Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Habari zenu wana nzengo?
  • Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama
  • Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti
  • Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko.
  • Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na mama zao.
  • Wanaume wa leo wanajua ulevi na uzinzi na sio kuwekeza ndio maana wanawake wengi sasa ndio wafanyabiashara na wajasiriamali.
  • Wanaume wengi wa leo wanatunzwa na wanawake
Siko hapa kuleta ugomvi, niko hapa kuweka mambo sawa na kuondoa dhana iliyojengeka miongoni mwa wanaume wengi sana hapa bongo, dhana hiyo ni potovu, ovu na iliyopitwa na wakati.

Wanaume wamekuwa wakiona wanawake kama ni watu wasio na upendo wa kweli, watu wenye kupenda pesa na wasio na utu.

Ndugu zangu, sisi hatupendi pesa, ila tunauchukia umasikini. Tukipata hela kutoka kwenu tunasomesha watoto wetu, tunawalisha, tunawatunza wazee wetu, tunapunguza umasikini wa familia.

Wanaume wanautafuta umasikini kwa udi na uvumba. Mshahara laki tano, huo huo uhonge, ujimwambafai kwa washikaji, uwanunulie ma bar maid bia yaani mnatafuta sifa za kijinga sana.
 
Ngoja nikusaidie kidogo, mume siyo mtumwa wa familia, Bali ni mkuu na kiongozi wa Familia.

Pamoja na majukumu ya mume kuhudumia familia anayo haki ya kutumia pocket money yake kwenye mambo binafsi hiyo siyo family business.

Kusaidia Wazazi wako hilo siyo jukumu la mume na wala siyo haki ya Wazazi ni favour tu kama uwezo unaruhusu.

Wanaume nao ni banadamu kama wanawake wajinga watakuwa wengi kama wewe basi divorce zitaongezeka na tutawashauri Watoto wetu wa kiume wasioe.

Imagine mwanamke asiyekuwa na akili anakopa mkopo Vicoba halafu marejesho unamsumbuwa mume wako ndio awe anatowa pesa ya marejesho wakati wanawake wanaojitambuwa mikopo wanatumia kupanuwa mitaji yao na wanarudisha marejesho bila tatizo lolote.

Sielewi ni kwa nini idadi ya wanawake wajinga inazidi kuongezeka, mwanaume siyo punda ni binadamu na ana hisia zote.
 
Habari zenu wana nzengo?

Siko hapa kuleta ugomvi, niko hapa kuweka mambo sawa na kuondoa dhana iliyojengeka miongoni mwa wanaume wengi sana hapa bongo, dhana hiyo ni potovu, ovu na iliyopitwa na wakati.

Wanaume wamekuwa wakiona wanawake kama ni watu wasio na upendo wa kweli, watu wenye kupenda pesa na wasio na utu.

Ndugu zangu, sisi hatupendi pesa, ila tunauchukia umasikini. Tukipata hela kutoka kwenu tunasomesha watoto wetu, tunawalisha, tunawatunza wazee wetu, tunapunguza umasikini wa familia.

Wanaume wanautafuta umasikini kwa udi na uvumba. Mshahara laki tano, huo huo uhonge, ujimwambafai kwa washikaji, uwanunulie ma bar maid bia yaani mnatafuta sifa za kijinga sana.
Ila sasa bila kuhonga mbususu hupati. Utaishia kuwa master wa masturbation. Huo ndio ukweli wenyewe dada. Tusemage ukweli tuu.
 
Ngoja nikusaidie kidodo, mume siyo mtumwa wa familia, Bali ni mkuu na kiongozi wa Familia.

Pamoja na majukumu ya mume kuhudumia familia anayo haki ya kutumia pocket money yake kwenye mambo binafsi hiyo siyo family business.

Kusaidia Wazazi wako hilo siyo jukumu la mume na wala siyo haki ya Wazazi ni favour tu kama uwezo unaruhusu.

Wanaume nao ni banadamu kama wanawake wajinga watakuwa wengi kama wewe basi divorce zitaongezeka na tutawashauri Watoto wetu wa kiume wasioe.

Imagine mwanamke asiyekuwa na akili anakopa mkopo Vicoba halafu marejesho unamsumbuwa mume wako ndio awe anatowa pesa ya marejesho wakati wanawake wanaojitambuwa mikopo wanatumia kupanuwa mitaji yao na wanarudisha marejesho bila tatizo lolote.

Sielewi ni kwa nini idadi ya wanawake wajinga inazidi kuongezeka, mwanaume siyo punda ni binadamu na ana hisia zote.
Nadhani mtoa mada alikuwa anaongelea mapenzi nje ya ndoa a.k.a umalaya
 
Hata sielewi ni upigaji ama nini..
Achana na ile kupata mke omba omba.. Ambaye hela nyingi anapeleka kwao au anafanyia mambo yake binafsi ikowepo kumuhonga katibu.

Hawa wadada wengine wanaomba hela kwa sababu
1. Wana amini ni wajibu wako
2. Wanakuona danga.

Nna visa viwili.
1. Nikiwa naperuzi mitandao ya kijamii nkaona comment ya mdada mwenye jina la ukoo nkatambua tupo kabila moja.. Basi nkazama inbobo nkawa nmachartisha kwa kabila letu.. Daaha kumbe hayupo mbali sana na nilipo mimi.. Basi akaanza kukomaa kuulizia kazi nnayofanya, kama nimeoa ama laah. Mwishoni akaanza kukomaa tuonane.. Sasa kutokana na kutingwa na majukumu nkawa nakwepa.. Jana anasema ana shida na elfu 50.. Duuuuh nkaona huyu ananiona mm danga.

