Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

Ila wanawake wa leo nao wamezidi uchunaji. Yaani ukitaka kuingia kwenye mapenzi lazima uwe na mtaji.
Ukitaka kufaidi chochote, wekeza.
Unataka elimu lipa sadaka
Unataka baraka toa kafara
Unataka kusafiri lipa nauli
 
Hii ndio akili ya mtoa mada msipoteze muda wenu enyi wanaume



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kama ndo yeye basi Anavuna alichopanda.....

Yaaani Laana zote alizozifanya aendelee kubaki salama????? Mungu Hadhihakiwi atakupa wakufanana tuu
 
Prince Charles ametimiza miaka 56 Yuko kwao Wala hakuna mzungu aliepost. Kuna wanaume walikua wanajenga wakiwa na miaka 24+ lakini anajenga kijumba Cha tofari mbichi na anaezeka Kwa makuti. Sasa si Bora nibaki nyumbani TU Kwenye unafuu.
Kama unafikiri kujenga rahisi Jenga hata kibanda Cha m pesa TU au choo Cha kisasa.
Mengine ni umbeya Kama umbeya mwingine ambao mwanaume Hutakiwi kuujibu.
 
Kwahiyo mtoto wako wa kiume pia utatamani awe zezeta?
Unapochukia wanaume hakikisha huzai mtoto wa kiume otherwise karma is really.
Mtoto wangu namfundisha elimu ya jando, ambayo nyie wanaume midoli mnaiona imepitwa na wakati
 
Angalia hii scenario jukumu la mwanaume ni kuhudumia familia, chakula, malazi na mavazi na mwanamke ni kulea familia.

Ila kutokana na maisha kubadilika Wanawake nao wanafanya kazi which is not a bad thing. Ila tatizo la Wanawake ni kua anaamka anaenda kazini na mshahara wake ni wake peke na inatakiwa iwe hivyo sio mshahara wa mumewe. Ila kufanya kazi sio ticket ya kukufanya kuacha kufanya your wifey duties. Bado ni mke wa mtu unfortunately wengi wenu wanasahau hili.
 
Jemima mrembo things are complex nikuoe mummy niwe nakupa mshahara wote wewe mimi kazi yangu ni kuchapa kazi kama mashine ya zege,na wewe kupangilia tu na kuhonga vben10.
 
Hata sielewi ni upigaji ama nini..
Achana na ile kupata mke omba omba.. Ambaye hela nyingi anapeleka kwao au anafanyia mambo yake binafsi ikowepo kumuhonga katibu.

Hawa wadada wengine wanaomba hela kwa sababu
1. Wana amini ni wajibu wako
2. Wanakuona danga.

Nna visa viwili.
1. Nikiwa naperuzi mitandao ya kijamii nkaona comment ya mdada mwenye jina la ukoo nkatambua tupo kabila moja.. Basi nkazama inbobo nkawa nmachartisha kwa kabila letu.. Daaha kumbe hayupo mbali sana na nilipo mimi.. Basi akaanza kukomaa kuulizia kazi nnayofanya, kama nimeoa ama laah. Mwishoni akaanza kukomaa tuonane.. Sasa kutokana na kutingwa na majukumu nkawa nakwepa.. Jana anasema ana shida na elfu 50.. Duuuuh nkaona huyu ananiona mm danga.

2. Kisa cha pili
Nilikuwa semina kikazi kanda ya ziwa. Pale sina ndugu hivo nkafikia hotelini.. Ila kuna mshiriki mmoja mdada mke wa mtu.. Huyu nilonana kule kule.. Ila tunatoka mkoa mmoja,.

Yeye ana ndugu wa mume wake pale so hakuwa ana ingia cost ya chakula na accommodation.. Na mara nyingi akawa anajisifu kuwa mume wake ana muhudumia hata alipo kule..

Na ile per diem yake haigusi kabisa..
Cha ajabu imefika muda wa kusepa si nkajichanganya nka muaga kuwa naenda kata ticket akasema nikate ya wawili. Nkapigwa mzinga wa kwanza hapo.

Njiani mm ndiyo nkawa main supplier, halafu Kosa kubwa nililofanya njian ni kuonesha nia ya kula mzigo.. Safari ile ilikuwa ndefu na usiku ukatukuta ndani ya basi.. Pale nkapata denda.. Nkamshikisha dushele, akawa analibinya binya.. Nka mshika chakula cha mtoto.. Nkamlaza kwenye mapaja huku nkimbembeleza na ku massage mgongoni.

Dadaaaaaah baada ya hapo sasa. Nkakumbuka mke wa mtu sumu afu huyu dada story zake ni kipengere kinoma.

Akaanza visa.
. Mara nywele zimefumuka, anataka simu mpya, mdogo wake ada imekata, zote hizo nilikuwa napangua.. Juzi kanitumia risala ndefu akielezea kusikitika kwake na kunilamu vikali.. Kuwa mimi ni Bahiri wa kutupwa.
Natamani nimtukane.. Kuwa hivo vyote amuombe mume wake.. Shenzi kabisa
Bahiri wa kutupwa 😀😀😀😀😂😂😂😂
 
Hayo ni mabadiliko tu ya maisha hakuna kinachoweza kufanyika kufanya mambo yabadilike yote ni matokeo ya kuishi duniani pengine angalau ungetoa na mapendekezo yako nini kifanyike angalau uzi wako ungekuwa bora zaidi kuliko kulalama kama kondoo aliyepoteza kichanga chake
 
Haluna cha kuuchukia umaskini wanawake mmeona kama vile kupewa hela ni haki yenu ya msingi wakati ni hisani tu. Imefikia wakati mnadai hela kinguvu mkikutana na wanaume wanaojitambua mnawaita wabahili.

Upewe hela kama nani? Mke ndio ana haki ya kutunzwa na mumewe na haki hio inaambatana na sheria ya kwamba ni lazima atunze uaminifu. Akizingua ananyongwa na hamna kitu mtafanya 😂😂😂😂
 
Kama mnachukia umasikini tafuteni pesa zenu sio mpaka mpewe au kila siku mnalia lia hamuhudumiwi
Mtu anayechukia umaskini anatakiwa afanye kazi kwa bidii akuze uchumi wake na asaidie wasiojiweza 😂😂😂!

Sasa we unachukia umaskini kwa kuvizia hela za mwanaume alizohenya kuzimeki we upewe bure eti kisa una kitobo asali. Hatuendi hivyo!!! Chuki na umaskini ziendane na juhudi za kufanya kazi upate mahela yako mengi utumie utakavyo.

Halafu mwanamke akitafta hela yake anakuwaga na mahesabu makali kweli huwezi kuta anaifanyia ujinga ila ya mwanaume ndio ya kuifanyia mambo ya kiduanze. Anaweza kwenda KFC kula kuku nusu na chips kwa elfu 23 wakati mtaani kuku zima kwa buku 7 yupo. Atanywea mipombe ya sifa kama Hennesy wakati kwa hela yake anauwezo wa kunywa wine ya buku 5 tu, atafanyia party za kujikosha za bethdei. Kununua vitu ambavyo hata havihitaji minguo kibao, miwani, ilimradi tu.
 
Mkisha hit 30's mnaanza kuchachanganikiwa,, Mwanamke unatoa wapi Nguvu za kuwaongelea Wanaume hovyo? Modern women kazi mnayo sana.
 
Back
Top Bottom