Ushoga hausababishwi na hormones, ila malezi.Upumbavu utawaisha lini ninyi watanzania
Hayo Mambo yanakua overrated sana na Wala si kitu kigeni yapo kwa karne na karne
Si rahisi mtu kuwa shoga ikiwa hajazaliwa na ulemavu wa hormones Ni ngumu mno
Wala hicho sio kigezo kabisa cha kutokupenda watoto wa kiume
Sawa mkuu nitajitahidi kwa malezi,Ila siwezi kuwachunga Sana dunia ya Sasa ni utandawazi kila kitu kipo open nwNao uwaagalie wana changamoto, ndio maana kampeni za kuwalinda zilianza kitambo
Sijaongelea wachina mkuu Npo kwa watoto leo,vipi ushafunga shule ndo Mana una Uhuru na cm😁Mkuu, wale wachina wameshaondoka kwenye Ile nyumba ya Baba yako??
Nashukuru mkuuMawazo finyo
Malezi kwa mbali saanaaaUshoga hausababishwi na hormones, ila malezi.
Ni kweri kabisa wazazi tunajisahau kwenye malezi.Watoto wote wanahitaji umakini juu ya malezi yao, wazazi tusijisahau na kuwa busy kitafuta pesa huku malezi tunawaachia dada wa kazi au boarding, dunia imebadilika.
Mawazo yangu yaheshimiwe mkuuUpumbavu utawaisha lini ninyi watanzania
Hayo Mambo yanakua overrated sana na Wala si kitu kigeni yapo kwa karne na karne
Si rahisi mtu kuwa shoga ikiwa hajazaliwa na ulemavu wa hormones Ni ngumu mno
Wala hicho sio kigezo kabisa cha kutokupenda watoto wa kiume
Hakuna hormones za ushoga, malezi mabovu ya jamii zetu yanaukuza.Malezi kwa mbali saanaaa
Basi endelea kuomba utapewaKwa mapenzi ya mungu,huwa naomba Sana mungu anijalie watoto wa kike,kila mtu anaomba anachopenda
Ntakuwa mwalimu mzuri kwao,Ila dunia Ina mengi watachagua wenyew side safety ya maisha yaoHata hao watoto wa kike, wakianza kuijua nyama ataweleta vijana ndani kwako. Kwani huvioni vitoto vya chuo
umeongea vyema sana niongeze jambo naWatoto wote wanahitaji umakini juu ya malezi yao, wazazi tusijisahau na kuwa busy kitafuta pesa huku malezi tunawaachia dada wa kazi au boarding, dunia imebadilika.
Hongera mkuu kwa maamuzi yako mungu ajalie kheri kwenye uzao wakoHakuna kisichowezekana mkuu,
Binafsi nahitaji watoto wa kiume pekee kuhusu kuwalea kwenye misingi ya kiume sitashindwa
Ni kweli mkuu🙏umeongea vyema sana niongeze jambo na
MUNGU pia tumuombe tuache ubishi
Dunia ya Sasa iko open Yani iko uchi kila mtu anajionea,so kuwa makini na unachokiona.ovaMbona mnakuza sana mambo? Hamuoni kwa kuandikaandika hovyo ndio mnayapromote?
Mtoto wa kike anavaa kuliko dume na anatembea kuliko dume.Mkuu ni kuomba mungu tu ,hata hao wakike mungu akikuangaza itakuwa mtihaani ,maana anaweza akawa msagaji n.k mpaka uso wako pakuweka ukakosa ,Kubwa Ni kumkabidhi mungu katika malezi ya watoto wetu
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.
Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.
Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.
Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over
Mawazo ya mtu yaheshimiwe..
Umekuja kusoma kutafuta nini, ignore tu maisha yaendeleeKumbe watoto nao wanaoa na kuwa na watoto, maana ulichoandika mtoto wangu wa 12 years hawezi andika