balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Siyo kihivyo boss,walimu wengi wa Minaki wenye magari wanaishi hapo hapo kwenye nyumba za shule,Chungu na walimu wake wako hapo.ukimuondoa Samson anayekaa Ulongoni wengine ni wanawake.Na hawaendi nayo kila siku.Jmn kulisha gari mafuta Lita Moja 3000+ sio kazi ndogo, kwa kweli ni dalili ya kuwa na maisha mazuri
Sijambo mkuu, na wewe unapita pale msigani?Jirani hujambo
Msigani shule ya msingi iko wapi?Sijambo mkuu, na wewe unapita pale msigani?
🤣NashukuruMwalimu wa degree mshahara take home ni 600000, na hao tufanye hana deni.
Hebu nikuulize hiyo laki 6 anaweza vipo kuendesha Rav 4?? Jiongeze basi
Walimu wenye magari ni wengu ni wa like
Wa kiume huwa anachofanya tunasema "kata funua" ,anachukua mkopo wa mil 15 kwa miaka mitano, alafu anaenda kununua gari. Take home inabaki laki 3, hapo sasa huwa wiki imepark, wiki barabarani.
Kifupi wana-force. Ila walimu wengi(90%) choka mbaya Sana
to yeye
data
Makuku Rey
Duh! ..Wake zetu hao kalaghabao!
Mbezi ya Kimara njia ya Zone kama ushawahi sikia.Msigani shule ya msingi iko wapi?
Umenikumbusha chungu alikuwa mjanja mjanja sana enzi za mkuu wa shule anaitwa Kaaya. Longtime sana enzi hizo form six ni six kweli.Siyo kihivyo boss,walimu wengi wa Minaki wenye magari wanaishi hapo hapo kwenye nyumba za shule,Chungu na walimu wake wako hapo.ukimuondoa Samson anayekaa Ulongoni wengine ni wanawake.Na hawaendi nayo kila siku.
Haaa au mambo ya bill ____ vyombo vya usafiriKwa hizo, nini gari au nini wewe unavyoziona mkuu
We unaongelea walimu? Traffic police je? Ata kakople tu utakuta kana ndinga ya maana.Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.
Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.
Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?
Mitano tena kwa mama yetu.
Mitano tena kwa NMB.Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.
Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.
Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?
Mitano tena kwa mama yetu.
Yaani umepanga room 2 ndio umnunulie Mkeo gari?Wake zetu hao kalaghabao!
Mikopo rahisi ni CRDB ,riba ni 13% tuuMitano tena kwa NMB.
Za walimu wa kike hizo. Unakuta mke mwalimu baba Mkurugenzi bandarini, walimu wa kiume ni dhoofu mpk soli za viatu zimepinda
Zamani mwenye uwezo Sana angepaki baiskeli...haya ya magari ya walimu kushamiri yalianza kipindi Cha msogaNimeona pia Minaki Secondary gari kali sana zimepaki
Walimu wanaume wengi tu Wana magariOf course gari nyingi ni za wanawake ambao ni wake wa watu wenye maisha mazuri,walimu wengi wameolewa na wenye nazo.
Wake wa maraisi wetu kadhaa wamewahi kuwa waalimu kabla ya majaa hayajachukua nchi sio? Lazima walikuwa wanasukuma ndinga kali....Of course gari nyingi ni za wanawake ambao ni wake wa watu wenye maisha mazuri,walimu wengi wameolewa na wenye nazo.