Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

Nimekulewa mkuu Ila ata sis watoto wa kiume tunazingua tu,nishajiandaa kwa lolote ivo Sina chakujutia
Okay. Unajua unaweza kuwa na watoto wa kiume 10 lakini ikawa kama vile huna watoto, najua hilo pia. Cha msingi walee watoto wako vizuri, wawe na upendo mkubwa kwako, watoto wenye upendo mkubwa kwa wazazi lazima watawatunza wazazi wao hadi mwisho. Lea watoto wako kwa upendo mkubwa, inalipa sana.
 
Point πŸ’― ukweri ndo huo malezi Bora+ upendo
 
Hayo mambo ya kuliwa siyo lazima yatokee.Familia ikikosa mtoto wa kiume ni vipi itaendeleza kizazi?
 

Kwa hiyo ukiwazaa utawachinja kama Herode?
 
Leeni watoto kiume,acheni kuwadekeza na kuwapig piga picha za hovyo na kupost mitandaoni,acheni kuwalisha chips,mayai na soseji.Msiwapeleke shule za boarding primary subiri wakue.Waleeni kibabe.Msiendekeze kukaa na ndugu hasa wa kiume.
 
Leeni watoto kiume,acheni kuwadekeza na kuwapig piga picha za hovyo,acheni kuwalisha chips,mayai na soseji.Msiwapeleke shule za boarding primary subiri wakupe.Waleeni kibabe.Msiendekeze kukaa na ndugu hasa wa kiume.
Unaweza usifanye vyote iv na mtoto akawa bwabwa
 
Jaribu kupitia story za maisha za mkuu Analyze.Kwa malezi Yale uchoko ungeanzia wapi?
 
Kwani huyo mtoto wa kike uliyenaye ulijua kuwa utampata? Au umeshtukia tu huyu hapa mkeo kajifungua?
Kama unataka kupata mtoto wa Jinsia yoyote unapata, ili mradi ujue kucheza na kalenda ya mke wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…