Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Huna pesa homeboy rudi bongo tukupe michongo ya pesa what the fvck is 12M per a whole big long fvckng month?
Wahabesh mshaingia 😹😹😹
Sis Joannah njoo uone matusi ya ndugu yako..!!

Mi naomba mchongo wa dollar 5000 nna kimeo changu nikisolve..!! 😹
 
Huyo ni Mkwongwe Kiranga hata michango yake jukwaa la siasa na elimu au pengine uwa ni madini tupu!

Heshima yake
 
Sema nini mkuu punguza munkari kidogo watu wa abroad huwa hatufanyi hivyo tumevuka hizo level hivyo vitu tuwaachie watu wa buza na mbagala ambao bado hawajapata exposure
Tuwachangamshe kidogo yan maana pamepoa sana na lazima wachangamke nilitulia zangu tu kuna mtu akani provoke sasa kwanza nimkeree Mpaka December niko free
 
$4500 mbona ni pesa mbuzi tu mzee.
Watu wanakunja $ 20, 000 na hawapigi kelele wala nini.

We dogo bora utulie tu hiyo pesa ni kidogo sana.
 
Naam,

Sasa wewe umenielewa vizuri sana kwa sababu nilichoandika umekiishi kabisa si suala la nadharia tu.

Shukurani.
 
Kimboka,Sewa,Rozanna,nyuma ya Sewa Europa Bar kuna midanguro kabisa kule bure hata unapewa tu
Rozana kipindi natoka Kibaha high school miaka Hiyo naenda buguruni nikiwa ndo nimetoka usukumaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nilipofika buguruni nikakuta demu mmoja ndo Mara ya kwanza kula kimvusa! Ukawa mchezo kila weekend na drop buguruni
 
Fantasy Yako njoo tuokote tajiriii kachafukwa huku..!! 😹😹😹

Ila Venchwa una vimelea vya uhaya sio bure.
Haya hiyo December uniweke kwenye payroll nipokee 2000$ mie ninunue jogoo la Xmas 😹😹😹
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tajiri kachafukwaaaa , tajiri kachafukwaaaa

Tajiri agawe pesa aachane na maneno ya kangaaa
 
😹😹😹 Weka tajiriii

Mi napenda mambo kama haya,

Mambo kwa ushahidi.. wewe Fantasy Yako uje uone matusi ya tajiriii la Singapore..!!
πŸ˜…πŸ˜… tajiri hatuna haja kuona salary slip, yeye agawe pesaaa humu kwa maskini .. aache maneno na ku post post tupichaaa agawe hata $ 100 kwa member kama 20 hivi tumvishe manyotaaa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…