Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Weee bwana Ontario hadi watoto wachanga wanamjua, ukitaja Ontario dream chasers wa jf mioyo inalipuka 😂😂😂
Hahaaaaa,..Mimi nikisikia tu hilo jina "Ontario" nakumbuka vitu viwili tu, navyo ni "Forex is not for everyone" na "Jangid Plaza" aiseeh huyu jamaa sijui alikua mchawi 😅😅😅
 
Mimi nachoshangaa serikali inaweza kua inaona kabsa unavunja sheria ila kwakua hujaingia kwenye 18 zao wanaendelea kukuacha we unadhani wanakuogopa kumbe wanakukusanyia tu dhambi...siku ukijiachanganya tu ukaenda against nao wana accumulate makosa yako yote afu ndo wanaanza kudeal na wewe, aiseeh huchomoki 😅😅😅
Kwasababu issue ya Ontario ilianza siku nyingi sana nadhani 2017 sikuwahi kusikia waliotapeliwa wakienda kushtaki wala serikali kuchunguza chanzo chake cha mapato kutokana expensive lifestyle yake. Leo hii ndo yanaibuka moja baada ya jingine. Ni lazima tu kuna mipaka kaivuka na kiubonyeza switch tofauti na aliyoruhusiwa kutumia
 
Mambo ya No reform No election, nchi hii ukionesha we si mjinga tiyari unalo, wenye nchi yao wanaamini 100% ya watanzania wote ni mburulaz we jichanganye na ujuaji wako uone litakalokupata.
 
Hili suala la huyu jamaa ndo liliondoka na mtaalamu wetu The bold humu.
 
Mkuu mambo ya NASDAQ ni kwenye stocks huko? hiyo pair ni ipi? hii 2017 tulikuwa na GBPJPY sterling.
 
Huyu mwamba nilikuwa nafuatilia sana nyuzi zake za forex akijiita ontario ilikuwa bado kidogo nijiungage kwenye darasa lake .
Mwamba namkubali ni bonge la fighter halafu bado ni kijana mdogo.
Ninaamini kwa akili zake huyu dogo hili suala litaisha.
Watu kama huyu dogo Serikali ingetakiwa iwachukulie positively and not negatively
 
Hahahah nimecheka niliwahi kuona kikao kimoja kulikuwa na wazee wa kutosha mkuu, huku JF watu wengi jua limezama.
 
Mtu analeta habari afu hajui kosa lipi amekazana tu uhujumu uchumi laaa
 
Kilichokufurahisha ww ni nini?
Kudakwa na kuteshwa na kufungiliwa mashtaka ya uongo ya raia mwenzako?
 
Uko sahihi kabsa sister.bro anajikwamuaga na uchumi tu...
 
Wahuni hawana hata 100m bank nao wanapewa kesi ya Uhujumu Uchumi dhambi yake itawafuna vizazi na vizazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…