Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Wanajaribu kuokoa muda...🤔🤔
 
Khaaa! Ila hawa majamaa. lol

Kama hii ratiba ilikuwa ya ukweli basi wana shida sehemu.
 
Sababu huwa ni nini
 
Mimi ni simba ila Bora tumelikosa tuu.
Wanasiasa wa CCM walitaka kupita humohumo
 
Maelekezo ya tff kwa marefa ni kwa marefa wa Bongo tu.

By the way:
Hivi Mo Dewji na hela zote alizonazo ameshindwa kuwahonga Marefa wa Caf!!!!!
Mo kwa Cafe hana tofauti na Mangungu tu
 
Yaan mie kukosa Kombe wala sijaumia, muhimu vichaka vimefyekwaa, na bado tunapo Pa kujifichia.

Walipe ¼ finals back to back ×4.
Haswaaaaa....
Asilimia 90 ya wana simba hata hatujaumia...labda kilichotuudhi ni yule refa mwenye sura ndefu kama kichwa cha treni ya mwendo kasi....angekua fair kombe lilikua letu...
Otherwise sie malengo tumevukaa tena tumevuka tenaà...
Na tupo top 4 hukooo juuu...
Mafanikio yetu kwny michezo ya CAF hakuna wa kutufananisha nae hapa Tanzania mpk sasa so far....
Simbaaaa nguvu mojaaaa
Ubaya ubwela
Kama hupendi hii comment kaaa nayo mbali sijakulazimisha kukubali..
Kwako cocastic waletee waleteee
 
Yaan mie kukosa Kombe wala sijaumia, muhimu vichaka vimefyekwaa, na bado tunapo Pa kujifichia.

Walipe ¼ finals back to back ×4.
Rudisheni hela zetu wezi nyie.....
Haya wacha turudi kwenye ligi letu la tatu malogo🤣🤣🤣🤣
 
Maelezo yote haya si dalili za kutokwa na povu Mtani? 😅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Wee rudisheni hela zetu wahuni nyie
250k sii nilishakula mbususu ya warembo ata watano wenye tako na titi zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…