πππππ Em tuone.
@β¨+255β© naomba ile ratiba ye kutembeza kombe. πππππππππππππππWabillah Tawfiq π€²
Hivi ni mwaka jana au mwaka juzi?Yule refa aliwaliza Utopolo mwaka jana na lile goli la Aziz ki ndo uyu uyu!
Makolo badala mngekemea ila mliishia kushangilia kelele.
Leo sasa kimewalamba.