2. Kisa cha pili
Nilikuwa semina kikazi kanda ya ziwa. Pale sina ndugu hivo nkafikia hotelini.. Ila kuna mshiriki mmoja mdada mke wa mtu.. Huyu nilonana kule kule.. Ila tunatoka mkoa mmoja,. yeye ana ndugu wa mume wake pale so hakuwa ana ingia cost ya chakula na accommodation.. Na mara nyingi akawa anajisifu kuwa mume wake ana muhudumia hata alipo kule..
Na ile per diem yake haigusi kabisa..
Kwa hiyo net gain.. Yeye aliondoka na hela ndefu saana kuzidi mimi.

Cha ajabu imefika muda wa kusepa si nkajichanganya nka muaga kuwa naenda kata ticket akasema nikate ya wawili. Nkapigwa mzinga wa kwanza hapo.

Njiani mm ndiyo nkawa main supplier, halafu Kosa kubwa nililofanya njian ni kuonesha nia ya kula mzigo.. Safari ile ilikuwa ndefu na usiku ukatukuta ndani ya basi.. Pale nkapata denda.. Nkamshikisha dushele,.. Nka mshika matiti. Nkamlaza kwenye mapaja huku nkimbembeleza na ku massage mgongoni. In short story iliyokuwa inaendelea ni yeye kutafuta mazingira.. Mwamba wake akisafiri aje anituku tunda.

Dadaaaaaah baada ya hapo sasa. Nkakumbuka mke wa mtu sumu afu huyu dada story zake ni kipengere kinoma. Nkaanza kumkwepa.

Akaanza visa.
. Mara nywele zimefumuka, anataka simu mpya, mdogo wake ada imekata, zote hizo nilikuwa napangua.. Juzi kanitumia risala ndefu akielezea kusikitika kwake na kunilamu vikali.. Kuwa mimi ni Bahiri wa kutupwa.
Natamani nimtukane.. Kuwa hivo vyote amuombe mume wake.. Shenzi kabisa
 
Habari zenu wana nzengo?

Siko hapa kuleta ugomvi, niko hapa kuweka mambo sawa na kuondoa dhana iliyojengeka miongoni mwa wanaume wengi sana hapa bongo, dhana hiyo ni potovu, ovu na iliyopitwa na wakati.

Wanaume wamekuwa wakiona wanawake kama ni watu wasio na upendo wa kweli, watu wenye kupenda pesa na wasio na utu.

Ndugu zangu, sisi hatupendi pesa, ila tunauchukia umasikini. Tukipata hela kutoka kwenu tunasomesha watoto wetu, tunawalisha, tunawatunza wazee wetu, tunapunguza umasikini wa familia.

Wanaume wanautafuta umasikini kwa udi na uvumba. Mshahara laki tano, huo huo uhonge, ujimwambafai kwa washikaji, uwanunulie ma bar maid bia yaani mnatafuta sifa za kijinga sana.

Habari zenu wana nzengo?

Siko hapa kuleta ugomvi, niko hapa kuweka mambo sawa na kuondoa dhana iliyojengeka miongoni mwa wanaume wengi sana hapa bongo, dhana hiyo ni potovu, ovu na iliyopitwa na wakati.

Wanaume wamekuwa wakiona wanawake kama ni watu wasio na upendo wa kweli, watu wenye kupenda pesa na wasio na utu.

Ndugu zangu, sisi hatupendi pesa, ila tunauchukia umasikini. Tukipata hela kutoka kwenu tunasomesha watoto wetu, tunawalisha, tunawatunza wazee wetu, tunapunguza umasikini wa familia.

Wanaume wanautafuta umasikini kwa udi na uvumba. Mshahara laki tano, huo huo uhonge, ujimwambafai kwa washikaji, uwanunulie ma bar maid bia yaani mnatafuta sifa za kijinga sana.
Kama ni kweli wewe ni msagaji nakushauri acha ...Mungu adhiakiwi kwa kuwa chochote apandacho mtu ndicho avunacho huu mstari wa bibilia utakusaidia
 
Habari zenu wana nzengo?

Siko hapa kuleta ugomvi, niko hapa kuweka mambo sawa na kuondoa dhana iliyojengeka miongoni mwa wanaume wengi sana hapa bongo, dhana hiyo ni potovu, ovu na iliyopitwa na wakati.

Wanaume wamekuwa wakiona wanawake kama ni watu wasio na upendo wa kweli, watu wenye kupenda pesa na wasio na utu.

Ndugu zangu, sisi hatupendi pesa, ila tunauchukia umasikini. Tukipata hela kutoka kwenu tunasomesha watoto wetu, tunawalisha, tunawatunza wazee wetu, tunapunguza umasikini wa familia.

Wanaume wanautafuta umasikini kwa udi na uvumba. Mshahara laki tano, huo huo uhonge, ujimwambafai kwa washikaji, uwanunulie ma bar maid bia yaani mnatafuta sifa za kijinga sana.
Kama mnachukia umasikini tafuteni pesa zenu sio mpaka mpewe au kila siku mnalia lia hamuhudumiwi
 
Hii ndio akili ya mtoa mada msipoteze muda wenu enyi wanaume

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom