balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Siyo kihivyo boss,walimu wengi wa Minaki wenye magari wanaishi hapo hapo kwenye nyumba za shule,Chungu na walimu wake wako hapo.ukimuondoa Samson anayekaa Ulongoni wengine ni wanawake.Na hawaendi nayo kila siku.Jmn kulisha gari mafuta Lita Moja 3000+ sio kazi ndogo, kwa kweli ni dalili ya kuwa na maisha mazuri