Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

Jmn kulisha gari mafuta Lita Moja 3000+ sio kazi ndogo, kwa kweli ni dalili ya kuwa na maisha mazuri
Siyo kihivyo boss,walimu wengi wa Minaki wenye magari wanaishi hapo hapo kwenye nyumba za shule,Chungu na walimu wake wako hapo.ukimuondoa Samson anayekaa Ulongoni wengine ni wanawake.Na hawaendi nayo kila siku.
 
Mwalimu wa degree mshahara take home ni 600000, na hao tufanye hana deni.

Hebu nikuulize hiyo laki 6 anaweza vipo kuendesha Rav 4?? Jiongeze basi

Walimu wenye magari ni wengu ni wa like

Wa kiume huwa anachofanya tunasema "kata funua" ,anachukua mkopo wa mil 15 kwa miaka mitano, alafu anaenda kununua gari. Take home inabaki laki 3, hapo sasa huwa wiki imepark, wiki barabarani.

Kifupi wana-force. Ila walimu wengi(90%) choka mbaya Sana

to yeye
data
Makuku Rey
🤣Nashukuru
 
Siyo kihivyo boss,walimu wengi wa Minaki wenye magari wanaishi hapo hapo kwenye nyumba za shule,Chungu na walimu wake wako hapo.ukimuondoa Samson anayekaa Ulongoni wengine ni wanawake.Na hawaendi nayo kila siku.
Umenikumbusha chungu alikuwa mjanja mjanja sana enzi za mkuu wa shule anaitwa Kaaya. Longtime sana enzi hizo form six ni six kweli.
 
Matokeo mazuri ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi. " Ustawi wa Jamii'. Ukisia ustawi wa Jamii sio mambo ya migogoro tuu ya kifamilia ni pamoja na ulichoona. Mwenyezi Mungu amsimamie Rais wetu Samia Suluhu Hassan Nchi iendelee kuneeemeka
 
Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.

Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.

Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?

Mitano tena kwa mama yetu.
We unaongelea walimu? Traffic police je? Ata kakople tu utakuta kana ndinga ya maana.
 
Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.

Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.

Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?

Mitano tena kwa mama yetu.
Mitano tena kwa NMB.
 
si tulikubaliana walimu hawana maisha mazuri imekuaje tena mna wasifia..?
wengine mnasema walimu wa kike ndio wanamilik hayo magari ya waume zao... 😂 cha ajabu wew mwenyew nyumban kwako umeshindwa kumuachia mkeo hata hela ya nusu kilo ya nyama, mnakula mboga za majan kilasiku kama ng'ombe...
Nyie si mlisoma sociology b/administration psychology h/resources marketing I/relation accounting banking 😂 vipi hali zenu huko nyumban kwa waume za dada zenu... Mwsho wa siku unaajiliwa kwenye kibanda cha Airtel Money mtu mzima Degree holder... Pumbav zenu kuweni na exposure ya maisha yajayo, vijana hamna Career Guidance mkifeli maisha mnaanza kuona wivu na maendeleo ya watu
 
Kwa miaka hii ya sasa kuwa na gari ni kitu cha kawaida sana...na magari mengi ni ya mikopo...unajilipua unavuta ndinga...Kuna walimu wapo mbali sana kiuchumi...
 
Back
Top Bottom