Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Sahihi
 
Wapumzike sasa kumuweka Mkojani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mabasi ya mikoani na MKOJANI kama unasafiri mara kwa mara na kampuni hiyo unaweza kuangalia movie ya Mkojani mara 6 au 7[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo bado sinema za kizungu zilizotafsiriwa kwa kiswahili wakati watu wengi tu kuzungu wanakijua....ila mabasi lazima waweke zile kelele za watafsiri waongo na wenye kelele na mbwembwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Africa bado ni bara la giza, kila kitu shaghalabaghala.
Ni kweli mkuu yaani vitu vya hovyo na vya kipumbavu ndio watu wanafurahia
Unakuta watu wanalala ili kiongozi awakanyage juu ya migongo
Mwingine ananyanyua jogoo aliepewa zawadi anasema Jogoo Oyeeee halafu unakuta majitu yanashangilia Oyeee
Ukimuuliza unashangilia nini hapo wala hajui

Kuna wakati wazungu huwa wanakuja kufanya documentaries kama za wanyama
 
Uzi umebadilika kutoka mabasi kuweka ving'amuzi hadi utajiri wa Mo na Bakhresa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siwezi kutaja viwanda kimoja kimoja viwanda viko 40.
Hizi taarifa zipo kwenye website ya MeTL group na Bakhresa group, pia unaweza kufatilia kwenye vyanzo mbalimbali.
MeTl imeajiri 8% ya wajiriwa.
Wewe uliyeleta taarifa humu ndiye mwenye jukumu la kuleta proof, copy hiyo information kwenye website na ui paste humu... Remember no data no right to speak...
 
Jogoo oyeee..[emoji1787][emoji1787]
 
Wewe unapungukiwa nini ukiambiwa Mo kazidiwa utajiri na Bakhresa?? [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…