Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mungu wenu lishaozeana huko kuzimu,Habari za mwamko wananchi!
Binafsi nampenda Rais Samia Suluhu Hassan kuliko Magufuli, hii haimaanishi kuwa mimi ni team Samia Suluhu bali tukiweka mzani kati ya Magufuli na Samia binafsi nitaangukia kwa Rais Samia Suluhu.
Turudi kwenye mada.
Ni kwamba wananchi hasa wanawake wameshamchoka huyu mama.
Kila ninakopita wanawake nawasikia wakimrushia vijembe kuwa anazurula hovyo.
Ninaona haja sasa kupitia television, redio na magazeti Watanzania waelimishwe umuhimu wa safari hizi za Rais wetu.
Watu wakielimishwa huenda wataelewa na kujua kuwa anachokifanya Samia Suluhu kina manufaa kwao.
..mungu wenu lishaozeana huko kuzimu,Huuu bdo ukweli, juzi nilishangaaa eti 2025 bdo mtachagua Rais mwanamke, angejua watu wasivyo mpenda angeanyamaza kimya.
Ila nikakumbuka Nyerere aliwahi sema " kuna kundi linalonufaika na wewe, ni baya kuliko maadui wanaweza kukudanganya siku zote wasikuambie ukweli"
..mungu wenu lishaozeana huko kuzimu,Inatosha kusema Hana ushawishi wowote
Sukuma GangTena anafikiri anawatetea wanawake. Yaani 2025 atapigiwa kura za hapana na wanawake wenzake. Yaani kama uchaguzi utakuwa huru na haki. Samia hawezi shinda hata awekwe Na jiwe. Pamoja kuwa anatunanga wanaume ila wanawake ndo wanamchukia zaidi. Hajui tu washauri wake wamamdanganya
Je unaweza ukaja na data kusupport your urgument kuwa wanawake wengi wamemchoka Rais. What you have said is what we call sweeping statement kujaribu kutoa hoja mfu.Habari za mwamko wananchi!
Binafsi nampenda Rais Samia Suluhu Hassan kuliko Magufuli, hii haimaanishi kuwa mimi ni team Samia Suluhu bali tukiweka mzani kati ya Magufuli na Samia binafsi nitaangukia kwa Rais Samia Suluhu.
Turudi kwenye mada.
Ni kwamba wananchi hasa wanawake wameshamchoka huyu mama.
Kila ninakopita wanawake nawasikia wakimrushia vijembe kuwa anazurula hovyo.
Ninaona haja sasa kupitia television, redio na magazeti Watanzania waelimishwe umuhimu wa safari hizi za Rais wetu.
Watu wakielimishwa huenda wataelewa na kujua kuwa anachokifanya Samia Suluhu kina manufaa kwao.
Usiseme tunaweza, sema naweza sababu mpaka leo watanzania bado wanamkumbuka na kumuenzi angalia chanjo zimeletwa million 1 lakini mpaka saivi ni laki 4 tu zimetumika pamoja na campaign ya kufa mtu, hii inaonesha ushawishi wa hayati bado una nguvu sana katika watu zaidi ya million 60.Aisee tunaweza kuwakumbuka waliotoka madarakani ila siyo yule aliyesema watu wataishi kama mashetani, hapana, mmh, hata kidogo,,
Mkuu mnyoriii Mbona unaandika vitu out of context?Wengi tulitarajia ataunda serikali mpya
Wengi tulitarajia ataitisha uchaguzi mpya ulio free and fair
Wengi tulitarajia ataikubali ile rasimu ya katiba ya Warioba
Wengi tulitarajia wakimbizi wa kisiasa wangerudishwa nyumbani wakae meza moja na kufanya siasa za kujenga nchi
Wengi tulikuwa na matarajio mengi
Wengi tuna amini it is not late na anaweza fanya hivyo
Sawa polepoleHabari za mwamko wananchi!
Binafsi nampenda Rais Samia Suluhu Hassan kuliko Magufuli, hii haimaanishi kuwa mimi ni team Samia Suluhu bali tukiweka mzani kati ya Magufuli na Samia binafsi nitaangukia kwa Rais Samia Suluhu.
Turudi kwenye mada.
Ni kwamba wananchi hasa wanawake wameshamchoka huyu mama.
Kila ninakopita wanawake nawasikia wakimrushia vijembe kuwa anazurula hovyo.
Ninaona haja sasa kupitia television, redio na magazeti Watanzania waelimishwe umuhimu wa safari hizi za Rais wetu.
Watu wakielimishwa huenda wataelewa na kujua kuwa anachokifanya Samia Suluhu kina manufaa kwao.
Samia hana mvuto kabisa na huu ndio ulikua wakati mzuri upinzani kupata kura endapo watajipanga vizuri 2025 sababu ni dhahiri mtaani wengi hawamkubali kabisa na wengi hawamkubali basi tu bila sababu wanamchukia, sasa mpinzani wake apewe nini ukiwa na mpinzani wa aina hii?
Hata yeye muuza nyago ipo siku ataozeana tu.mungu wenu lishaozeana huko kuzimu,
muacheni Samia amalize awamu aliyompokea Rais wa awamu tano, Baada ya hapo mwaka 2025 anaanza Sasa awamu yake ya miaka kumi Hadi 2035
Hili lina ukweli flani hivi...mkuu.
kwani wewe hujui kama wanawake hawapendani?
Soma hapo,mimi sina haja ya kumuonea mtu.Kwanza ni uongo wa kijinga kabisa,kuuelezea kitofauti samia alisema nini,hakusema hata siku moja kuwa mwanaume ni sperm donor,umemchukua put of context,tuache uongo
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nani anapigana Mae kwa silaha hii ya jinsia?Pale anapotusema wanaume kila akipanda jukwaani mbele ya watoto wetu na wake zetu mpaka unashangaa.
Hajui kwamba hata wanawake wenyewe huwa hawawaamini wanawake wenzao kwenye nafasi za uongozi. Siku zote kukiwa na mwanamke na mwanaume kwenye uongozi wanawake huchagua mwanaume.Anatumia nguvu sana kuaminisha uanawake....tunayo macho na tunaona mwanamke sasa sijui kwa nini analazimisha tuwaone wanawake...
Mie nimemchoka