David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Kwa hiyo bora Matola?Kenge hasikii mpaka masikio yatoke damu,
Pumbaaavu kabisa, tulipokuwa tunawaambia huyu sio kocha mlikuwa mnaona hatupendi timu
Japokua mm ni yanga lialia...ila nimesikitishwa sana na uamzi huo(kumfukuza robatinho),sijaona sababu yamaana iliyowafanya wamtimue unless nikama mbuzi wakafara tu au wanatafuta pakudondoshea jumba bovu...hata kama yanga nibora kwasasa ,ila haimaanishi kua simba nimbovu kupindukia tatizo mpira wabongo ..kuna ligi mbiliHuu sasa ndio ujinga wa soka la Bongo. Kocha anafukuzwa kazi kwa kufungwa na mtani.
Mazuri yote yake hayana maana kama asipoweza kumfunga mtani wa timu.
Soka letu linakwama namna hii.
ye mwenyewe alijua hilo,ndio maana aliwapongeza Yanga kwa mpira mzuri.Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).
Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.
Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.
Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.
Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Ufanyike uchunguzi huenda mahasimu waliwapa tip makochaKlabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).
Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.
Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.
Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.
Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Nimegundua mashabiki wa Simba kweli ni mbumbumbu.Kishingo hapo sawa
[emoji23][emoji23] Saido mwenye kiatu?[emoji2772][emoji2772]Naomba iwe kweli, kocha simpendi kabisaaa.
Na dirisha dogo, Ntibanzokiza afurushwee.
Wamesahau kocha huyo huyo ndiye waliyetoka kumshangilia kwa kuchuana vikali na giant wa Africa, bingwa wa Africa ( Al Ahly) na kutoshana nguvu.Huu sasa ndio ujinga wa soka la Bongo. Kocha anafukuzwa kazi kwa kufungwa na mtani.
Mazuri yote yake hayana maana kama asipoweza kumfunga mtani wa timu.
Soka letu linakwama namna hii.
Wakiitwa mbumbumbu wanakasirika.Wamesahau kocha huyo huyo ndiye waliyetoka kumshangilia kwa kuchuana vikali na giant wa Africa, bingwa wa Africa ( Al Ahly) na kutoshana nguvu.
Mkimtimua ntibazonkiza mtapata wapi yale magoli yenu ya mchongo ya mfungaji bora?Naomba iwe kweli, kocha simpendi kabisaaa.
Na dirisha dogo, Ntibanzokiza afurushwee.
Baleke na phiri wapoo.Mkimtimua ntibazonkiza mtapata wapi yale magoli yenu ya mchongo ya mfungaji bora?
dah,Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).
Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.
Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.
Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.
Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Ametolewa kwa sababu zingine, sio kufungwa.
Kwanza bora atokeee, huenda phiri atakua na wakati mzuri uwanjani.
Bado kipenzi chake Ntibanzokizaa naye atafurushwa.
Kama sio mpira wa Tinho wa kujilinda kila mechi mngeoga mvua ya magoli kama juzi kwa kikosi chenu kile.Kwa pira lile bora tu alipofukuzwa,ishu siyo kupigwa na mtani bali pira la hovyo sana lilikuwa linachezwa.
Yaani simba wa kupaki basi kila mechi?
Simba inakosa clean sheet kweli?
Thank you Robertinho, see you next time.