Piga picha uko na binti yako aliyevunja ungo na mke wako unasikiliza hutuba. Ghafla anasikika akisema Wanaume ni wachangia mbegu tu. Utasimama na kuinuka na kuondoka au utazima tv?
Mambo ya aibu aibu aibu. Wanaume wanahangaika kutimiza mahitaji ya familia na familia zinawategemea leo hii unawaita wachangia mbegu tena hadharani kweli?
Kwanini Baba mwenye mji akifariki familia huwa zinayumba na kama kulikuwa na mali zinaondoka?