Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
- Thread starter
- #21
Wajipangae waoHii vita itakayotokea hapa mtoa mada ujipange.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajipangae waoHii vita itakayotokea hapa mtoa mada ujipange.
kama namkojoza vizuri, kumpiga deki 2 hours na kumfanya amwage mimaji, kwanini asinitunze ?Wanaume wengi wa leo wanatunzwa na wanawake
Nikupe hela ukasaidie wazazi wako kaka zako na wadogo zako wako wapi?wao wenyewe hao wazazi wanafanya nini?
Usilete hoja kwamba mumeo apambane familia yenu iwe na uchumi imara vitega uchumi watoto kupata elimu bora etc unalia njaa eti kusaidia wazazi?hizo akili umeacha kabatini au!
Mambo haya sio Tanzania tu, nchi nyingi yanatendeka.
- Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama
- Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti
- Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko.
- Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na mama zao.
- Wanaume wa leo wanajua ulevi na uzinzi na sio kuwekeza ndio maana wanawake wengi sasa ndio wafanyabiashara na wajasiriamali.
- Wanaume wengi wa leo wanatunzwa na wanawake
aibu ya nini na namridhisha ? nachomfanyia yeye kakipenda na anafurahiaKubwa zima unatumikishwa kingono, huoni aibu? Mungu alimuumba mwanaume apige mashine, sio alambalambe uko. Huo ni uboya
Wanaume wa leo wanatimiza 50 wakiwa kwa wazazi sababu mnawachuna hadi akili hivyo wanashindwa kujiendeleza kiuchumi
- Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama
- Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti
- Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko.
- Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na mama zao.
- Wanaume wa leo wanajua ulevi na uzinzi na sio kuwekeza ndio maana wanawake wengi sasa ndio wafanyabiashara na wajasiriamali.
- Wanaume wengi wa leo wanatunzwa na wanawake
Hivi kumbe ni huyu?Hii ndio akili ya mtoa mada msipoteze muda wenu enyi wanaume
Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile
Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike. Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo. Nikiwa pale nilijifunza usagaji...www.jamiiforums.com
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣 bro tukatafute hela hafu turudi kulala kwa wazazi, achana nao.Wan
Wanaume wa leo wanatimiza 50 wakiwa kwa wazazi sababu mnawachuna hadi akili hivyo wanashindwa kujiendeleza kiuchumi
Wanaume wa leo hawawatunzi wazee wao sababu jinsia “ke” wapenzi,wadangaji,wake wao ndio hujiona hustahili matunzo,first priority inawafaa wao na si wazazi
Wanaume wa leo wanatunza michepuko sababu ya ujeuri,kutomthamini mume ndani ya nyumba ukiolewa unaona kila kitu umemaliza
Hawasomeshi watoto si kweli,pitia post roma mkatoliki na baadhi ya maoni ya watu ,hata achangie vipi mwanaume mtaweka sumu aonekane hana mchango
Kwenye ulevi na uzinzi ninyi ndii chanzo “walaghai tukiishiwa mnatukimbia “ uko na malengo wekeza akili yako pia kwa mwanaume
😅😅 povu ruksa mleta mada
Usinipe link unajua vipi kama nina muda wa kusoma yaliyoandikwa humo?Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini
Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...www.jamiiforums.com
Niko hapa na wazee wangu tunafanana hadi mvi🤣 nasubiri watenge chai nikazurule🤣🤣🤣 bro tukatafute hela hafu turudi kulala kwa wazazi, achana nao.
Heeee.........kama namkojoza vizuri, kumpiga deki 2 hours na kumfanya amwage mimaji, kwanini asinitunze ?
Tatizo la kuwa na baba aliyelelewa na single mother ndio huleta watoto wa kiume rojorojo wasiojua na wala kutimiza majukumu yao kikamilifu
- Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama
- Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti
- Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko.
- Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na mama zao.
- Wanaume wa leo wanajua ulevi na uzinzi na sio kuwekeza ndio maana wanawake wengi sasa ndio wafanyabiashara na wajasiriamali.
- Wanaume wengi wa leo wanatunzwa na wanawake
Baba ako ni Tajiri?? Wewe una elimu gani?? Unafanya kazi au ni Malaya unaetegemea ujiuze ndo upate hela??Habari zenu wana nzengo?
Siko hapa kuleta ugomvi, niko hapa kuweka mambo sawa na kuondoa dhana iliyojengeka miongoni mwa wanaume wengi sana hapa bongo, dhana hiyo ni potovu, ovu na iliyopitwa na wakati.
- Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama
- Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti
- Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko.
- Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na mama zao.
- Wanaume wa leo wanajua ulevi na uzinzi na sio kuwekeza ndio maana wanawake wengi sasa ndio wafanyabiashara na wajasiriamali.
- Wanaume wengi wa leo wanatunzwa na wanawake
Wanaume wamekuwa wakiona wanawake kama ni watu wasio na upendo wa kweli, watu wenye kupenda pesa na wasio na utu.
Ndugu zangu, sisi hatupendi pesa, ila tunauchukia umasikini. Tukipata hela kutoka kwenu tunasomesha watoto wetu, tunawalisha, tunawatunza wazee wetu, tunapunguza umasikini wa familia.
Wanaume wanautafuta umasikini kwa udi na uvumba. Mshahara laki tano, huo huo uhonge, ujimwambafai kwa washikaji, uwanunulie ma bar maid bia yaani mnatafuta sifa za kijinga sana.