Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

AMEONJA YA HUKU BONGO?
 
Bei ya soda unazokunywa ndiyo zinakupa ladha unayotaka kinywaji kizuri hakiwekwi kwenye chupa za ovyo
 
Hongera kwa mtengenezaji wa Mirinda Nyeusi,hiki kinywaji kama ulishawahi kukitumia kikiwa cha bardiii utaungana na hoja yangu[emoji39][emoji7][emoji7]
 
Super market kaka namaanisha (SUPER MARKET) anza na mlimani city utapata Hadi zile za kupima achana na chupa zitakung'oa meno..
Ahahahah hayo maisha ya watu wa upanga sio mimi
 
Hongera kwa mtengenezaji wa Mirinda Nyeusi,hiki kinywaji kama ulishawahi kukitumia kikiwa cha bardiii utaungana na hoja yangu[emoji39][emoji7][emoji7]
Kabisa kina test nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…