Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,066
Pesa sabuni ya roho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi wewe, Mungu arudi kuchukua kanisa.Kwan sio kazi [emoji23]
Dada, fanya kazi! Mlianzisha wenyewe movements za women rights na mliona mnaonewa hivyo mkaambiwa mwanamke kufanya kazi anaweza na ni ruksa pia sio mali ya mtu. Sasa wewe unataka kuwarudisha wanawake wenzako miaka ya 1950s.Habari zenu wana nzengo?
Siko hapa kuleta ugomvi, niko hapa kuweka mambo sawa na kuondoa dhana iliyojengeka miongoni mwa wanaume wengi sana hapa bongo, dhana hiyo ni potovu, ovu na iliyopitwa na wakati.
- Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama
- Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti
- Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko.
- Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na mama zao.
- Wanaume wa leo wanajua ulevi na uzinzi na sio kuwekeza ndio maana wanawake wengi sasa ndio wafanyabiashara na wajasiriamali.
- Wanaume wengi wa leo wanatunzwa na wanawake
Wanaume wamekuwa wakiona wanawake kama ni watu wasio na upendo wa kweli, watu wenye kupenda pesa na wasio na utu.
Ndugu zangu, sisi hatupendi pesa, ila tunauchukia umasikini. Tukipata hela kutoka kwenu tunasomesha watoto wetu, tunawalisha, tunawatunza wazee wetu, tunapunguza umasikini wa familia.
Wanaume wanautafuta umasikini kwa udi na uvumba. Mshahara laki tano, huo huo uhonge, ujimwambafai kwa washikaji, uwanunulie ma bar maid bia yaani mnatafuta sifa za kijinga sana.
Umetisha mkuu big up sanaNgoja nikusaidie kidogo, mume siyo mtumwa wa familia, Bali ni mkuu na kiongozi wa Familia.
Pamoja na majukumu ya mume kuhudumia familia anayo haki ya kutumia pocket money yake kwenye mambo binafsi hiyo siyo family business.
Kusaidia Wazazi wako hilo siyo jukumu la mume na wala siyo haki ya Wazazi ni favour tu kama uwezo unaruhusu.
Wanaume nao ni banadamu kama wanawake wajinga watakuwa wengi kama wewe basi divorce zitaongezeka na tutawashauri Watoto wetu wa kiume wasioe.
Imagine mwanamke asiyekuwa na akili anakopa mkopo Vicoba halafu marejesho unamsumbuwa mume wako ndio awe anatowa pesa ya marejesho wakati wanawake wanaojitambuwa mikopo wanatumia kupanuwa mitaji yao na wanarudisha marejesho bila tatizo lolote.
Sielewi ni kwa nini idadi ya wanawake wajinga inazidi kuongezeka, mwanaume siyo punda ni binadamu na ana hisia zote.
Kumbe ndio hii akili yake diuuuh hii ni hatari sana 😳😬Hii ndio akili ya mtoa mada msipoteze muda wenu enyi wanaume
Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile
Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike. Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo. Nikiwa pale nilijifunza usagaji...www.jamiiforums.com
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nikiwa pale nilijifunza usagaji,
Hela tunazo sana tu ..... ila kwenye kutupangia nini cha kufanya na hela zetu hapo ndipo ugomvi ulipo dearTafuteni hela, tulieni na weke zenu
Huo umasikini ameshindwa kukuondelea baba yako na mama yako walio kuleta duniani nitaweza mimi tulie kutana ukubwani tu...?Habari zenu wana nzengo?
Siko hapa kuleta ugomvi, niko hapa kuweka mambo sawa na kuondoa dhana iliyojengeka miongoni mwa wanaume wengi sana hapa bongo, dhana hiyo ni potovu, ovu na iliyopitwa na wakati.
- Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama
- Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti
- Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko.
- Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na mama zao.
- Wanaume wa leo wanajua ulevi na uzinzi na sio kuwekeza ndio maana wanawake wengi sasa ndio wafanyabiashara na wajasiriamali.
- Wanaume wengi wa leo wanatunzwa na wanawake
Wanaume wamekuwa wakiona wanawake kama ni watu wasio na upendo wa kweli, watu wenye kupenda pesa na wasio na utu.
Ndugu zangu, sisi hatupendi pesa, ila tunauchukia umasikini. Tukipata hela kutoka kwenu tunasomesha watoto wetu, tunawalisha, tunawatunza wazee wetu, tunapunguza umasikini wa familia.
Wanaume wanautafuta umasikini kwa udi na uvumba. Mshahara laki tano, huo huo uhonge, ujimwambafai kwa washikaji, uwanunulie ma bar maid bia yaani mnatafuta sifa za kijinga sana.
Naomba idhini ya kuanza kukutunza wewe, to prove u wrongHabari zenu wana nzengo?

😂😂😂😂Mbona ghafla sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi wewe, Mungu arudi kuchukua kanisa.
Mkuu, mbona siku hizi mods mnajipiga ban. Tatizo nini hasa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja nikusaidie kidogo, mume siyo mtumwa wa familia, Bali ni mkuu na kiongozi wa Familia.
Pamoja na majukumu ya mume kuhudumia familia anayo haki ya kutumia pocket money yake kwenye mambo binafsi hiyo siyo family business.
Kusaidia Wazazi wako hilo siyo jukumu la mume na wala siyo haki ya Wazazi ni favour tu kama uwezo unaruhusu.
Wanaume nao ni banadamu kama wanawake wajinga watakuwa wengi kama wewe basi divorce zitaongezeka na tutawashauri Watoto wetu wa kiume wasioe.
Imagine mwanamke asiyekuwa na akili anakopa mkopo Vicoba halafu marejesho unamsumbuwa mume wako ndio awe anatowa pesa ya marejesho wakati wanawake wanaojitambuwa mikopo wanatumia kupanuwa mitaji yao na wanarudisha marejesho bila tatizo lolote.
Sielewi ni kwa nini idadi ya wanawake wajinga inazidi kuongezeka, mwanaume siyo punda ni binadamu na ana hisia zote.
Kumtunza mwanamke ni wajibu wa mume, bila kujalisha mke ana hela au hanaNaomba idhini ya kuanza kukutunza wewe, to prove u wrong
Hah baba anawajibika kwa mkewe, si kwanguHuo umasikini ameshindwa kukuondelea baba yako na mama yako walio kuleta duniani nitaweza mimi tulie kutana ukubwani tu...?
Kama mama yako na baba yako walishindwa kukupa elimu au mtaji wa biashara ndugu yangu pambana acha kulaumu watu ...mapenzi ni kwa ajiri ya kuufurahisha mwili na sio kukuondolea umasikini wako dada
Damn youHela tunazo sana tu ..... ila kwenye kutupangia nini cha kufanya na hela zetu hapo ndipo ugomvi ulipo dear
Wewe wajibu wako ni upi?Kumtunza mwanamke ni wajibu wa mume, bila kujalisha mke ana hela au hana
Swali zuri sanaWewe wajibu wako ni upi?
Na mahitaji yako ya MSINGI ni yapi?
Dah..... 🧝♂️🧝♂️Kumtunza mwanamke ni wajibu wa mume, bila kujalisha mke ana hela au hana
Ohh yeahDah..... 🧝♂️🧝♂️