Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

๐Ÿ˜‚ingekua kwa mkapa tunge wachapa hawa


Ayaaa wazee wa TUNGE,TUNGALI ,
 

Attachments

  • JamiiForums-1764214020.jpeg
    45.4 KB · Views: 21
Hivi yule shehe wakuongea kuhusu maombi ya mwamposa walipoingia nusu fainal yeye hakuwasomea duwaa?
 
Ukipaza sauti wewe kuhusu ufisadi inatosha.
Watanzania wengi hamna akili wala sense , ninyi ni maiti na takataka kabisa , you are better dead ,hii nchi ni bora mngefukuzwa kabisa ,hamfai kuishi kwenye hii ardhi , taifa linakuwa raped left and right ,ninyi mnaona kawaida tu ,mko kwenye kujadili upuuzi as if kuna senti mnaoyoingiza kutoka kwenye huo upuuzi wenu , Rubbish

Kila nikitafakari hii nchi napata hasira sana ,
 
Labda mniuweeeeeeeeeeeee!!!

Hakuna mwanaume kama Smart!!

Ligi zake za kimatraifaaaaaa alooooooooooo ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ !
nani kakuambia nataka ligi ni kunywa nakucheza nothing more...๐Ÿ˜…
 
Mwenye ule uzi wa Simba akigongwa 5 na Yanga please update uzi. Upandishe hewani.
 
Tujikumbushe misemo yao, iwe mifupi mifupi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kumbe kushinda kuna raha hivi, hata hamsemi jamani. Hebu nishushie kinywaji. Leo ni kukesha ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