Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ndio mnawapenda hao Wazee wa fitna badala ya kuangalia ubora na ufanisi baadae mkipigwa mkono mnaanza kuwakataa.Cadena Mzee wa fitna kuanzia azam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mnawapenda hao Wazee wa fitna badala ya kuangalia ubora na ufanisi baadae mkipigwa mkono mnaanza kuwakataa.Cadena Mzee wa fitna kuanzia azam
Hapa bongo kocha anayefungwa na mtani anaonekana hatoshi.Huu sasa ndio ujinga wa soka la Bongo. Kocha anafukuzwa kazi kwa kufungwa na mtani.
Mazuri yote yake hayana maana kama asipoweza kumfunga mtani wa timu.
Soka letu linakwama namna hii.
Kwani malengo yenu yamebadilika? Msimu ulioisha hamkuchukua hata kombe moja baadae kiongozi wenu akaongea hadharani akisema moja wapo ya malengo ilikuwa kumfunga Yanga na mlimfunga.Nilitaka kuongelea hili, uko 100%. Mimi naamini kila team ina malengo yake ya msimu na hili lisipofikiwa kunaangaliwa nini tumekosea na watu wanawajibika. Sasa sijui kufungwa na mtani ni moja ya mambo ya malengo? Maana team inaweza kufungwa lakini kesho wakachukuwa ubingwa, CAF wakafika mbali na mafanikio nje ya uwanja. Mimi sisemi kocha mzuri au hapana hiyo ni issue nyingine na kama mbaya basi waliomuajiri inabidi wawajibike katika hili pia. Kwa hili Simba ni kama wamewapa lingine watani kuongelea, tano na kocha mmefukuza😉
Akija kocha mwingine, mtasema hivi hivi! Kila mwaka timu inaajiri na kufukuza kocha! Halafu wakati huo huo mna ndoto eti za kufika mbali kimataifa!!
.... bado MED ALI...mpayukaji !!!!Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).
Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.
Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.
Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.
Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Uongozi wa Simba waache Uhuni, inakuwaje wanauza mechi alafu lawama atupiwe kocha? Bado kocha alikuwa anatufaa huyu hakuwa na ubaya wowote
Ukiona mtu anatumia nguvu kutetea ujue alikuwa anafaidika na kufeli kwa simbaWatu wanamtetea kocha lakini ukweli ni kwamba mbali na mechi hii na yanga mfumo wake tangu ashike timu ulishafeli,magoli tunayofunga ni papatu papatu hamna mfumo wa maana,hakuna mpira wa malengo ni kukimbia tu na pasi ndefu,hii is a failure
Na yule Beki Inonga naye kawa uji uji sana siku hizi rudisha Babu Onyango mtu kazi..
Ubora au sio ubora ni mpaka athibitishe kwa matokeo yake, mbinu zake na aina ya mchezo wake.Kwa hiyo bora Matola?
Wamemuonea.
Kocha hajawahi poteza mechi,kupoteza moja tu unamtimua!!
Hahaha...
Sasa huu ndio mwanzo wa kupoteana, Simba itaendelea kudondosha points
Hata wewe sio msafi?Simba hakuna msafi
Ni ile kuficha aibu tu, lakini kiukweli tano tumelamba hio ni historia haitofutika.
Simba msimu huu ataangukia nafasi ya 4 kwenye NBC PL.