Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba tulipangiwa katimu kepesi mnoo 😁
Tumeuza wachezaji wazuri bila kufanya replacement ya maana,
Ushindi wa Simba ni nje ndani, wale wapuuzi wa Jangwani wamepigwa nje ndani wametia nuksi nchi kima wale.Simba nguvu moja
Dadadeki.Kwenye haya mapumziko simba ingebski uwanjani kiingizwe hicho kiporo cha ligi kuu
Bwalyaaaaa
Uko serious?Huyu kapombe inabidi sasa asiwe anaanza game.
Jamani Kima tenaUshindi wa Simba ni nje ndani.wale wapuuzi wa Jangwani wamepigwa nje ndani wametia nuksi nchi kima wale.
Simba wanaibeba nchi Duniani, duh Simba ni noma.Mpaka hapa simba kaisha ifanya tanzania ku gain point 0.5 katika rank za soka duniani