Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Siwezi kutaja viwanda kimoja kimoja viwanda viko 40.
Hizi taarifa zipo kwenye website ya MeTL group na Bakhresa group.
Na pia ni statistics ambazo unaweza zipata website za serekali.
Dewji pia anafanya hivyo.
Unajua kuwa Dewji anabiashara tofauti 126?
Hili ni kweliMwenye,azam hawapendi wakristo ni wakristo ni wanajikomba
Kumbe tuko wengi...Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Waarabu na wahindi tu...sisi huwa tunafeli wapBakhresa ni tajiri Na. 4 hapa Tanzania baada ya Ally Awadh wa LAKE OIL wakifungana kwa utajiri wa $600 Mil kila mmoja wakati Mo ni Na. 1 kwa utajiri wa $1,500 Mil ($1.5 Bil) akifuatiwa na Rostam Aziz; maandazi huwa hayana faida sana[emoji1787]
Mo hajawekeza Tz tu bali kawekeza zaidi ya nchi 24 barani Afrika.Taja viwanda alivyonavyo Mo ili uiweke hiyo hesabu yako ya 20k na Bakhresa na hayo mambo mengine.....weka ufafanuzi mzuri tukuelewe
Bakhresa ana uza bidhaa A.mashariki lakini Mo amewekeza kwenye zaidi ya nchi 20 barani Africa.Mkuu unafahamu Bakhresa anauza bidhaa zake karibu nchi zote za East Africa, na kote huko kaajiri watu, au mapato yake yanayotoka kwenye nchi nyingine tofauti na Tanzania hayahesabiki kwenye utajiri wake
Umeongea (Chai + pumba)Bakhresa ni tajiri Na. 4 hapa Tanzania baada ya Ally Awadh wa LAKE OIL wakifungana kwa utajiri wa $600 Mil kila mmoja wakati Mo ni Na. 1 kwa utajiri wa $1,500 Mil ($1.5 Bil) akifuatiwa na Rostam Aziz; maandazi huwa hayana faida sana[emoji1787]
Sasa mkuu kwani Mo akimzidi Bakhareesa ww una pungukiwa nn ? Mbona una ubishi usio na maana.Si ndio mtaje ni bidhaa zipi za Mo zinazouza zaidi kuliko za Bakhresa kuanzia hapa Tanzania mpaka hizo nchi jirani, mnatuambia habari za mashamba na viwanda kwani Bakhresa hana hivyo vitu, mtuambie bidhaa za Mo ni hizi na hizi na zinauza zaidi kuliko za Bakhresa
😂😂Alafu ndo tupigwe 5 km zile weeTena awe simba uwiiiii ni majanga kabisaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwamedi huwa ana appear kama tajiri kijana.Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Yaani unaulizwa kitu kingine,unajibu kingine.Sasa mkuu kwani Mo akimzidi Bakhareesa ww una pungukiwa nn ? Mbona una ubishi usio na maana.
Sasa mkuu kwani Mo akimzidi Bakhareesa ww una pungukiwa nn ? Mbona una ubishi usio na maana.
Kinacho tuambia kuwa Mo ni tajiri namba moja Tz ni takimu zilizo tolewa na vyanzo vya kuaminika vinavyo fuatilia masuala ya kifedha na uchumi vya kimataifa mpaka na vya kiserikali.
Kama serikali yako inamtambua kama tajiri namba 1 tz ww unabisha kama nani au ww una akili kuliko serikali yako?
Mo sio tajiri namba 1 Tz tu bali ni tajiri namba 1 Afrika mashariki na kati nzima.
.
Mkuu according to Forbes Tanzania tunao dollar billionaires wawili Mo Dewji na jambazi Rostam Aziz, by the way wakisema tajiri kijana basi hata Yusuf Bakhresa anatakiwa aingie kwenye hiyo list na siyo baba yake, sababu sasa hivi anaendesha Azam GoC ni Yusuf Bakhresa kama ambavyo Mo Dewji anaendesha MeTL GoC na wote hao wamerithi na kuendeleza biashara za baba zao siyo self madeMwamedi huwa ana appear kama tajiri kijana.
Kama ingekuwa kwenye ball Mwamedi anakuwa kwenye category ya golden boy.
Lkn hata hivyo kwa mujibu wa takwimu East Africa bado hatuna billionaire in terms of $$$$
Kweli kabisaaMkuu according to Forbes Tanzania tunao dollar billionaires wawili Mo Dewji na jambazi Rostam Aziz, by the way wakisema tajiri kijana basi hata Yusuf Bakhresa anatakiwa aingie kwenye hiyo list na siyo baba yake, sababu sasa hivi anaendesha Azam GoC ni Yusuf Bakhresa kama ambavyo Mo Dewji anaendesha MeTL GoC na wote hao wamerithi na kuendeleza biashara za baba zao siyo self made
Tulikuwa nao Reginald Mengi na Ali Mufuruki ila wote walishatangulia mbele za haki, huko siasani ndio tunao wengi sana ila huwa hawajiweki wazi maana wanajua namna walivyoupata utajiri wao, ila kwa sasa acha tuendelee kujivunia hao hao waarabu na wahindi kikubwa uhai tuWaarabu na wahindi tu...sisi huwa tunafeli wap
Siyo viwanda but correctly said ni kuwa ana zaidi ya 40 companies trading under METL group of companies. Those 40 plus companies zina biashara za kutosha.On top of that ana viwanda 40 Tanzania.
Akili nyingi sana kwenye jibu lako. Hatajua mapema huyoMo ni dollar billionaire, bakhresa ni dollar millionaire.
Huwezi kujua ukweli ila vyanzo vinavyoaminika vinasema
Nasikia mzee yupo kama Alikiba hapendi show offMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]