Tatizo anaonekana maamuzi ya kiuongozi kuna mahali anayatoa. Kibaya zaidi kama ni kweli inavyosemekana anakosea sababu anayatoa kwa walioshindwa walipopata nafasi.Mimi ninachokiona kuhusu Raisi wetu,kuna kikundi na si wanaume wote kama watu wanavyomchukulia,kilimpa shida au kinaendelea kumshutumu juu ya uongozi wake kama mwanamke,ndio maana kila mara amekuwa akionesha kuwa mwanamke ni mtu anayeweza...
Hao wanaolalamika nao ni kuwachumia tumbo tu.Tatizo anaonekana maamuzi ya kiuongozi kuna mahali anayatoa. Kibaya zaidi kama ni kweli inavyosemekana anakosea sababu anayatoa kwa walioshindwa walipopata nafasi...
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.
Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.
1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.
2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.
3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.
4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.
5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.
Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
Usimlishe maneno Jpm. Sote tunajua na dunia inajua alitangaza hadharani tena mbele ya kamera kwamba alimtaka Dr. Mwinyi huyu.na aliyekua kiongozi wake JPM aliliona hilo
Usimlishe maneno Jpm. Sote tunajua na dunia inajua alitangaza hadharani tena mbele ya kamera kwamba alimtaka Dr. Mwinyi huyu.
Alilazimika kuendelea naye maana kutunza wastaafu wa nafasi za Rais, VP, na PM ni gharama kubwa.Baada ya kuona Mwinyi anahitajika pengine angekua hamtaki SSH angekua nae kwa terms mbili?
Nimesoma heading TU. Ni kweli uyasemayo wanaongoza kumpinga ni wanawake na sijui ni kwanini.Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.
Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.
1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.
2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.
3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.
4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.
5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.
Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
Kama kuna kitu muhimu katika maisha ya mwanadamu ni suala la ulinzi.Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.
Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.
1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.
2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.
3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.
4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.
5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.
Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
Alilazimika kuendelea naye maana kutunza wastaafu wa nafasi za Rais, VP, na PM ni gharama kubwa.
Siyo kwamba alipendwa, aliwahi kupewa maziyo ya nguoni akataka kuachia ngazi 2016
Hapa anajifaragua ili mkono uende kinywani.Unaongea wewe kama wewe ila walifanya kazi pamoja na kukubaliana kwa kiasi kikubwa
Wakati wewe unaongelea ya 2016 bila ushahidi hapa kuna ya 2021 yenye ushahidi
Hapa anajifaragua ili mkono uende kinywani.
Huyu hakuwa chaguo la jpm. Jpm alimtaka Dr. Mwinyi.... period!
Umeongea poits zote , kuna wakati nilitaka nilete analysis kama hii but you have put it better. Kama kuna la kufanyiwa kazi litafanyika.Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.
Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.
1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.
2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.
3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.
4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.
5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.
Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
Kwanini itakua hivyo unafikiri?Nijuavyo mimi ni kwamba, mpaka sasa, kama tungefanya uchaguzi mkuu leo hii, mambo mawili yangetokea:
(1)Watu wengi wasingekwenda kupiga kura.
(2) Wale watakaokwenda kupiga kura, wangepiga kura kwa hasira na kati ya 75% na 89% wangechagua viongozi wa UPINZANI.
Kama hali itakuwa hivi au duni zaidi ya hii mpaka 2025, haya mambo mawili niliyoyataja hapo juu yatatimia hakika.
Kwa anayebisha leo, atunze kumbu kumbu vizuri hadi mwaka huo.