuja au umekulia hapo?
Hakuna mtu mwenyeji wa hapo asijue chimbo, drug cartels wa Ilala. Labda uwe wa kuja.
Nenda Mbeya huko nenda Arusha kuna maeneo huruhusiwi kufika ...huko Maua yanapigwa Baridi safi na kwa usiri mkubwa.Abdul mbona hueleweki ulichoandika
Hapo ndo unakua teja ukikosa udenda unatoka?Kwa uzoefu wangu ndani ya wiki 2 mpaka tatu unakuwa mwanachama mtiifu wa unga
Awamu hii kama una nafasi ya kupiga madili haramu huu ndiyo muda sahihiNchi ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Vijana hasa mlioko kwenye nafasi huko juu,nawaambia ukipata nafasi hata moja tu,piga bao la Sere Mwalimu. Hakuna kipindi kingine cha kujichotea zaidi ya hiki. Hukamatwi,utazomewa tu basi imeisha
Convex kali kabisa yani noma sana.Ilala bungoni iwe center pande 4 kuzunguka hunipotezi.
Mtaani kwetu juu ya nyaya za umeme kulikua na viatu nikawa nasikia kua ukiona hivyo ujue wanauza ila sijui kama ni kweli.
Kuwa teja kamili inategemea na matumizi yako na aina ya unga unaotumia huku mitaani walio wengi wanatumia unga ule mfamfa unga pure unatumiwa na vizito, na isitoshe huku mtaani wanachanganya sana mazaga utakuta unga pombe bangi na sigara huyu ndani ya miezi miwili anakuwa kachoka akikosa tu ni udendaHapo ndo unakua teja ukikosa udenda unatoka?
Asante kwa elimu.Kuwa teja kamili inategemea na matumizi yako na aina ya unga unaotumia huku mitaani walio wengi wanatumia unga ule mfamfa unga pure unatumiwa na vizito, na isitoshe huku mtaani wanachanganya sana mazaga utakuta unga pombe bangi na sigara huyu ndani ya miezi miwili anakuwa kachoka akikosa tu ni udenda
MIRADI YA ROSTAM AZIXI FAMILIA NA KIKWETE FAMILIA HIYO ..HATA UKISIKIA UJANGIRI NI HIVYO HIVYO NI FAMILI PROJECTZama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
Ila kama taifa tunaenda kuangamiza nguvu kazi ya taifa na hakuna kizazi cha hovyo kama hiki kizazi cha 2000 hiki kizazi hakiona uoga sasa hivi ndiyo kizazi kinaongoza kwa matumizi ya bangi mirungi pombe sigara na unga na ni kizazi jeuri hakina mkubwaAsante kwa elimu.
Nakutana na wavuta bangi, mateja sijawaonaIla kama taifa tunaenda kuangamiza nguvu kazi ya taifa na hakuna kizazi cha hovyo kama hiki kizazi cha 2000 hiki kizazi hakiona uoga sasa hivi ndiyo kizazi kinaongoza kwa matumizi ya bangi mirungi pombe sigara na unga na ni kizazi jeuri hakina mkubwa
Mkuu kwani unaishi wapi kama upo mwanza tembelea mitaa ya Uhuru Rufiji kirumba isamilo igogo hii mitaa ina mateja wazoefuNakutana na wavuta bangi, mateja sijawaona
Nipo darMkuu kwani unaishi wapi kama upo mwanza tembelea mitaa ya Uhuru Rufiji kirumba isamilo igogo hii mitaa ina mateja wazoefu
Kwa Dar nenda ilalaNipo dar
Ngoja nikuitie MAWEEDNaombeni Dili basi kama hakuna ukaguzi mkali
Unga wa tumbo ulishapitwa wanaofanya pia ni wachache sanaNawashangaa sn watu wanaobeza airport zetu especially JNIA AIRPORT,,huo uwanja nuksi sana tu..
Ukijichanganya umekwisha.
jamaa wapo makini sn ..
Ukweli ni kwamba kwa sasa watu wamebaadilisha njia...
Hakuna anayependa kufungwa maisha..