Trena sio kazi ndogooo nandohuu ukilaza wangu unaomkoshaaaa mpaka hachomokiii😜😜😁😁😁Hivyo ndugu yangu kumbe anayokazi huko alipo!...🤣
Ama kweli kila mtu ahangaike na zimwi lake!..😅Trena sio kazi ndogooo nandohuu ukilaza wangu unaomkoshaaaa mpaka hachomokiii😜😜😁😁😁
Huyu jamaa yuko fear sanaKipindi cha kwanza alifosi sana GG itoe ili mkeka utiki mapema lakini Berkane wakakutana na upinzani mkubwa.
Second half alipoona Berkane wanashambuliwa akaona atoe kaniki.
View attachment 3345534
Yap ni kweli nadhani hiyo inatokana na baadhi ya viongozi wa Berkane ambao wana vyeo CAF walipompa maelekezo ya ku fix match akaingiwa na hiyo fear ya kutofanya tofauti na maagizo.Huyu jamaa yuko fear sana
Huu ushauri wa maana sana! Tuna makelele sana katika kila jambo. Hata katika siasaTujifunze kufanya mambo kimya kimya.
Kelele nyingiii timu inacheza *******. Wanasiasa kibaooo kummmkee
Kabeeeeeeeeeeeesa!!Ama kweli kila mtu ahangaike na zimwi lake!..😅
katuua huyu mwamuzi..Kipindi cha kwanza alifosi sana GG itoe ili mkeka utiki mapema lakini Berkane wakakutana na upinzani mkubwa.
Second half alipoona Berkane wanashambuliwa akaona atoe kaniki.
View attachment 3345534
Laumu uwe unashinda wakati mwingine basi. Wewe kila siku lawama tu? Halafu hushindi?Hata Ulaya marefa wanalaumiwa
Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo JumapiliTuna amani sanq kwani mtani kombe ulitaka uweke wapi? 😂
🎶Maneno ya mkosaaji ya mkosaajii🎶Kipindi cha kwanza alifosi sana GG itoe ili mkeka utiki mapema lakini Berkane wakakutana na upinzani mkubwa.
Second half alipoona Berkane wanashambuliwa akaona atoe kaniki.
View attachment 3345534