Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

Piga picha uko na binti yako aliyevunja ungo na mke wako unasikiliza hutuba. Ghafla anasikika akisema Wanaume ni wachangia mbegu tu. Utasimama na kuinuka na kuondoka au utazima tv?

Mambo ya aibu aibu aibu. Wanaume wanahangaika kutimiza mahitaji ya familia na familia zinawategemea leo hii unawaita wachangia mbegu tena hadharani kweli?

Kwanini Baba mwenye mji akifariki familia huwa zinayumba na kama kulikuwa na mali zinaondoka?
 
Mimi ninachokiona kuhusu Raisi wetu,kuna kikundi na si wanaume wote kama watu wanavyomchukulia,kilimpa shida au kinaendelea kumshutumu juu ya uongozi wake kama mwanamke,ndio maana kila mara amekuwa akionesha kuwa mwanamke ni mtu anayeweza...
Tatizo anaonekana maamuzi ya kiuongozi kuna mahali anayatoa. Kibaya zaidi kama ni kweli inavyosemekana anakosea sababu anayatoa kwa walioshindwa walipopata nafasi.

Hata safu anayotengeneza ni ya awamu iliyotaka kunyang'anywa nchi na upinzani kwa sababu walishindwa kuyafikia matamanio ya wengi.

Haya mambo kama ni hivyo basi wenzetu walio ndani wanayaona zaidi. Pengine ndio maana mashambulizi ya ndani yanazidi. CCM kuna kipindi walipasuka baada ya kuona kuna kikundi kinafaidi mema ya nchi peke yao ambacho kama vile kinarudi.
 
Hivi kuna Wanajeshi Makomandoo wakike? Nimeuliza tu wanazengo maana mimi sijui?
 
Tatizo anaonekana maamuzi ya kiuongozi kuna mahali anayatoa. Kibaya zaidi kama ni kweli inavyosemekana anakosea sababu anayatoa kwa walioshindwa walipopata nafasi...
Hao wanaolalamika nao ni kuwachumia tumbo tu.

Walikuwa na kikundi chao enzi zao.

Waje na HOJA zingine lakini sio kikundi cha watu kufaidi
 
Labda wanaweka vilaza ila wasomi watamuelewa tuu,kwanza CWT ya Ccm saizi ndio fursa yao kupata vyeo ni ngumu kumpinga ..

Pili hata hao wanaojifanya kumpinga ambao pengine wako mjini ni suala la mda tuu watamuelewa but mimi nikona kwenye Tv wako na mama na wanafurahia Mwenzao anaongoza vizuri.
 
Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.

Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.

1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.

2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.

3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.

4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.

5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.

Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ogopa sana Rais anayetanguliza mbele jinsia yake kuliko kitu chochote , hapa tulipigwa sana , nashauri hata kwenye hili mzee wa msoga anayemuendeshea nchi amshauri
 
Usimlishe maneno Jpm. Sote tunajua na dunia inajua alitangaza hadharani tena mbele ya kamera kwamba alimtaka Dr. Mwinyi huyu.

Baada ya kuona Mwinyi anahitajika pengine angekua hamtaki SSH angekua nae kwa terms mbili?
 
Alilazimika kuendelea naye maana kutunza wastaafu wa nafasi za Rais, VP, na PM ni gharama kubwa.

Siyo kwamba alipendwa, aliwahi kupewa maziyo ya nguoni akataka kuachia ngazi 2016
 
Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.

Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.

1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.

2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.

3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.

4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.

5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.

Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
Nimesoma heading TU. Ni kweli uyasemayo wanaongoza kumpinga ni wanawake na sijui ni kwanini.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna kitu muhimu katika maisha ya mwanadamu ni suala la ulinzi.
Ulinzi unabeba masuala muhimu kama uhifadhi wa afya, malazi, heshima, uchumi nk.
Mwanamke wa kitanzania hajawahi kumwamini mwanamke mwenzie katika mambo yote haya ila kwa mwana mme.
 
Alilazimika kuendelea naye maana kutunza wastaafu wa nafasi za Rais, VP, na PM ni gharama kubwa.

Siyo kwamba alipendwa, aliwahi kupewa maziyo ya nguoni akataka kuachia ngazi 2016

Unaongea wewe kama wewe ila walifanya kazi pamoja na kukubaliana kwa kiasi kikubwa

Wakati wewe unaongelea ya 2016 bila ushahidi hapa kuna ya 2021 yenye ushahidi

Ni kweli.

Ila akiamua kugombea 2025...hakuna wa kumzuia.
 
Jana wakati anasema sisi wanaume tunachangia mbegu tu nilikuwa na dogo wa kike darasa la pili tunaangalia UPENDO TV.
Nikawaza kama sijapa swali hapa! dogo alivyoona wanashangilia akauliza kasemaje hapo?
kumbe bahati nzuri hakusikia vizuri, nikamwambia kasema kwenye msafara wa mamba na kenge wamo.
 
Unaongea wewe kama wewe ila walifanya kazi pamoja na kukubaliana kwa kiasi kikubwa

Wakati wewe unaongelea ya 2016 bila ushahidi hapa kuna ya 2021 yenye ushahidi

Hapa anajifaragua ili mkono uende kinywani.

Huyu hakuwa chaguo la jpm. Jpm alimtaka Dr. Mwinyi.... period!
 
Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.

Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.

1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.

2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.

3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.

4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.

5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.

Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
Umeongea poits zote , kuna wakati nilitaka nilete analysis kama hii but you have put it better. Kama kuna la kufanyiwa kazi litafanyika.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nijuavyo mimi ni kwamba, mpaka sasa, kama tungefanya uchaguzi mkuu leo hii, mambo mawili yangetokea:

(1)Watu wengi wasingekwenda kupiga kura.

(2) Wale watakaokwenda kupiga kura, wangepiga kura kwa hasira na kati ya 75% na 89% wangechagua viongozi wa UPINZANI.

Kama hali itakuwa hivi au duni zaidi ya hii mpaka 2025, haya mambo mawili niliyoyataja hapo juu yatatimia hakika.

Kwa anayebisha leo, atunze kumbu kumbu vizuri hadi mwaka huo.
Kwanini itakua hivyo unafikiri?

Back
Top Bottom