Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaa
 

Attachments

  • IMG-20250526-WA0002.jpg
    46.4 KB · Views: 22
Hapo Mangungu alikuwa anatafuta upenyo aliibeπŸ˜†πŸ˜‚...
 

Attachments

  • IMG-20250526-WA0001.jpg
    50.3 KB · Views: 19
Kule Morocco goli la tatu lilivyoingia ulikuwa na hali gani?

Haya tuwarudishie goli la pili na Berkane tuwarudishie lile la Morocco la tatu lililokataliwa.

VAR ndio iliyowapeleka fainali halafu mnajifyatuwa akili.
Plus penalti 2 refa alipeta kule kwao na foul pembezoni mwa box, zote kolo anajifanya hakuna.
 
Mchezaji yeyote anayefunga bao na kubeba mpira kuupeleka katikati huwa namdharau sana; sijui kwa nini. Ni kama nilivyomdharau Baleke wakati wa mechi yha Yanga dhidi ya Augsburg na Mandžukić wakati wa world cup finals baina ya France na Croatia zilizofanyika Urusi.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC.
 
Kule Morocco goli la tatu lilivyoingia ulikuwa na hali gani?

Haya tuwarudishie goli la pili na Berkane tuwarudishie lile la Morocco la tatu lililokataliwa.

VAR ndio iliyowapeleka fainali halafu mnajifyatuwa akili.
Sasa uto mmefaiadika nini sisi Simba kutobeba kombe?
 
Maelekezo ya tff kwa marefa ni kwa marefa wa Bongo tu.

By the way:
Hivi Mo Dewji na hela zote alizonazo ameshindwa kuwahonga Marefa wa Caf!!!!!
 
Huwa nafurahi sana napooana mashabiki wa Yanga na Simba wakilia na kusaga meno Kwa kulaumu marefa vitendo wanavyozifanyia Timu zingine ligi kuu.

Mumekoma kabisa.
🀣🀣🀣 Kila mtu na mnyonge wake 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…