Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu.
Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu kuwa na mtoto wa kiume kwenye familia Ila kwa Sasa kwa mapenzi yake mungu nahitaji watoto wa kike,mabinti zangu.
Watoto wa kiume wamekuwa kisanga Sana kwenye dunia ya leo,Kama mzazi hasa wa kiume tunatumia Sana ukisikia mtoto wako wa kiume analiwa,aisee watoto wa kiume hapana mungu nisamehe Kama nakufuru.
Nyie wezangu mnapenda watoto wa kiume kheri kwenu,kila mtu ana maamuzi yake.Over
Mawazo ya mtu yaheshimiwe..